Mzee Mtambuzi alfajiri ya leo beach...!

Mzee Mtambuzi alfajiri ya leo beach...!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
attachment.php



attachment.php



attachment.php


attachment.php


Alfajiri ya leo nilidamkia Beach kufanya mazoezi ya kujenga afya na kupunga upepo kidogo kabla ya kwenda kuwajibika kwa mkoloni wangu........
 

Attachments

  • IMG-20140213-01093.jpg
    IMG-20140213-01093.jpg
    228.4 KB · Views: 1,568
  • IMG-20140213-01094.jpg
    IMG-20140213-01094.jpg
    241.5 KB · Views: 1,619
  • IMG-20140213-01095.jpg
    IMG-20140213-01095.jpg
    255.2 KB · Views: 279
  • IMG-20140212-01015.jpg
    IMG-20140212-01015.jpg
    231.6 KB · Views: 1,536
  • IMG-20140212-01014.jpg
    IMG-20140212-01014.jpg
    295.1 KB · Views: 1,234
brother Mtambuzi ile picha kwanza kwa jinsi ulivyosimama kuitazama bahari na vieleavyo,unaweza sema kijana wa ktz anapiga mahesebu ya kuzamia meli kwenda mamtoni baada ya maisha kumpiga chenga.
 
Last edited by a moderator:
brother Mtambuzi ile picha kwanza kwa jinsi ulivyosimama kuitazama bahari na vieleavyo,unaweza sema kijana wa ktz anapiga mahesebu ya kuzamia meli kwenda mamtoni baada ya maisha kumpiga chenga.
Hapana mkuu nilikuwa nashangaa bahari na kusikiliza mlio wa mawimbi ya maji yanavyopiga ufukweni na kutengeneza sauti fulani hivi ambayo ni adimu sana kusikika katika mazingira ya kawaida
 
Mwili huwekwa sawa kwa kufanya mazoezi pia safi sana.
 
Back
Top Bottom