Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

nishawahi sikia kuna watu wanajua hadi siku ya kufa na nikaabiwa ukitaka kujua ufanye tahajudi je nisahih
Sijajua ukweli mkuu, ila nachojua ni kuwa uwezo ni kujua kusudi la imagination zako tuu, hao watu wapo na nilisha skia sana hizo story mpaka vifo vya maraisi na watu mashuhuri watu hutabiri... Ila hayana proof ni namna gani yanatokea.

Ninicho jua dini ni fumbo la imani na ukweli uko ndani yako.
 
Ni kwel proof ya mambo hayo hakuna mpaka sasa
kama dini zinatufanya kuwa tegemezi tunaishi kwa kuogopa dini ukwel ulio ndani yetu tutaujuaje?
 
Ni kwel proof ya mambo hayo hakuna mpaka sasa
kama dini zinatufanya kuwa tegemezi tunaishi kwa kuogopa dini ukwel ulio ndani yetu tutaujuaje?
Acha kuogopa vitisho vya dini, dini iweke kama sehemu ya kujifunzia tu.

Mambo ya jehanamu, moto, pepo, mbingu nk visikutoe kwenye reli kijana.
 
Ni kwel proof ya mambo hayo hakuna mpaka sasa
kama dini zinatufanya kuwa tegemezi tunaishi kwa kuogopa dini ukwel ulio ndani yetu tutaujuaje?
Kwa kufuta dhana zote, ila tena ni kama fumbo tu yaani si kwamba ufute dhana na kuwa mjinga, Hapana yaani unakuwa na hizo dhana lakini huzikumbatii
 
Kuna watu hapa duniani wanateseka sana kwa kutojua KWELI

Na hata ukiwaamsha watakushambulia vibaya
kuna muda huwa najichekea moyoni tu!
ni jambo gumu sana na la atari kutaka kuwafanyia watu ukombozi ndio mana ata katika stor za walilowai kuitwa mitume,manabii au wapigania aki wote mwisho wao ulikua ni mbaya na ugumu uwa unakuja kwanza kwa unaotaka kuwafanyia ukombozi uwa wanakua na vichwa vigumu sana alafu pili kwa ambao awafurahii watu wengine wakombolewe kwaiyo ni bora kutulia na kuwachora tu
 
Hakika, ila bado ndani utakuwa unaumia na as we all know kadri ukaavyo kimya maumivu yatakuwa makali...

Ndo maana tunapaswa kutafta like-mind people kuliko kujaribu kubadilisha watu wasio weza kamwe kuelewa na kubadilika.

Jesus, alitafta wafwasi wake 12 lakini bado mmoja alimsaliti so, yote kwa yote lazima utafute group lako then mzidi kudraw watu na baadae wengi wazidi kuona how effective maono yako au yenu yalivyo
 
Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu.

Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba kukufanya uone ilihali akiwa na malengo na wewe. Ni uwezo ambao mtu huzaliwa nao, na mwanzo unaweza kudhani ya kuwa wewe ni mtu wa tofauti, kama vile wewe hatukuumbiwa kuishi hapa duniani, maana ni kama wengine wanaishi maisha tofauti kabisa na jinsi wewe unadhani ya napaswa kuwa ila bado ukijaribu kuelezea watakuona umechizika au una jiona mjuaji.

Jesus, kwenye Bible alihukumiwa na kusurubiwa because watu hawapendi kitu wasicho kijua, change is painful..

Buddha alitoweka na kwenda kuishi peke yake jangwani ili aujue uhalisia ndani yake, just like Jesus alivyo funga na kutokula for 40 days and 40 nights.

hivyo isolation ndo kitu pekee ambacho hufanya mtu aliye chaguliwa kuona mambo ajue nini haswa alipaswa kukifanya humu duniani.

Katika safari hii, kuna kipindi cha mateso, kama jinsi Yesu alivyo surubiwa.

Hiyo ilikuwa metaphor ya death and rebirth. Katika maisha halisi death sio kufa mwili ni kufa kwa ego, ni kuachana na kila dhana uliyo mezeshwa na ulimwengu, ni kurudi katika ukuu wako.

It's one of the painful season, inaitwa dark knight of the soul unaweza kuhisi ndo mwisho wa maisha yako. Ila ndo kwanza safari mpya inaenda kuanza.

Utapoteza, mali, marafiki, ndugu na jamaa.. The more unavyo jitahidi kuvirudisha ndivyo maumivu yanazidi kuwa makubwa. Trust me divine plan kamwe haiwezi kuvunjwa. You can't override it. Lazima itimie...

Ndugu zangu, ambao wanaishi maisha yao bila kujali, shukuruni sana Mungu kwa sababu hamjui watu walofunguliwa wanapitia. Ni kazi pia kuja kuanza kuprove hii kitu kwa watu, ni mpka mtu aliye funguliwa aje.. Aone then a relate na safari yake then, aseme that's exactly what am going through too

Carl Gustave Jung aliwahi kusema
"until you make the unconscious conscious, it will always control your life and you'll call it fate"
Sijasoma uzi wako ila nahisi unahubiri neno la mungu

Hongera
 
Hakika, ila bado ndani utakuwa unaumia na as we all know kadri ukaavyo kimya maumivu yatakuwa makali...

Ndo maana tunapaswa kutafta like-mind people kuliko kujaribu kubadilisha watu wasio weza kamwe kuelewa na kubadilika.

Jesus, alitafta wafwasi wake 12 lakini bado mmoja alimsaliti so, yote kwa yote lazima utafute group lako then mzidi kudraw watu na baadae wengi wazidi kuona how effective maono yako au yenu yalivyo
sahii mkuu
 
Sijasoma uzi wako ila nahisi unahubiri neno la mungu

Hongera
Hapana mkuu sijahurbiri,
Au tuseme nimehubiri ila kwa namna isiyo nitaka mtu a amini bali achunguze kwa makini na ajue pa kuamini
 
hivyo isolation ndo kitu pekee ambacho hufanya mtu aliye chaguliwa kuona mambo ajue nini haswa alipaswa kukifanya humu duniani.
Hapa umenena Mkuu. Nikimfikiria Mh Tundu Lissu au nikijikiria Mimi kwa mbaliii 😃
 
Hapa umenena Mkuu. Nikimfikiria Mh Tundu Lissu au nikijikiria Mimi kwa mbaliii 😃
Yes, infact Tundu Lissu anaweza fikiri kufungwa ni mateso ila inaweza kuwa ndo ile phase ya isolation imekuja kama kifungo.

He's there to learn how to win the battle and fulfill what the creator brought him here. Inaweza isionekane hivyo au isitokee kwa namna tuiwaziayo sisi ila there's a reason behind all of that
 
Back
Top Bottom