Mzee Mtambuzi alfajiri ya leo beach...!

Mzee Mtambuzi alfajiri ya leo beach...!

Last edited by a moderator:
Ulikuwa unajisalimisha kwa mazoezi kuogopa mgeni(kitambi) haaaa haaa
 
Mkuu samahani, hiyo pozi siyo ya mazoezi.

1. Umevaa vesti, shati umeacha wapi? Nota benne : vesti sio vazi la mazoezi

2. Umevaa suruali kipande aka kaptula, aka shorts : hiyo nayo sio nguo ya mazoezi

3. Huna viatu vya mazoezi: tunafanya deduction shauri uko ufukweni, lakini bado shaka ipo kubwa sana

4. Huna jasho, labda ndio unataka kuanza mazoezi

5. Pose lako, linaonekana una mwazo sana na mawazo hayo sio jinsi ya kuanza mazoezi, labda unataka kuanza mazoezi ya kuogelea, lakini hatuogelei na vest wala kaptula na hapo kuna mawe sio salama kuogelea.

6. Mifuko ya kaptula yako haijatuna, maana yake huna wallet, umenyanganywa, umeibiwa au? Maelezo ya ziada yanahitajika

Nakuomba kituoni ili uandike maelezo ya ziada.
 
Mtambuzi kam zis wei utoe majibu
 
Last edited by a moderator:
1.eti mwenyewe unadai uko beach kwani wewe hujuagi nguo wanazovaa beach?
2. mbona unaonekana mwenye mawazo ya kuachwa solemba?
3. sasa hiyo ni suruali au umekata kidizaini mangwea?
yani hayo yote kutaka kujionesha jinsi ulivyo au ndo mambo ya mjini hayo
hehehheheheheiya uwiiii mbavu zangu mie yaani jinsi ulivyotisha watu bora
uzitoe hizo picha maana naona uko flat utadhani mlingoti au yule askari kanzu
wanichekeshaje?
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

Alfajiri ya leo nilidamkia Beach kufanya mazoezi ya kujenga afya na kupunga upepo kidogo kabla ya kwenda kuwajibika kwa mkoloni wangu........
 
Mimi nilidhani hapa tungeongelea upigaji wa picha,kwa mfano aina ya kamera ,focus,ISO,Landscape or potrait na mambo yanayohusu photos ilivyopigwa na setting zake
 
Back
Top Bottom