Njegele
Member
- Aug 3, 2014
- 61
- 99
Kila nikiwa nasoma Uzi JF haiwezi kupita wiki nzima bila kuwekwa Uzi wa JPM, ni kwamba Magufuli alifanya mambo mazuri sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka?
Ama alifanya ya ovyo Sana Kwa wananchi ndo maana wanamkumbuka.
Nikiwa nafikiria hayo nikakumbuka enzi za JPM petrol ilikuwa 1700/= Michele 1500, na maharage 2000, nikakumbuka hakukuwa na mgao wa umeme japo hapakuwa na mikutano ya kisiasa, kutekwa Kila mara ila gharama za maisha zilikuwa chini.
NIMEKUMBUKA TU