TANZIA Mzee Mpili wa Yanga afariki dunia

Miezi kadhaa nyuma kuna uzi uliletwa ukitoa taarifa za kifo cha Mzee huyu huyu.

Mods ni kama waliupeleka kwenye settled list kama Muhindi anavyopeleka slips zilizo lost.
Ni kweli kabisa mkuu.

Nami nina uzoefu wa vumi za vifo vya namna hiyo ambazo baadaye hugeuka uhalisia!

Sielewi ni spirit gani ambaye huyazusha ya sirini yanayoenda kudhihirika punde!

Watu wengi wanaozushiwa vifo, siku zao za uhai huwa zishafika mwisho.
 
Kwa Kikwete haikufanya kazi
 
Wakati anaumwa hamkukotokeza hata kupitisha mchango apelekwe nje ya nchi kutokana na mchango wake katika kuchangamana soka la Tanzania
Ameondoka bila.msaada sasanakuja kujikosha hapa kwa maneno yenu awalilahi Rajuni
 
Apumzike kwa amani mzee wetu, alijua kutuchangamsha kwenye siasa za soka la simba na yanga
 
RIP Mpili
Last time August tulikutana Msikitini Mwembe Chai nikakutani Hatuchechi
 
Ikwiriri ni wilaya nyie utopolo? Haya wafu mkazike mfu mwenzenu Ikwiriri ni yetu wasukuma
Halafu kweli. Ikwiriri imekuwa eneo la wasukuma. Kuna siku kulitokea ugomvi kati ya wenyeji na wasukuma. Nikashangaa wasukuma walitake over mji wa Ikwiriri. Mpaka Leo hakujawahi tokea Tena fujo.
 
Yanga ni watani wangu. Nimemtania sana huyu mzee enzi za uhai wake.

Pumzika babu Mpili, ulijua kutuchangamsha na kuweka tabasamu na vicheko kwenye nyuso zetu.

Mbele yako, Nyuma yetu.
Lala vyema na wenzetu waliotutangulia. Sisi wengine tunaishi kama digidigi kwenye nchi tunayoipenda mno.
 
Yanga wametangaza kifo cha mwanachama wake...wewe hili la shabiki mwandamizi umelitoa wapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…