visa ya marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Waafrika Kukabiliwa na Dhamana ya Hadi Dola 20,000 Kupata Visa ya Marekani

    Raia kutoka nchi 50, zikiwemo 30 za Afrika, watakabiliwa na amana za usalama za hadi dola 20,000 za Marekani wakati wa kuomba visa fulani za biashara na utalii chini ya programu ya kudumu ya dhamana ya visa iliyotangazwa na Marekani. Maafisa wanasema hatua hiyo inalenga kudhibiti watu wanaokaa...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kituo Kipya cha Visa Marekani Afrika

    Kuwa mwanaharakati ni tatizo maana unaowaamini nao wanawaamini usiotaka wawaamini! Mnahisi mnasogea kumbe mnarudishwa kinyume nyume!! Tanzania imechaguliwa kuwa moja ya vituo 20 pekee vya Afrika vitakavyoshughulikia maombi ya visa za Marekani chini ya mfumo mpya wa marekebisho ya huduma za...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Mabadiliko ya Masharti ya VISA ya Marekani si kosa la Serikali, ni kosa la Wanaozamia

    Kuna baadhi ya Watu wamekuwa na tabia ya kwenda Marekani na wakifika huko wanazamia au wanachelewa kurejea ndani ya muda wa Visa ambayo walipewa. Serikali ya Marekani imeamua kuweka mabadiliko ya maombi ya Visa kwa Nchi kadhaa kama tano au sita, chanzo ni ndugu zetu wanaokwenda na hawarudi...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Trump anachofanya kuweka ngumu kupata visa ya Marekani na kuwasaka waamiaji haramu kupitia ICE yuko sahihi

    Anachofanya Trump ni sahii kwa asilimia 100 tena ikiwezekana hata wale ambao wana-documents anatakiwa anawakimbize warudi wakajenge nchi zao sababu sisi waafrika tumeshindwa kuzipigania nchi zetu wako watakaosema ni ngumu jibu ni kwamba hakuna kitu kirahisi Ukifuatilia habari ni kawaida kuona...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu Utakayoulizwa wakati wa Usaili (Interview) wa Visa ya Marekani

    Unapoomba Visa ya Marekani (US Visa Interview) katika Ubalozi au Konseli ya Marekani, mahojiano ni sehemu muhimu. Afisa wa ubalozi atauliza maswali ili kuthibitisha kuwa taarifa ulizoandika kwenye fomu ni sahihi na kujua nia yako ya kweli ya kusafiri Marekani. 🔹 Maswali ya kawaida unayoweza...
  6. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Raia wa Zambia na Malawi watatakiwa ku-deposit 15000 USD kabla ya kupewa VISA

    Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja. Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lugha gani inatumika wakati wa interview ya visa ya Marekani?

    Jaman Wana jamii forums Nina swali. Je, ni lugha gan ambayo hutumika wakati wa interview yako pale ubalozi wa marekani ni Kiswahili au ni English? Na pia, je interview unafanyia ndani kwenye chumba au ni dirishan jaman? Msaada wenu
Back
Top Bottom