Mzee Mwinyi: Baba yangu alinipeleka Zanzibar ili nikajifunze dini (Q'uran) ili niwe Sheikh maarufu, nilitokea Mkuranga

Tunaangalia idadi ya wasomi kati yenu na sisi😀. Fanya utafiti kidogo uweze kujenga hoja yenye mashiko

Sasa ukiangalia idad ya wasomi let say it's true wagalatia mna wasomi wengi,nini kinawapa hofu pale ambapo hawa wasomi wachache ambao Muslims wakipewa nafasi ya teuzi japo kwa huo huo uchache wao muanze kupiga kelele ya udini udiniii?nyinyi si mna wasomi wengi?hofu yenu ni nin hawa wasomi wachache na wao wakipewa nafas kutumikia Taifa lao??au sadaka itapungua pungua siku za juma pili mkuu...
 
Wapuuzie vip sasa Ili hali mnaongea??

Unapuuzia vip kitu mnachopigia kelele Tena hata kama hakipo?

Wakupuuza basi angekuwa mzee mwinyi,Ila mbona kakiandika,we hujiulizi??
Babu ukifatilia mambo ya dini utaumiza kichwa,dini zenyewe zote tumeletewa na majahazi

Ova
 
Sasa ukiangalia idad ya wasomi let say it's true wagalatia mna wasomi wengi,nini kinawapa hofu pale ambapo hawa wasomi wachache ambao Muslims wakipewa nafasi ya teuzi japo kwa huo huo uchache wao muanze kupiga kelele ya udini udiniii?nyinyi si mna wasomi wengi?hofu yenu ni nin hawa wasomi wachache na wao wakipewa nafas kutumikia Taifa lao??au sadaka itapungua pungua siku za juma pili mkuu...
Tunaangalia proportionality, kumbuka nssf ya fusadi dau
 
Kwa hio kiufupi Mwinyi ni mtu wa bara
Shida iko wapi kwani kuna mzanzibari mnzanzibari? Wote wakuja weusi wote walitoka Tanzania bara ,Malawi na Msumbiji na wapemba no wajukuu Wa Sultani Wa Oman na Akina Tip tip fisadi la kiarabu lifanya biashara ya utumwa na pembe za ndovu
 
Hakuna shida yoyote
 
Pia amesema kwenye kitabu chake kuwa wengine walikuwa wanamtizama kwa jicho la udini,eti KWA kuwa yeye ni Muislam basi alikuwa anateua viongoz wake kwa upendeleo wa kidini, jambo hilo lilimkwaza Sana, Galatians hawajaanza leo chuki za udini,hata mama samia kaa nao KWA tahadhari,wameshaanza na kwako pia
Jaffar Mohamed Haniu amechukua nafasi ya Gerson Msigwa ya Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu. Kazi iendeleee!!!
 
Back
Top Bottom