Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

Mzee Wasira, kweli umenyimwa visa ya Marekani? 😃

Kamati Kuu nzima ya NEC inaweza kunyimwa viza.
Nasikia hata Kikwete ameanza kuonja joto ya jiwe labda Samia amtume kikazi lkn kwa issue zake jamaa ashapigwa za uso.
 
Nacheka kama mazuri, ila ndo ujue uko kwenye radar.

Usijali mzee wangu, mabeberu hao wasikuumize kichwa.

Twenzetu China 😎
Ubalozi wa Marekani Tanzania unatowa viza maalum tu kwa Watanzania kwa sasa bado tupo kwenye ban ya Trump.

Je Wasira alikuwa na sababu maalum ya kwenda Marekani?
 
Kamati Kuu nzima ya NEC inaweza kunyimwa viza.
Nasikia hata Kikwete ameanza kuonja joto ya jiwe labda Samia amtume kikazi lkn kwa issue zake jamaa ashapigwa za uso.
Msiingize kila kitu siasa, mmiliki wa Nala Fernandes amesoma Marekani na Nala ameifungulia Marekani lakini naye Wamerevoke viza yake anashindwa kuingia Marekani.

Kikwete ana nyumba New York Marekani.
 
Msiingize kila kitu siasa, mmiliki wa Nala Fernandes amesoma Marekani na Nala ameifungulia Marekani lakini naye Wamerevoke viza yake anashindwa kuingia Marekani.

Kikwete ana nyumba New York Marekani.

sasa kama siyo siasa ni nini kingine? maamuzi yote ya kunyimwa viza ni ya kisiasa, kwa hali ya kawaida raisi mstaafu wa nchi xyz hawezi kuzuiwa kuingia USA hata siku moja hata kama USA wanatoa "viza maalumu" tu, raisi mstaafu ni maalumu tayari, hivyo kama ni kweli kazuiwa kuingia USA ni siasa, period ...
 
Huyo ni mwanzo tu, wapo wengine wengi wanafuata kunyimwa hizo Visa za US

Tujisahihishe, muda bado tunao
 
Nacheka kama mazuri, ila ndo ujue uko kwenye radar.

Usijali mzee wangu, mabeberu hao wasikuumize kichwa.

Twenzetu China 😎
Huyu mzee simpendi ni basi tuu sina cha kumfanya lakini ni mwanasiasa wa hovyo sana kuwahi kutokea
 
Back
Top Bottom