MZUNGU ana access ya siri za serikali


G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
118
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 118 0
BREACHES za NATIONAL SECURITY PART II

Usalama wa taifa kimyaaa

Membe Kimyaaa

JK naye kimyaaa

WAPINZANI ..well lets forget about them

Taarifa ni kuwa kuna MZUNGU ana access za communications zote na nyaraka zote za siri ubalozi wetu HOLLAND na nafasi hiyo alipewa badala ya kupewa Watanzania wazalendo ambao wana elimu, uzalendo na wamekuwa wakisota muda mrefu tu pale Foreign bila hata kupelekwa Msumbiji

sasa MEMBE kama unasoma hii hebu iteteee basi
 
A

Atanaye

Senior Member
Joined
Oct 31, 2007
Messages
153
Likes
1
Points
35
A

Atanaye

Senior Member
Joined Oct 31, 2007
153 1 35
Hii imekaa kijipu-jipu. Mzungu gani ambaye hana?(mimi sio msemaji wa membe)
Nasubiri jibu lake tu, maana huu uzalendo.Lo!
 
M

Mafuchila

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2006
Messages
752
Likes
22
Points
35
M

Mafuchila

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2006
752 22 35
Hii ndio hatari ya kuwa na viongozi serikalini, ambao ni wafanyabiashara au ubia wao na wafanyabiashara hauwezi kuelezewa jinsi ulivyokaa.
 
Yona F. Maro

Yona F. Maro

R I P
Joined
Nov 2, 2006
Messages
4,235
Likes
51
Points
0
Yona F. Maro

Yona F. Maro

R I P
Joined Nov 2, 2006
4,235 51 0
Huyu Mzungu Jina Lake Ni Nani ?

Je Kulifanyika Utaratibu Wowote Wa Usaili Kabla Ya Yeye Kupewa Hiyo Kazi Ambayo Anayo Sasa Hivi ?

Una Uhakika Gani Kama Huyo Mzungu Sio Mtanzania ? Mtanzania Lazima Awe Mweusi Kama Wewe Ndio Uamini ?

Inawezekana Angekuwa Mweusi Lakini Raia Wa Hapo Hapo Mwananyamala Ungekubali Kwa Sababu Ya Rangi

Tuletee Habari Zaidi Ili Wengine Tuweze Kuwauliza Wahusika Vizuri Nimeongea Na Kijana Mmoja Anafanya Kazi Hapo Anakataa Hakuna Kitu Kama Hicho Huyu Ni Mtaalamu Wa Mambo Ya Mawasiliano Nilisoma Nae Chuo Kimoja Na Sasa Kama Itakuwa Ni Kweli Basi Hata Huyu Kijana Haina Maana Ya Yeye Kuendelea Kuwa Katika Nafasi Hiyo Aliyopo Pale

Kule Chuoni Alikula Viapo Zaidi Ya 3 Kutokana Na Kumbu Kumbu Zangu
 
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2006
Messages
14,364
Likes
8,720
Points
280
J

JokaKuu

Platinum Member
Joined Jul 31, 2006
14,364 8,720 280
..hatuna UBALOZI Holland.

..nani anatuma siri za serikali toka DSM kwenda kwa mzungu Uholanzi?

..Alex Khalid[rip] alikuwa Balozi wa heshima wa seycheles Tanzania.

..Daniel Yona alikuwa balozi wa heshima wa ghana Tanzania.

..mahusiano kati ya Tanzania na huyo Mholanzi siyo kitu kigeni.

..tujenge hoja za umuhimu wa Tanzania kuwa na Ubalozi kamili Holland. wako waliofanya hivyo kwa Brazil na Malaysia na matokeo tumeyaona.
 
U

under_age

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2007
Messages
317
Likes
40
Points
0
U

under_age

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2007
317 40 0
BRACHES za NATIONAL SECURITY PART II

Usalama wa taifa kimyaaa

Membe Kimyaaa

JK naye kimyaaa

WAPINZANI ..well lets forget about them

Taarifa ni kuwa kuna MZUNGU ana access za communications zote na nyaraka zote za siri ubalozi wetu HOLLAND na nafasi hiyo alipewa badala ya kupewa Watanzania wazalendo ambao wana elimu, uzalendo na wamekuwa wakisota muda mrefu tu pale Foreign bila hata kupelekwa Msumbiji

sasa MEMBE kama unasoma hii hebu iteteee basi
habari yako ingependeza zaidi kama ungeweka source,ushahidi au at least jina la huyo mzungu.vipi utatuconvince tujadili issue kama hii? wakati tunaemjadili hatuna uhakika kama anaexist au laa?
 
Kafara

Kafara

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2007
Messages
1,396
Likes
88
Points
145
Kafara

Kafara

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2007
1,396 88 145
mashambulizi mengine bwana!!!
ubalozi wa tz uholanzi ulifungwa miaka
mingapi iliyopita, leo mtu anasema ubalozi upo!!!
 
Dua

Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
2,481
Likes
28
Points
135
Dua

Dua

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
2,481 28 135
Huu ni udaku au nini?
 
C

Choveki

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2006
Messages
448
Likes
16
Points
35
C

Choveki

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2006
448 16 35
....WAPINZANI ..well lets forget about them ...
Wapinzani wanaandaa maanadamano ya kumlaani Kibaki "ati" kumwibia kura Raila!!!!!

Nadhani hata mimi nilishaona mahala vielelezo vya huyo jamaa, ila sikumbuki wapi, kama sikusei ni mtu alinitumia au tuma link. Nikumbukavyo ni kuwa aliiomba serikali na kupewa ule u "honarary ambassador" hapo uholanzi.
 
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Likes
26
Points
0
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 26 0
Ni kweli Tanzania wana representative, yaani High-Commissioner ambaye ni mholanzi (jina iko sahau mimi). Ila kazi nyingi za ki-ubalozi, unasogezwa Brussels.
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,842
Likes
96
Points
145
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,842 96 145
Huyu anaitwa

Frans J. Hakkenburg

Ni mfanya biashara mkubwa wa Utalii Tanzania. Hukaa muda mwingi Tanzania mbugani na mshikaji wake sana EL na JK . Jamaa hakuomba alipewa na MKapa ukuu baada ya ku pump mapesa kwenye mfuko wa Firsa sawa kwa wote wa Mkewe Mkapa . Huyu jamaa ni tajiri aliyejipenyeza kwenye serikali yetu . Ana madudu kibao anafanya lakini hakuna wa kumgusa .
 
Mwawado

Mwawado

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2006
Messages
998
Likes
36
Points
35
Mwawado

Mwawado

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2006
998 36 35
Waungwana sio huyo tu aliyepo Belgium,Tuna Consular Mwingine Mzungu anayeitwa kjell Bergh ambaye ni Consular hapa USA na anaishi Minnesota,Ni Mfanyabiashara anayemiliki Kampuni ya Bergh International Holdings (1974),Ni rafiki Mkubwa wa Rais Mstaafu Mkapa na pia ni Rafiki wa Muungwana Kikwete,Nakumbuka Kikwete alipokuja Minnesota sept'07 Tulihudhuria chakula cha Jioni Nyumbani kwa Consular huyo huko Edina,MN,Pamoja na Biashara nyingine yeye ndiye agent wa Magari ya BMW na VOLVO,na inasemekana Kikwete alipoukwaa Urais alipewa zawadi ya BMW SUV,Na Mheshimiwa huyo,Bergh sio Mmarekani ni raia wa Norway.Jisomee hapo chini jinsi anavyotafuta uwekezaji huko Tanzania.

TANZANIA CONSUL UNVEILS $100M PROJECT

MINNEAPOLIS – An ambitious $100 million project dubbed "World Trade Center Great Lakes & Kilimanjaro International" is to be built in Northern Tanzania, an official said. Kjell Bergh, Tanzania's Minnesota-based consul for trade and investment promotion, said three Tanzanian investors were involved in the project and would partner with the Tanzanian government.Speaking at the Pan African Trade and Investment Summit, a three-day conference at the University of Minnesota, Bergh said 5,000 acres of land had been set aside for the project. It will have a University complex, a conference center, hotel complex, a golf course and an enterprise-processing center for exports.About investment opportunities in Tanzania, the consul said since independence in 1961, Tanzania had gone from one of the 20 poorest countries in the world to one of the most promising. Quoting a recent African Competitiveness Report issued by Harvard University, "Tanzania topped the improvement index." "A recent World Bank/IMF study showed the country as the most improved in terms of business climate," Bergh said. The country's committed investment in education has enabled the number of Universities in Tanzania to jump from one at independence to more than 20 today."The creation of the Dar es Salaam Stock Exchange has helped revitalize the Tanzanian economy, generating fresh capital for established and emerging firms," Bergh said. "Between 1990 and 2005, approximately $10.2 billion in foreign direct investment helped create 3,531 projects, creating more than 500,000 direct and indirect jobs".In March, the World Association of Investment Promotion Agencies and the UN Conference on Trade and Development named the Tanzania Investment Center, the one-stop investment processing facility, the best in the world. The center assists investors in dealing with all government agencies and cutting red tape.In terms of foreign investment, $ 475 million was invested in Tanzania in 2006, mainly in the mining and tourism sectors. Direct foreign investment is projected to increase to $550 million.Investors are assured of the safety of their investments, as Tanzania is a member of Multilateral Investment Guarantee Agency and International Center for Settlement of Investment Disputes. The country further enjoys a peaceful and stable democratic form of government.
 
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
118
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 118 0
Hivi ninani Shadow FOREIGN AFFAIRS MINISTER wa:
CUF
TLP
NCCR MAGEUZI
CHADEMA
NAREA (hivi bado wapo hawa)?

halafu mnasema eti ohhh WAPINZANI huu ni mwaka wao

In short naweza kusema kuwa CCM ni chama pekee kilichopo madarakani na kitaendelea kukaa madarakani kama tutaendelea kuwa na wapinzani style hii

Cant blame CCM kwa hili kwani jamaa hawana hata tone la presha na nashangaa ROSTAM anahangaika kumwaga mapesa kila kona for what? Huu upinzani usio na kichwa wala miguuu?
 
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Messages
7,385
Likes
1,237
Points
280
Kichuguu

Kichuguu

Platinum Member
Joined Oct 11, 2006
7,385 1,237 280
.........Lahaula astaghafirulahi (hata kama siijui lugha)..........

..........Mama yangu weeee..........

........Mayooooo................,

.......Mahweeeee............

........Mai wasu wee......................
 
Kafara

Kafara

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2007
Messages
1,396
Likes
88
Points
145
Kafara

Kafara

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2007
1,396 88 145
Ni kweli Tanzania wana representative, yaani High-Commissioner ambaye ni mholanzi (jina iko sahau mimi). Ila kazi nyingi za ki-ubalozi, unasogezwa Brussels.
jina "high- commissioner" hutumika kwa balozi wa nchi zilizo wanachama wa commonwealth (sijui kama ataendelea kuitwa hivyo iwapo nchi itajitoa kwenye umoja huo. japokuwa inawezekana kabisa balozi kwenye nchi husika akaendelea kuitwa high-commissioner) na ubalozi huitwa high-commission. kwenye nchi nyingine ubalozi huitwa embassy na na balozi ambassador. bahati mbaya/nzuri kwa kiswahili high-commission na embassy zote huitwa ubalozi na wakuu wake huitwa balozi. balozi za umoja wa mataifa huitwa permanent mission to the un na balozi huitwa permanent representative.

kwa mantiki hiyo huyo mholanzi hawezi kuwa high commissioner.

mwakilishi (balozi) anayehusika na masuala ya mahusiano kati ya serikali ya uholanzi na tanzania ni balozi wetu ubeligiji. huyo mholanzi atakuwa anashughulikia masuala ya biashara na utamaduni. naamini hususan yale yasiyo ya maingiliano ya moja kwa moja na siasa au serikali na serikali.
 
Kafara

Kafara

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2007
Messages
1,396
Likes
88
Points
145
Kafara

Kafara

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2007
1,396 88 145
ni vyema tukajiuliza

- ni nani anayewa-clear hawa watu kabla ya kuteuliwa kwao?

- je wizara ya mambo ya nje ina mchango gani katika uteuzi wao?
kwa maana je wizara inaweza weka pingamizi iwapo hairidhiki na hao jamaa? je iwapo ikulu na usalama wamewa-clear wizara inaweza kukataa huo uteuzi?

binafsi siamini watu hawa hupewa nyaraka "sensitive" za serikali. na kama kuna ukweli katika hili basi tunaelekea (kama sio kufika) kubaya sana.
 
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2007
Messages
1,087
Likes
26
Points
0
Nzokanhyilu

Nzokanhyilu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2007
1,087 26 0
jina "high- commissioner" hutumika kwa balozi wa nchi zilizo wanachama wa commonwealth (sijui kama ataendelea kuitwa hivyo iwapo nchi itajitoa kwenye umoja huo. japokuwa inawezekana kabisa balozi kwenye nchi husika akaendelea kuitwa high-commissioner) na ubalozi huitwa high-commission. kwenye nchi nyingine ubalozi huitwa embassy na na balozi ambassador. bahati mbaya/nzuri kwa kiswahili high-commission na embassy zote huitwa ubalozi na wakuu wake huitwa balozi. balozi za umoja wa mataifa huitwa permanent mission to the un na balozi huitwa permanent representative.

kwa mantiki hiyo huyo mholanzi hawezi kuwa high commissioner.

mwakilishi (balozi) anayehusika na masuala ya mahusiano kati ya serikali ya uholanzi na tanzania ni balozi wetu ubeligiji. huyo mholanzi atakuwa anashughulikia masuala ya biashara na utamaduni. naamini hususan yale yasiyo ya maingiliano ya moja kwa moja na siasa au serikali na serikali.
You might be right on that, sijacheki right terminology. Ila yupo kama balozi au honorary au nini, ukweli ndio huo.
As for the parts in bold, hayo umesema wewe.
 
Kafara

Kafara

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2007
Messages
1,396
Likes
88
Points
145
Kafara

Kafara

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2007
1,396 88 145
You might be right on that, sijacheki right terminology. Ila yupo kama balozi au honorary au nini, ukweli ndio huo.
As for the parts in bold, hayo umesema wewe.
mkuu nzokanhyilu, mimi nilikuwa naweka sawa hizo terminologies tuu. nchi kuwa na wawakilishi kama hao si ajabu ni jambo la kawaida kabisa nadhani jokakuu amelieleza hilo. kwa hiyo sibishi kabisa uwepo wa huyo jamaa wa uholanzi.

kweli hayo uliyoweka kwenye bold ni mesema mimi na kama kwa namna yoyote nimeashiria kwamba ulisema wewe haikuwa nia yangu.

tusonge mbele na mjadala
 
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Messages
8,570
Likes
118
Points
0
G

Game Theory

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2006
8,570 118 0
Hivi wakenya au wa Nigeria wanaweza kukubali huu upuuzi?
 
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,373
Likes
1,524
Points
280
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,373 1,524 280
Jamani mambo mengine yanahitaji uchanganuzi na si kulaumu tu
Huu ubalozi mdogo uholanzi
Kwa kawaida ubalozi mdogo has nothing to do with nyaraka za serikali
ila upo pale kusaidia mambo mfano kama kuna watalii 30 wanataka viza yeye anakusanya hizo form zao na anazifoward ktk ubalozi na viza zikija anawakabidhi.
Mfano mwingine badala ya watanzania kupoteza nauli zao kwenda kuweka fingure print kule brusell balozi ndogo inawasaidia kuchukua hizo data zao na kuzipeleka ktk balozi.

Nahisi jamaa aliomba hivyo baada ya kuona mtalii anachagua sehemu ya kwenda bila usubufu yani aende kuomba viza ubelgiji wakati kuna ubalozi wa kenya hapohapo.

Pia bado nahisi na kwa asilimia kubwa jamaa ni voluteer yani anafanya hivyo bila malipo ya serikali ya tz

mimi nafkri tuangalie mambo kwa undani zaidi na sio kukimbilia ktk ubaguzi wa rangi mfano mimi nikiwa na mke mzungu ama mhindi ama mchina na akaukwaa uraia wa tz haruhisiwi kuwa Rais wa tz ama kazi yoyote ya kuiwakilisha tz?? kama ndivyo basi sisi ni wabaguzi wa rangi ile mbaya

Nendeni Gabon mkaone wazungu walivyo ktk wizara za serikali ile na angalieni uchumi wa gabon yani wale jamaa maisha yao ni standard utafikiri upo Londan.
 

Forum statistics

Threads 1,237,040
Members 475,401
Posts 29,276,247