Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

Wassira safari ya Marekani kufanya nini.
Anakwenda kumtafuta Mange ili amteke?
 
Hujamuelewa ????

Anamaanisha endelea kutukana, kuuwa kuteka na kutamba katika uwanja wako huru na ukilindwa na dola, ila kila kitu kitatunzwa kwa matumizi yajayo.
ok.
punguza porojo bas jukwaani na itapendeza zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom