Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu.

Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba kukufanya uone ilihali akiwa na malengo na wewe. Ni uwezo ambao mtu huzaliwa nao, na mwanzo unaweza kudhani ya kuwa wewe ni mtu wa tofauti, kama vile wewe hatukuumbiwa kuishi hapa duniani, maana ni kama wengine wanaishi maisha tofauti kabisa na jinsi wewe unadhani ya napaswa kuwa ila bado ukijaribu kuelezea watakuona umechizika au una jiona mjuaji.

Jesus, kwenye Bible alihukumiwa na kusurubiwa because watu hawapendi kitu wasicho kijua, change is painful..

Buddha alitoweka na kwenda kuishi peke yake jangwani ili aujue uhalisia ndani yake, just like Jesus alivyo funga na kutokula for 40 days and 40 nights.

hivyo isolation ndo kitu pekee ambacho hufanya mtu aliye chaguliwa kuona mambo ajue nini haswa alipaswa kukifanya humu duniani.

Katika safari hii, kuna kipindi cha mateso, kama jinsi Yesu alivyo surubiwa.

Hiyo ilikuwa metaphor ya death and rebirth. Katika maisha halisi death sio kufa mwili ni kufa kwa ego, ni kuachana na kila dhana uliyo mezeshwa na ulimwengu, ni kurudi katika ukuu wako.

It's one of the painful season, inaitwa dark knight of the soul unaweza kuhisi ndo mwisho wa maisha yako. Ila ndo kwanza safari mpya inaenda kuanza.

Utapoteza, mali, marafiki, ndugu na jamaa.. The more unavyo jitahidi kuvirudisha ndivyo maumivu yanazidi kuwa makubwa. Trust me divine plan kamwe haiwezi kuvunjwa. You can't override it. Lazima itimie...

Ndugu zangu, ambao wanaishi maisha yao bila kujali, shukuruni sana Mungu kwa sababu hamjui watu walofunguliwa wanapitia. Ni kazi pia kuja kuanza kuprove hii kitu kwa watu, ni mpka mtu aliye funguliwa aje.. Aone then a relate na safari yake then, aseme that's exactly what am going through too

Carl Gustave Jung aliwahi kusema
"until you make the unconscious conscious, it will always control your life and you'll call it fate"
Subiri kwanza.
Mbona ulituaga kama unataka kupumzika kuingia humu Jukwaani 😜.
Au nimekufananisha
 
😅😅😅😅Mbona vigezo.
Kwa hizo akili zako nyingi itakubidi upate Tanzania one 😅
Nina akili gani mie?
Vigezo vinahitajika asije kupuyanga si unajua Jimbo lilikua na mtu hili
 
Kuna hekima kubwa sana ya kutojua kila jambo , kuna wale ambao hawana akili kabisa yaani akili ya kawaida ''machizi'' hawa wanaenda na flow za maisha , wanaweza kula hata kinyesi na wasipat madhara .. Yaani kuna hekima kubwa ya kutojua kila kitu mpaka kitokeo ile physical , assume mtu angekuwa anajua kifo chake angeishi kwa amani kweli ? yaani unajua mwaka 2026 utakufa hata kama haujui mwezi , tarehe au siku gani , jiulize utaishi vipi kama sio wasiwasi mwanzo mwisho , utakonda kabla ya kufa .​


Wapo wanaojua na ndiyo hao wanaumiza vichwa kila siku , watu waishi tu fresh siku ziende..Kuna mambo ukianza kuyaweka mbele sana hata kama unajua basi yatkusumbua . Kuna sister alikuwa na hao watu wa mapepo (mashetani) yaani alikuwa anadai anaona mambo ya nje ya dunia , kuna kipindi analala anaona mambo ya hovyo basi ikawa ni kilio na kuogopa .
 
Usijiulize mara mbili mbili
FB_IMG_1748852351669.jpg
FB_IMG_1748852351669.jpg
 
Kuna hekima kubwa sana ya kutojua kila jambo , kuna wale ambao hawana akili kabisa yaani akili ya kawaida ''machizi'' hawa wanaenda na flow za maisha , wanaweza kula hata kinyesi na wasipat madhara .. Yaani kuna hekima kubwa ya kutojua kila kitu mpaka kitokeo ile physical , assume mtu angekuwa anajua kifo chake angeishi kwa amani kweli ? yaani unajua mwaka 2026 utakufa hata kama haujui mwezi , tarehe au siku gani , jiulize utaishi vipi kama sio wasiwasi mwanzo mwisho , utakonda kabla ya kufa .
Uhalisia ni kuwa physical reality haiwezi kujulikana kuwa itakuaje. Hakuna mtu anaye weza ku time travel into the future.

Hapo utambuzi tunaozungumzia ni tofauti na wakujua hatma yako, bali kujua nini maana ya kile kitokeacho, nini kusudi la wewe kuwepo na namna bora ya kujua kiini ncha matendo yetu. Na hicho ni kitu personal.

Wapo wanaojua na ndiyo hao wanaumiza vichwa kila siku , watu waishi tu fresh siku ziende..Kuna mambo ukianza kuyaweka mbele sana hata kama unajua basi yatkusumbua . Kuna sister alikuwa na hao watu wa mapepo (mashetani) yaani alikuwa anadai anaona mambo ya nje ya dunia , kuna kipindi analala anaona mambo ya hovyo basi ikawa ni kilio na kuogopa .
Huenda sister wako kweli alikuwa possessed au laa, maana sina ujuzi wa hayo mambo. Ila pale alikuwa anasumbuliwa na kitu just like magonjwa anapouguwa. Ila sio sawa na kusema alikuwa anayaona mambo kiuundani zaid to say.. Hayo ni maoni yangu though
 
Back
Top Bottom