Mzee wa Nje ya Box Kigwangala karibu mtaani uone game

Mzee wa Nje ya Box Kigwangala karibu mtaani uone game

Kigwa analielewa game la kitaa kitambo sababu kawekeza huko licha ya kuwa mbunge na Waziri,labda muwakaribishe akina February Mauzi.
 
Majizi ya sampuli ya huyo daktari wanahitaji kinga ya mfumo wa kisiasa kuendelea kuwepo wakiwa nje mfumo wa CCM na uwezo wa kuonana na viongozi wa juu hawawezi kudumu ndio maana wako tayari kuteka , kuua ili aendelee kuwepo.

Huyu kashfa na wizi aliofanya wizara ya maliasili ingekuwa ni nchi zinazojitambua hata 2020 asingepenya.

Ajabu ni kuwa alisema ubunge sio ajira ni kujitolea ila unaona hamaanishi anachokisema na waliokuwa wanamtumia wameona wamuweke pembeni ndio anaanza kuonyesha uchungu.
 
Hahahaha.. Biashara ya siasa labda ambayo nayo amefeli
Katika kipindi Cha Scanner pale Clouds ulisema unafanya biashara sasa achana na ndharia njoo kwa ground nakupa miaka miwili tu
 
Back
Top Bottom