Mzee wa Nje ya Box Kigwangala karibu mtaani uone game

Mzee wa Nje ya Box Kigwangala karibu mtaani uone game

Mbunge mbulula pekeyake ndo anaweza akatoka bungeni after 2 years akawa Tia maji Tia maji!!
Bado itategemea na akili ya mtu tu! Sio guarantee sana kwamba lazima atafanikiwa. Ila nakubaliana kwamba bungeni ni njia rahisi ya kufanikiwa kulingana na fursa zilizopo
 
Kabisa na wengine huwa wapo bungeni ili kulinda michongo yao tu
Wengi sio wafanyabiashara wa kweli... wanalindwa na access...wakitoka kwenye siasa ndio watajua biashara zikoje.

Kuna mzee mmoja alipotoka madarakani, mahoteli yote yalikuwa yanachukua maziwa kwake yakamwambia "maziwa ya maji sana" 😂 😂 😂
 
Katika kipindi Cha Scanner pale Clouds ulisema unafanya biashara sasa achana na ndharia njoo kwa ground nakupa miaka miwili tu
kigwa mtoto wa bagaile,mjomba wa bakari maruaha ni milionea,hana shida
 
Wabunge wengi wakitoka Madarakani wanakuwa na maisha ya kawaida .

Ni kweli huwa wanalipwa hela nyingi Ila hela zao huwa zinaishia katika Anasa .

Ni nadra umkute MTU ana maisha yaliyosimama nje ya bunge ukitoa hao wachache walijiwekeza vizuri hata kabla ya kuwa wabunge .

Biashara walizonazo akina kingwangala ni za makaratasi Ila is not the real business .

Wakianza kukamuliwa kodi utamuona kageukia uchawa
 
Back
Top Bottom