Mzee Kikwete: Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais basi unakuwa na nguvu sana

Wanataka Mama asiwe Mwenykiti ili waweze mbana....
Akipewa Uenyekiti ataachana na ya hayati
 
Sasa katiba si ndio inanyoosha kama ilivyonyoosha kwenye umakamu wa Rais
Hicho alichoongea ni katiba nothing new
 
Daaah!!! Wanachotaka CCM ni Kwamba Chama Tawala Hakiwezi Kushindwa wakiti ndio kina Dola. CCM wa Mwendazake wanajua kwa utashi wa Raisi SSH, Mabavu hayana nafasi hivyo wabune wale wa kupita pila kupigwa na wale wakutangazwa kimabavu Mwisho wao wanauona. Wanatamani kutenganisha Uraisi na Wenyekiti wa Chama ili ikitokea basi Mwenyekiti watakayemchagua possible"Aliyesema ukifeli wakati una dola ni Ujinga",atumie hiyo ideology yake kuwabeba wasiochagulika means Maccm
 
Nadhani wamejifunza kitu kutoka kwa mwendazake.

Kwamba ikiwa aliwatesa vile waliompinga vipi kwa wao wanaojiandaa kumpinga samia?

Ni mbinu ya kujinasua ili kuepuka kikombe walichokinywea waashi wakati wao wakiwa watemi!!
Nadhani kila kitu kinatokea kwa sababu tumejifunza vitu vingi sana
 
Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.

Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Aisee,UKAWASIKIA KABISAAA WAKITETA?aisee
 
Tunataka uongozi wa chama na rais utenganishwe ili mwenyekiti wa chama amuwajibishe na ikibidi amvue uanachama SSH kwa kuonyesha udhaifu katika uongozi ili tupate rais mwingine strong kama magufuli.
 
Kikwete ni mnafiki sana. Hakumtaka kabisa Magufuli awe rais ni zali tu mwendazake ilimuangukia. Au bwashee unatetea hoja yako wakati hule mamia ya container ya mama salma yalizuiwa na Jiwe bandarini hadi yalipiwe ushuru maza akamshukia Jiwe kwa kumuambia ujue hata huo urais bila sisi usingeupata.

Jiwe nafsi ilimsuta na kumuuma sana akaamua kumpoza festledi wa awamu ya nne kwa ubunge na kumuachia mamia ya container zake
Kwa hiyo tukusikize wewe au yeye.
 
Tetezi zilianza mapema sana kua jiwe angekua raisi rejea hata uzi wa mayala kabla hata ya mchakato wa ccm.Membe aliwekwa ku balance mapambano
 
Back
Top Bottom