MZUNGU ana access ya siri za serikali

Kweli ukion vyaelea vimeundwa...sasa unaelea ufisadi tunashangaa nini? wazungu tumewapa jina la heshima,WAWEKEZAJI. Wanawekeza nini na wapi hilo sijui sana.
 
Akipewa mzungu mnalalamika

Amepewa Mshiriri wa HSC mnalalamika

Aapaewa black American mmelalamika

sasa apewe nani??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom