Mzungu wa nne

Penny

JF-Expert Member
Sep 3, 2008
575
48
Za leo jamani, mimi natabia moja sijui ni mbaya au la naombeni mnishauri. Kwa kweli Mr. kunikasirisha au kunuka pombe nilazima nilae mzungu wa nne ndopo ninapopata usingizi. Je mlalo huu ni mbaya mnapokuwa mmeudhiana na kama mwenza hana time yakujua what is the problem?
 
huyo mzungu wa nne unalala muda gani? mpaka harufu ya pombe iishe
au mpaka mume aombe msamaha?
 
Akiwa ananuka na miguu sasa inakuwaje?Sio nzuri kwani ni mumeo na umempenda penda ana anacho kunywa na kula...sasa kama pombe ni noma na kujamba je?

Au hilo huwa hamfanyi nyie...?Kwani akila mishikaki na beer za uvugu uvungu humo ndani mkilala kwenye shuka moja si asubuhi itakuwa haifiki?
 
Uvumilivu ni bora zaidi hata yeye kuna kaharufu huwa anakuvumilia halafu yeye ni mbaya zaidi kwani ya kwako ni eternal. Just joking but be patient and considerate; harufu haiwezi kukudhuru.
 
mmh unanitia wasi wai kama ulivoolewa na huyo mumeo ulimpenda kwa dhati kweli?

je ulimwambia kuwa hupendi 'mudomo unaonuka'|"? kwa sababu ya pombe..

katika hali yeyote kulala mzungu wa nne ni ishara kuwa penzi lenu tayari lina kasorona si ajabu ni kubwa kuliko hiyo harufu unayozungumzia.

jitafiti mwenyewe kujua kiini hasa ni nini kisha ulijadili na mwenzio
 
Tena nilimpenda kwa moyo mmoja, ila kumekuwa na mabadiliko makubwa sana toka anioe. Ilibidi nilalae mlalo huo maana hanipi mashamsham ya mapenzi. Kwa ujumla nimejikuta sina tena hisia naye. Nampenda mpaka kesho. Ila nafsi imegoma kabisa.
 
huyo mzungu wa nne unalala muda gani? mpaka harufu ya pombe iishe
au mpaka mume aombe msamaha?

Mpaka asubuhi, na simpaka aombe msamaha au atake basi hata kujua kilicho kusibu!
 
Tena nilimpenda kwa moyo mmoja, ila kumekuwa na mabadiliko makubwa sana toka anioe. Ilibidi nilalae mlalo huo maana hanipi mashamsham ya mapenzi. Kwa ujumla nimejikuta sina tena hisia naye. Nampenda mpaka kesho. Ila nafsi imegoma kabisa.

kama hakupi kwa nini wewe usimpe hayo mashamsham jamani Penny? hebu jaribu kumpa hayo mashamsham uone kama hatorespond. Mambo yanaweza badilika.
 
Uvumilivu ni bora zaidi hata yeye kuna kaharufu huwa anakuvumilia halafu yeye ni mbaya zaidi kwani ya kwako ni eternal. Just joking but be patient and considerate; harufu haiwezi kukudhuru.

Huna maana na wewe, kama nadhurika silali nivumilie tuu then baadaye nile mbichi! atanisaidia ntakapokuwa nakula mbichi?
 
Uzuri wa mtandao na JF kwa ujumla unaweza kuta na huyo jamaa yumo humu humu na anachangia mada kama kawa (wanaosisitiza vumilia tu simmependana... joke)

Penny tusaidiane hapo, Kula mbichi ndio kitu gani?? wengine tumepotea kidogo.
 
...Mzungu wa 4???? Bora kila mtu angekuwa na chumba chake au mna uhaba wa vitanda???? bora urudi kwenu basi...
 
Sio fresh kulala mzungu wa nne na mumeo eti kwa kuwa ananuka pombe hapo kuna jambo zito zaidi ya hiyo harufu
 
Uzuri wa mtandao na JF kwa ujumla unaweza kuta na huyo jamaa yumo humu humu na anachangia mada kama kawa (wanaosisitiza vumilia tu simmependana... joke)

Penny tusaidiane hapo, Kula mbichi ndio kitu gani?? wengine tumepotea kidogo.

Nimechukua kwenye msemo usemao "mvumilivu hula mbivu" ila sasa mimi naona badala ya kula mbivu ntakula mbichi (naumia roho tukilala normal) so because hana time ndo maana na mimi na lala hivyo ili aone sina time naye pia. Au munisaidie ni mambo gani yakumfanyia mtu asieye kuwa na time na wewe ili na yeye pia a feel. I think I have been to nice to him that is why anapata kiburi.
 
Akiwa ananuka na miguu sasa inakuwaje?Sio nzuri kwani ni mumeo na umempenda penda ana anacho kunywa na kula...sasa kama pombe ni noma na kujamba je?

Au hilo huwa hamfanyi nyie...?Kwani akila mishikaki na beer za uvugu uvungu humo ndani mkilala kwenye shuka moja si asubuhi itakuwa haifiki?

....teh teh teh! Buswelu hujatulia! LOL. I love JF!
 
kama hakupi kwa nini wewe usimpe hayo mashamsham jamani Penny? hebu jaribu kumpa hayo mashamsham uone kama hatorespond. Mambo yanaweza badilika.

bora useme wewe mama manake tukisema sisi mmhhh...mwenzio penny anasubiri 'kupewa' tu masham sham....penny upo apo?
 
Jamani sio eti nasubiri jamani, nimekuwa nikimpa tena kwa sanaaaaa tuu, sasa na yeye anipe jamani. Kufa kufaana. sio mimi tuu ndo niwe na toa. Moto unapowasha siunataka kikolezo, la sivyo si utazimaka jama!. So am in need of his support likewise.
 
Tena nilimpenda kwa moyo mmoja, ila kumekuwa na mabadiliko makubwa sana toka anioe. Ilibidi nilalae mlalo huo maana hanipi mashamsham ya mapenzi. Kwa ujumla nimejikuta sina tena hisia naye. Nampenda mpaka kesho. Ila nafsi imegoma kabisa.

Ndoa ni watu wawili mama! Hivyo ndoa yenu ili kufanikiwa inabidi muwe na mawasiliano ya karibu mno siyo kulala mzungu wa nne bila kumtaarifu mwenzako sababu za kufanya hivyo au kungoja yeye mpaka akupe mashamsham wakati wewe pia unaweza kufanya hivyo. Hakuna ubaya wowote wa wewe kuinitiate tendo la ndoa badala ya kungoja mumeo afanye hivyo.
 
Back
Top Bottom