TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,442
- 23,074
RiP mzee MpiliShabiki Mwandamizi wa klabu ya Yanga Mzee Mpili Afariki Dunia,
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.
View attachment 3679521
View attachment 3679531
RIP Mzee Mpili.Uongozi wa Young Africans Sports Club umetangaza kutangaza kifo cha Mwanachama wake, Haji Omari Ramadhani Mpili kilichotokea usiku tarehe 27, Septemba 2026 katika Kituo cha Afya cha Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani alipokuwa akipatiwa matibabu.
Mazishi yanatarajia kufanyika Septemba 28 majira ya saa 10:O0 Jioni katika Makaburi ya Msikiti mkubwa, Wilaya ya Ikwiriri, Mkoa wa Pwani.
View attachment 3679521
View attachment 3679531