Vesuvius
JF-Expert Member
- Jun 27, 2021
- 3,303
- 6,509
Bila connection hayatoboi, wangapi wana makampuni na hayaendi popote. Siasa ni biashara inayolipa sanaAna makampuni huyo
Bila connection hayatoboi, wangapi wana makampuni na hayaendi popote. Siasa ni biashara inayolipa sanaAna makampuni huyo
Lakini huwezi linganisha na angekuwa mbunge, kuna privileges kibao za kuwa mbungeHuyo hawezi kuwa na njaa.
Subiri uone after miaka kadhaa wanavyopigika mpk unabaki unashangaa ni mbunge huyu?Mbunge mbulula pekeyake ndo anaweza akatoka bungeni after 2 years akawa Tia maji Tia maji!!
ExactlyBila connection hayatoboi, wangapi wana makampuni na hayaendi popote. Siasa ni biashara inayolipa sana
Huwa anafanya biashara kweli ana companies kadhaa ila sasa hivi aje kufanya biashara kavu kavu no support ya ubunge wala cheo kavu kavuKatika kipindi Cha Scanner pale Clouds ulisema unafanya biashara sasa achana na ndharia njoo kwa ground nakupa miaka miwili tu
Ndio aende VETA Ili apate ujuzi wa kuwekeza hayo mabilioni Ili ajiajiri na kuajiri wengineUsisahau huyu ni bilionea! 🙆🙆🙆🙆
Wamulize kingwa MSK solution iliishiaga wapi 😄Lakini huwezi linganisha na angekuwa mbunge, kuna privileges kibao za kuwa mbunge
Kasema ana around 20B, atafulia kirahisi kweli?Wabunge wengi wakitoka Madarakani wanakuwa na maisha ya kawaida .
Ni kweli huwa wanalipwa hela nyingi Ila hela zao huwa zinaishia katika Anasa .
Ni nadra umkute MTU ana maisha yaliyosimama nje ya bunge ukitoa hao wachache walijiwekeza vizuri hata kabla ya kuwa wabunge .
Biashara walizonazo akina kingwangala ni za makaratasi Ila is not the real business .
Wakianza kukamuliwa kodi utamuona kageukia uchawa
Kwani harudi bungeni?Katika kipindi Cha Scanner pale Clouds ulisema unafanya biashara sasa achana na ndharia njoo kwa ground nakupa miaka miwili tu
Hiv unadhan wabungu wana akil kama zako!? Mkuu mle kuna watu umewazid akili mbaaaali mnooo.Mbunge mbulula pekeyake ndo anaweza akatoka bungeni after 2 years akawa Tia maji Tia maji!!
Huyu anabiashara nyingi sana...Katika kipindi Cha Scanner pale Clouds ulisema unafanya biashara sasa achana na ndharia njoo kwa ground nakupa miaka miwili tu
Mimi nakuelewa Sana mkuu , kuna Mbunge nimekuwa nae karibu na wajumbe wamemkata Kama hatopewa cheo sijui itakuaje namuona akirudi kijijini kulima tumbakuHiv unadhan wabungu wana akil kama zako!? Mkuu mle kuna watu umewazid akili mbaaaali mnooo.
Mule watu wanatoka na mizigo ya madeni balaaaa aisee. Hata hao wanaotoka na mipunga asilimia kubwa wape miaka michache tu, kama serikali haiwaoni na kuwapa vyeo, huwa wanachika mbaya sana. Wengi hili suala la ku make their own money kama sisi huku mtaani sio jepesi kwako
Ni kwel kabisaa mkuu. Huko kuwa na asset za kumpa 5m kwa mwez mbona mbali sana braza. Hiyo unaiongelea business ambayo mtu anaajili watu kama wa 5 wenye degree na kuwalipa 500k kwa mwezi na biashara ikaendele poa tu.Mimi nakuelewa Sana mkuu , kuna Mbunge nimekuwa nae karibu na wajumbe wamemkata Kama hatopewa cheo sijui itakuaje namuona akirudi kijijini kulima tumbaku
Kwakuwa umri wake 57 Ana watoto ambao kwa 100% walikuwa wanamtegemea wapo ambao wako primary na mmoja wa kiume ndo alikuwa Dereva wake.
Hana investment zozote za muhimu za kumpa hata 5M kwa mwezi.
Mpaka anatoswa alikosa hela ya kuwapa wajumbe kwakuwa amemaliza ubunge na madeni