Mzee Mtambuzi alfajiri ya leo beach...!

Mzee Mtambuzi alfajiri ya leo beach...!

Mtambuzi unanipa mashaka kidogo ujue???
yaani umeamkia beach leo kufanya mazoezi? mbona sio mazoea yako? au ndio unabalance blood pressure kwa maaandalizi ya kwenda uwanja wa taifa kwa gwaride la valentine?
 
Mtambuzi unanipa mashaka kidogo ujue???
yaani umeamkia beach leo kufanya mazoezi? mbona sio mazoea yako? au ndio unabalance blood pressure kwa maaandalizi ya kwenda uwanja wa taifa kwa gwaride la valentine?
jubilant ulijuaje! Nahisi wewe ni mtabiri aisee...............
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi safi sana ila hiyo ya Mama Ngina kufanya mazoezi ya karate mhh nina wasi wasi kitakachofuata ITV
 
Last edited by a moderator:

Alfajiri ya leo nilidamkia Beach kufanya mazoezi ya kujenga afya na kupunga upepo kidogo kabla ya kwenda kuwajibika kwa mkoloni wangu........

Braza,

Hivi kushika kiuno ndiyo mazoezi?
 
brother Mtambuzi ile picha kwanza kwa jinsi ulivyosimama kuitazama bahari na vieleavyo,unaweza sema kijana wa ktz anapiga mahesebu ya kuzamia meli kwenda mamtoni baada ya maisha kumpiga chenga.
Au utadhani anafanya tafiti ya bahari, sababu hainjoy but ameconcetrate sana kuangalia.
 
Au utadhani anafanya tafiti ya bahari, sababu hainjoy but ameconcetrate sana kuangalia.

Ah wapi........budget aliyopewa na mama kayayii wake leo sio mchezo...ikabidi akimbilie baharini....

images
 
Hahaaaa. Lols. Unanitafutia ugomvi. Sikumtaja but kama anacho then please awahi beach.

Aiseee Karucee ninacho kitambi kikubwa sana.. Unaweza kunipa spesho tritimenti ya kukipunguza..? Ninaamini onlii yuu ndo utakaeweza kukikata.. Hii haimuhusu Mtambuzi a.k.a #nanilihii hata kidogo..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom