LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,864
- 13,474
Tumetofautiana. Dont judge them, kuona fursa ni kipaji pia na unahitaji kuwa na guts kuzitumia. Si wote wanaweza na kuwa na huo ujasiriSometimes kwenye haya maisha Bora unyimwe nguvu za kike upewe Akili!!
Hata Huku makazini kuna watu tunawaona wanaishi Kwa shida mpaka unawaza huyu anafeli wapi?