Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

Ni kweli mkuu...nakumbuka kuna kipindi hadi jamaa akienda kwenye misiba watu humu wanaandaa nyuzi za kumponda,lakini vp leo hii hali ikoje?
Na wewe tumia Hata akili za kuazima,mtu hawezi pendwa na wote,Hata awe mwema.
Huwa tunaangalia percentage ukimlinganisha huyu jamaa na JK,huyu anachukiwa mno,na hatakaa apendwe..
 
Nani amekupa uhalali Wa kuwasemea watanzania halafu unazungumzia Mo kutekwa kwani Ulimboka alitekwa wakati Wa utawala gani? Kibanda je au umeanza kufatilia siasa juzijuzi we sema mrija umekatwa sio kulialia
Siasa imetokea wapi ndugu?
Mimi siyo mwanasiasa nazungumzia thamani ya uhai wa mtu,current issue ni kutekwa kwa MO, na serikali imeshindwa kuwabaini wazungu watekaji.
Labda siku akitekwa Makonda ndo watekaji watapatikana.
 
hujui kodi yako imepigwa kiasi gani kipindi cha JK..???watz hatujitambui..hizo hela zilizokuazinaibwa ni kodi zetu..yambaf


Bora kuibiwa kabisa kuliko kinachofanywa na hela zetu kwa sasa watu maskini marudio nyambafu kabisa... Ni heri kubiwa wazi wazi uamke ukute hakipo kuliko mtu kujidai kukisogeza kwa madai anakirekebisha
 
Magu kamwe hatopendwa
Msiharibu historia
Jk ndio alikosolewa sana lakini hakuchukiwa
Mleta mada anaongelea mapenzi ya watanzania juu ya kikwete. Aliombewa afya hata alipoumwa
Ni nani uliona au unaota mitandaoni anamuombea JK kifo ? Hakuna ila huyu nanii huko mitandaoni watu wanamuombea mpaka kifo
Muwe mnapitia Facebook , twitter na instagram muone jinsi mkuu hapendwi

Narudia
MUACHE KUPOTOSHA HISTORIA
MZEE JK ALIKOSOLEWA NA WACHACHE HASA WANASIASA WA UPINZANI NA HAKUWAI KUCHUKIWA NA WATANZANIA WALA KUOMBEWA KIFO HIVO USIMFANANISHE NA MTU MWINGINE
Mkuu nafikiri inatakiwa ujue hali ya siasa kuanzia 2015 kushuka chini ni tofaut kabisa na 2015 kuja huku juu.Ni mwaka 2015 vuguvugu la kisiasa lilikua kubwa sana toka taifa liitwe Tanzania. Utaona rate ya wafuatiliaji wa siasa saiz ni wengi mno kuliko kipindi hicho na kwa kipindi hiki Watanzania asilimia kubwa walihitaj CCM itoke madarakani lkn ndio hivo bado ipo.Utaona wanaomtukana na kumchukia jpm asilimia kubwa ni kundi lilelile toka uchaguz wa 2015 na ukifuatilia wengine ndio hawa kila mmoja ana maswaibu yake yamemkuta ktk baadhi ya mabadiriko ktk utawala huu.Mfano jirani yangu mmoja alikua anampenda sana jpm umwambii kitu na wakati huo mmewe alikua hataki kabisa mumsikia jpm.Baada ya sekeseke la Vyeti feki likamsomba Huyu mama, saiz ni hataki kabisa kumsikia jpm yaani hata kdg.Kwa mazingira haya kwanini namba ya wanaomchukia isiongezeke?

Na ukifuatilia mkuu hakuna mwenye hoja za msingi kwanini anamchukia jpm na hii ni wazi kwamba watu hawakuutaka huu utawala wa ccm uendelee, so kwa lolote atakalo fanya ni lzm apingwe tu.Utaona jpm kaanza kupingwa toka siku ya kwanza anaanza kazi.Je unataka kusema Tayar alikua ameshatumbua watu au vyet feki?Nachoweza kusema ni watu hasa upinzan kwa asilimia kubwa wameshindwa kurudisha majeshi nyuma.

Na kwa takwimu zako za fb au insta sijui labda kwenye page za huko upinzan tu,lkn ktk page ambazo ni Neutral sijaona kwamba ni utafiti sahihi eti watu wanamchukia. Shida nyingine nayoiona na bavicha kutoa maoni ya kwenye kundi la bavicha wenzie na kusema watanzania wanasema hivi.Kuna nilikua najadili naye nashangaa analeta habari ambazo nyingi anazitoa kwenye page ya chama chake, sasa nkamuuliza hayo ni maoni ya chama chako au watanzania wote?Huko insta au fb wanakoombea jpm afe ni bavicha katu huwez sema watanzania wote.
 
Huyo jamaa nimemshangaa sana
Yani kuna mtu atampenda huyo mchattle kweli
Sema bavicha hawatampenda coz hadi sasa jpm anawafuas wengi mno na ni watanzania. Bavicha kumchukia jpm haiwez kuwa hoja kuu ya watanzania
 
Nani amekupa uhalali Wa kuwasemea watanzania halafu unazungumzia Mo kutekwa kwani Ulimboka alitekwa wakati Wa utawala gani? Kibanda je au umeanza kufatilia siasa juzijuzi we sema mrija umekatwa sio kulialia
Halafu kwanini nyie wafia CCM ni wajinga hivyo?
Hapa Tanzania hakuna mirija ya pesa wala opportunities za maisha,Taifa linanuka umaskini kama kinyesi kibichi.
Sasa mirija gani unaongelea?au mirija ya kunywea juice?
 
At the end atakufa kabla ya miaka 10,sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,atakufa lazima kabla ya muda wake,Mungu atasitisha uhai wake ili aokoe mamilioni ya wasio na hatia
Kumuombea mkuu afe haikusaidii, kaza vipele pambana na maisha mtoto wa kiume, ukichoka mtafute Bwana Kiringo akusaidie kukulea!

Kwangu mie naona safi tu, kila mtu na calibre yake tena bora sasa tunaheshimiana maana awamu ya 4 ilikuwa kuna tabaka la watu flani ambao walikuwa wanainjoy life huku wakiwanyanyasa wengi wasio nacho kwa kejeli na kutamba kila mahali mpaka kwenye vyombo vya usalama kitu ambacho hakikuwa sawa!

Sahivi ubabe umerudi mahala pake, lazma tuitii serikali tu sio mtu unamiliki uvuzi uvuzi unaanza kukosesha wenzio amani kwa vile una network na wakubwa flani serikalini! Gone are those days when every person used this statement "Unanijua mie ni nani?" mtu kama Ditopile akaua dereva wa hiace mchana kweupe kwa kiburi tu ati kisa alichomekewa! Fucck that moment,,,
 
Aliharibu sana hasa kwa mikataba mibovu na wizi wa kizamani ie fedha za escraw hivyo akaona bora aje wa kutufaa asije wa aina yake..
 
unapoongelea kitu chenye mtazamo wako binafsi usikifanye cha watanzania wote, kila mtanzania ana msimao wake binafsi wewe ungeolea machungu yako peke yako
Na hiki ndio nachokiona kwa hawa bavicha, yaani mawazo ya genge lao utasikia wanasema watanzania. Hivi hayo mawazo wanaccm yanawaingia?Je hao sio watanzania?Au sikuizi chadema ndio wasemaji wa watanzania?
 
HAKUNA RAIS ALIEKUWA ANAPONDWA NA KUPATA KASHIFA MBAYA KAMA KIKWETE.ILA NASHANGAA KWA SASA NDIO ANAONEKANA BORA KAMA MALAIKA
KWA AKILI ZETU WANADAMU HUWA HATULITAMBUI JEMA HADI TULIKOSE
HUENDA,NARUDIA TENA HUENDA HATA MAGUFURI BAADAE TUTAKUJA KUANDIKA HUMU TUKIMKUMBUKA NA KUMMISS
Mhmmm Inawezekana lakini.
 
Sema bavicha hawatampenda coz hadi sasa jpm anawafuas wengi mno na ni watanzania. Bavicha kumchukia jpm haiwez kuwa hoja kuu ya watanzania
Lete fact mkuu
Mimi nimelata fact kuwa hapendwi na ushahidi ni social media kama facebook na instagram
Twitter ndio usiseme wanamchana live

Sasa wewe umekuja na siasa za bavicha.
 
ALIKOSOLEWA NA WAPINZANI WAKE KISIASA LAKINI ALIKUWA NA UTU NA ALIHESIMU MAWAZO YA WATANZANIA. HATUKUWAHI KUWA NA MAKUNDI YA WAWINDA WATU KAMA ILIVYO SASA HIVI.
Mauaji arusha, mwangosi, Ulimboka nk huenda ilikua ni kipindi cha Id amin
 
Mwaka wa tatu huu na Ngosha kaamua kukomaa mazima. Walidhani ni nguvu za fanta au pepsi.
Nilikua naona comment zao,mara nguvu ya soda, remote msoga tv magogoni na kejeli kibao. Walivyoona jamaa mwendo ni uleule wakageuka ooh dikteta hahahahahahah. Mi nasema jpm endelea kuvuta mafuta.
 
Kuna marais 2 tu kutoka CCM waliokuwa wana unafuu katika utawala wao nao ni NYERERE na Mwinyi.
Waliofuata baada ya hapo ni majanga matupu........!!!
Mtu anapomsifu Kiwete sijui ananzia wapi.sijui,,,,,,,Mstahafu Kiwete ndo aliyetuletea huyu mteule wa A5 wakishirikiana na njomba Nkapa........since from that time life have not been the same...!!
Ni kweli kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom