johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,004
- 142,036
Lugha uliyotumia hapa imejaa udini. Huwa nawashangaa sana watu mnaotafuta upendeleo wa kidini sijui huwa mnataka nini? Si bora hata upendeleo wa kikabila kwamba ukifaidi mnaboresha kwenu?Pia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako pia
Sasa hapo kazi inaendelea vipi?Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze dini ya kiislamu na aweze kuja kuwa sheikh maarufu.
Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya kiislamu.
Mzee Mwinyi anasema lakini ndoto ya baba yake ya kumuona anakuwa shehe haikutimia kwa sababu alisombwa na upepo wa kisiasa. Lakini Mwinyi anasema yeye ni mwanazuoni.
Kazi Iendelee!
Huyu mzee amezeeka sana, sasa anaonyesha kuanzia kupoteza fahamu anaanza kutoa Siri.Mzee Mwinyi anasema baba yake aliyeishi Mkuranga alimpeleka Zanzibar ili akajifunze dini ya kiislamu na aweze kuja kuwa sheikh maarufu.
Mzee Mwinyi anasema akiwa Zanzibar alipata mafunzo ya Quran kutoka kwa mashehe mbalimbali maarufu na kuwa mwanazuoni wa dini ya kiislamu.
Mzee Mwinyi anasema lakini ndoto ya baba yake ya kumuona anakuwa shehe haikutimia kwa sababu alisombwa na upepo wa kisiasa. Lakini Mwinyi anasema yeye ni mwanazuoni.
Kazi Iendelee!
Gas inatoka haitoki?Pia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako pia
Acha kukisoma wewe sisi tunakisoma.Hiki kitabu ilibidi kibaki serikalini tu.
Lugha uliyotumia hapa imejaa udini. Huwa nawashangaa sana watu mnaotafuta upendeleo wa kidini sijui huwa mnataka nini? Si bora hata upendeleo wa kikabila kwamba ukifaidi mnaboresha kwenu?
Mimi na huo udini wenu kaeni nao na wala sijawahi kuona faida yake.Umekaa udini kivip, kwenye kitabu chake mzee mwinyi kasema alikuwa anakwazika kwa kuambiwa alikuwa anateua KWA kuwapendelea waislam kwa kuwa tuh yeye ni Muislam,kwani uongo hajasema??
Na kwani ni uongo kuwa nyinyi Tabia hiyo ya kutoa lawama kama hizo mnayo?hapa juzi hata kwa mama samia si mumeanza pia??kumbe Tabia hiyo mmerithi nyinyi kutoka kwa mababu zenu,na mnataka kurithisha kwa wajukuu zenu,muache Tabia ya hovyo hivyo,had mzee kaandika kwenye kitabu,mbadilikeee
Kitabu kimehaririwa watu zaidi 5 hakuna siri hapo acha vizazi vijue na tujifunze humoHuyu mzee amezeeka sana, sasa anaonyesha kuanzia kupoteza fahamu anaanza kutoa Siri.
Kwamba ulipie elfu 70 ili ujue maisha ya mtu!?Elfu 70 yako unapata kitabu... wengine tutasomea humu humu tu kimukhtasari
Siri gani? maana ya kuandika kitabu ni nini? kuficha siri. anaandika ukweli ili watu wajifunze nenda kasome kitabu cha Mkapa utajifunza.Huyu mzee amezeeka sana, sasa anaonyesha kuanzia kupoteza fahamu anaanza kutoa Siri.
Wewe kwenye kijiwe kile cha kahawa huwa ajenda yenu kila siku ni watotp, wake na waume wa watu kutoka kwa watu wsio wahusika wanaojidai wanawafahamu; si afadhali usome mambo ya Mwinyi kutoka kwa Mwinyi mwenyewe.Kwamba ulipie elfu 70 ili ujue maisha ya mtu!?
Huo ni umbea uliochangamka
Msema kweli mpenzi wa Mungu!Huyu mzee amezeeka sana, sasa anaonyesha kuanzia kupoteza fahamu anaanza kutoa Siri.
Utangulizi au dibaji imeandikwa na Ben MkapaKitabu kimehaririwa watu zaidi 5 hakuna siri hapo acha vizazi vijue na tujifunze humo
Hiyo elfu 70 si afadhali ukanunue kitabu cha jasusi yeriko nyerere!Elfu 70 yako unapata kitabu... wengine tutasomea humu humu tu kimukhtasari