Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 41,798
- 72,795
Familia yake inaishi huko, kama ulikuwa hujuiSasa mzee wa miaka zaidi ya 80 kwenda USA kutamsaidia nini?
Familia yake inaishi huko, kama ulikuwa hujuiSasa mzee wa miaka zaidi ya 80 kwenda USA kutamsaidia nini?
siyo huyo tu hata yule MD wa NALA naye alinyimwa ,sijui kama alipataInawezekana ni kweli. Ndio maana ana hasira sana na "mabeberu"😁😁
watoto wake kule wanaishi ,wewe baki kusema kutamsaidia nini, uipigie kura ccm ,wenzio familia zao ziko USSasa mzee wa miaka zaidi ya 80 kwenda USA kutamsaidia nini?
Wanajua hawatakuwa na cha kuzungumza naye.Nacheka kama mazuri, ila ndo ujue uko kwenye radar.
Usijali mzee wangu, mabeberu hao wasikuumize kichwa.
Twenzetu China 😎
Kama sio lazima aliomba viza ya nini.Huko kwa mabeberu sio mbinguni hivyo sio lazima kwenda.
Wamemkatalia kwenda ushogani?Na bado
Acha kudanganya watoto wa 2000 na kufurahisha genge, Nyerere hajawahi kunyimwa viza ya Marekani.Hata Nyerere aliwahi kunyimwa visa ya marekani
Hujui historia ya kudai uhuruAcha kudanganya watoto wa 2000 na kufurahisha genge, Nyerere hajawahi kunyimwa viza ya Marekani.
Juzi Kombo na Palamagamba walikuwa ushogani, na Mama kesho kutwa anatarajia kwenda ushogani lkn wanafichaficha.Wamemkatalia kwenda ushogani?
Wewe unategemea historia mimi mwenyewe nilikiwepo.Hujui historia ya kudai uhuru
Labda ulikuwa mpitimbi huko unalima matuta ya viaziWewe unategemea historia mimi mwenyewe nilikiwepo.
Sawa, ila uache kupotosha, hao hao wazee wa mpitimbi walima viazi ndio walichangia kupatikana huu uhuru anaotambia Samia, usiwadharau.Labda ulikuwa mpitimbi huko unalima matuta ya viazi
Kumbe hata hotuba za Mwalimu hukuwahi kuzisikia halafu unajidai mwanaharakatiSawa, ila uache kupotosha.
Ishu ni Nyerere kunyimwa viza, kama kuhutubia UN 1955 wakoloni walitaka achelewe mkutano kwa kumzungusha kumpa visa lkn alipata na akaenda na akahutubia, tuambie lini alinyimwa viza.Kumbe hata hotuba za Mwalimu hukuwahi kuzisikia halafu unajidai mwanaharakati
Pitia hotuba zake ujifunzeIshu ni Nyerere kunyimwa viza, kama kuhutubia UN 1955 wakoloni walitaka achelewe mkutano kwa kumzungusha kumpa visa lkn alipata na akaenda na akahutubia, tuambie lini alinyimwa viza.
Nafikiri tumemalizana tuendelee na hoja zingine.Pitia hotuba zake ujifunze