Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,894
Nabii kwenye hili umeweka uongo mwingi sana sana .Nitajibu moja kubwa la uongo .
Hakkenburg alivyo pata nafasi ya kuwa Konsgula sijui lakini mimi Lunyungu nimefanya naye kazi kwa karibu sana na ananijua nilivyo mchungu kwa Nchi yangu na hataki kunisikia mimi. Na hivi sio Holland tena nadhani anapeta .
1.Huja kwenye mikutano ya Watanzania kwa madharau na kusema kwa mfano hamjambo wasela wa kijiweni .Watu huwa wanachukua na mimi nimesha mweleza wazi wazi baada ya watu kuitwa wasela wa kijiweni na wakaacha kumjibu kwa kuwa anaitwa Mheshimiwa na ndiyo anavyo jiita yeye mwenyewe.
2.Hakkenburg ofisi ya ukonshula iko ndani ya ofisi yake . Kusema ni gereji wewe ni muongo ila ni yadi kubwa sana anauza magari na si gereji. Na ukiingia ofisni kwake utakuwa anafanya kazi 2 za U director wa kampuni na kazi za Tanzania .
Ubaya wa hili ni kwamba ofisi iko mahali ambapo siyo pa kufikika kwa Public transport iko porini na hapa ni kazi sana kufika kwake .
Hakkenburg hana maelewano mazuri na Ubalozi kwa kuwa yeye anapesa na close ties na wanene so huwa hapendi watu wa Ubalozi wampe utaratibu japokuwa nikweli ana report kwa Mlay .Mambo makubwa kama mtu kufa nk ama mtu kupata PhD ama sherehe a watu kumaliza shule watanzania huwa wanamwalila Balozi lakini hajawahi kutokea hata siku moja .
Nakumbuka mara moja tu ametuma wawakilishi nao walikuwa ni Zoka na Mama Hyera so Watanzania wana jifania mambo yao tu .
Mlay tangia awe balozi hadi sasa hajawahi kukutana na Watanzania wa Holland kwamba anasema nao so this guy is taking advantage all the time .
Matatizo makubwa mfano kuna mtazania aliiba mizigo ya wanafunzi na kuingia nayo mitini .Issue ilikuja kwangu wakati nakaa Holland nikapeleka taarifa kwa Hakkenburg na yeye alipeleka Brussels lakini hadi sasa nakueleza jamaa yupo , Watanzania mizigo hawajapata na Ubalozi umeuchuna.
Sasa kama balozi ama ubalozi unafanya haya huyu mzungu unategemea atafanya nini kwa watanzania ? Atawalipa dharau na anawapa kweli dharau .
Nabii wewe ni nabii kwa hili ni muongo . Mtandao wa Watanzania wa Holland unaitwa Wabongonl si mali ya mtu na hakuna mtu ambaye ana u control . Mtandao ulianzishwa mwaka 1999 hata mimi sijafika Nchi hiyo na kuondoka . Nimeukuta na kuuendelea muda umeisha nikarudi nyumbani .
Kusema kuna ushirikiano na mtu mmoja wewe ni muongo . Wabongo wana Uongozi wao wa muda . Ni uongozi wa muda kwa kuwa waakaji wa muda mrefu wa Holland ni watumishi wana kazi zao so wale wanafunzi wanao kuja kusoma hapo nao ni wa muda hawawezi kutoa uogozi wa kudumu so umebakia kuwa na uongozi wa muda kwa kupena info na ku socialize pale inapobidi .
Naweza kuwataja viongozi na waanzilishi wa mtandao huu kuonyesha kwamba wew ni muongo juu mtanzania kuwazunguka Watanzania wenzake.
Watanzania wenyewe wakiambiwa wajipange wafanye mambo yao hawawezi wanaona 10 euro ni kubwa na jamaa kwa kuwa anataka ujiko anachofanya ni kusema na viongozi wale na kutoa pesa ili wakutane .
Kweli tume hoji pesa hiyo ni fungu lipi . Yeye mwenyewe alijibu na wala si mtu mwingine kwamba anazitoa kwenye makusanyo na receipt na kila kitu kinapelekwa nyumbani yaani Ubalozini . Uongo huu wa mtu kumjibia huyu mzungu ni mkubwa na uache na maswali haya yaliulizwa nikiwapo katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Utrecht Law Faculty .Go easy na data .
Watanzania wana maneno tu kutenda hapana . Huyu mzungu ana matatizo sana lakini sasa tufanyeje ? Mwaka 2005 August Mkapa aliulizwa mbele yake kwamba kwa nini asiondolewe tukawa na mzawa na balozi majibu ni ya Mkapa jamaa anajitolea sana so mwacheni aendelee ila ataweka note kwenye hand over notice kwa rais ajaye . Mkapa alisema mwacheni anajitolea mno toka mfukoni mwake na si mzungu wala Mtanzania ambaye unaye msemea hapa . Kama ulikuwepo siku ile pale Hotelini The Hague wakati Mkapa ana aga .
Jamaa huwa hatoi zaidi ya euro 1200 na hesabu huwa anapewa maana kumbuka jamaa ni mfanya biashara so kila kitu ni biashara na ndiyo huwa majibu kwamba I am not a politician but a business man . Yeye na Katibu mkuu wa pesa ni dole dole .Yeye ameshiriki hata kuandika paper ya Utendaji wa JK kwa muda wa miaka 5 na nilisha wahi kuiona . Amekuja na issue ya sticker imeanzia hazina ikaja kwake kapeta nayo .
Naomba Nabii uwe nabii kweli si uchwara .Watanzania wa Holland hawako tayari kujifanyia mambo yao na jamaa akisha fanya si kwamba wanakaa kimya hapa huleta majungu kama haya bila ya kujua kinacho endelea. Mengine siwezi kuyasema maana siyajui ila haya nataka yajulikane .