Mzee Mtambuzi alfajiri ya leo beach...!

Mzee Mtambuzi alfajiri ya leo beach...!

We babu hayo nimaji chumvi usichezee siyo yakwetu kule niniriyuu kwanza nani kakupiga hizo foto mbona nimeona member wa kundi ulilolikataa #teamniniriyuu ?
 
Hizo picha kanipiga mama Ngina, kwani na yeye alikuwa akifanya mazoezi yake ya Kareti ufukweni

Ha ha ha ha mkwala huo Mtambuzi lol.. Hizi ni mbinu za hali ya juu ambazo zilitumika na wayunani wakati huo..
 
Last edited by a moderator:
Babu Mtambuzi mie naomba uniazime hayo mawani lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom