Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

Mkuu nafikiri inatakiwa ujue hali ya siasa kuanzia 2015 kushuka chini ni tofaut kabisa na 2015 kuja huku juu.Ni mwaka 2015 vuguvugu la kisiasa lilikua kubwa sana toka taifa liitwe Tanzania. Utaona rate ya wafuatiliaji wa siasa saiz ni wengi mno kuliko kipindi hicho na kwa kipindi hiki Watanzania asilimia kubwa walihitaj CCM itoke madarakani lkn ndio hivo bado ipo.Utaona wanaomtukana na kumchukia jpm asilimia kubwa ni kundi lilelile toka uchaguz wa 2015 na ukifuatilia wengine ndio hawa kila mmoja ana maswaibu yake yamemkuta ktk baadhi ya mabadiriko ktk utawala huu.Mfano jirani yangu mmoja alikua anampenda sana jpm umwambii kitu na wakati huo mmewe alikua hataki kabisa mumsikia jpm.Baada ya sekeseke la Vyeti feki likamsomba Huyu mama, saiz ni hataki kabisa kumsikia jpm yaani hata kdg.Kwa mazingira haya kwanini namba ya wanaomchukia isiongezeke?

Na ukifuatilia mkuu hakuna mwenye hoja za msingi kwanini anamchukia jpm na hii ni wazi kwamba watu hawakuutaka huu utawala wa ccm uendelee, so kwa lolote atakalo fanya ni lzm apingwe tu.Utaona jpm kaanza kupingwa toka siku ya kwanza anaanza kazi.Je unataka kusema Tayar alikua ameshatumbua watu au vyet feki?Nachoweza kusema ni watu hasa upinzan kwa asilimia kubwa wameshindwa kurudisha majeshi nyuma.

Na kwa takwimu zako za fb au insta sijui labda kwenye page za huko upinzan tu,lkn ktk page ambazo ni Neutral sijaona kwamba ni utafiti sahihi eti watu wanamchukia. Shida nyingine nayoiona na bavicha kutoa maoni ya kwenye kundi la bavicha wenzie na kusema watanzania wanasema hivi.Kuna nilikua najadili naye nashangaa analeta habari ambazo nyingi anazitoa kwenye page ya chama chake, sasa nkamuuliza hayo ni maoni ya chama chako au watanzania wote?Huko insta au fb wanakoombea jpm afe ni bavicha katu huwez sema watanzania wote.
Mkuu nitakuletea screenshot humu uone
Sio page za upinzani ni page zote ITV,CLOUDS,AZAM nk

Ndio umesema kweli kuhusu watu kumchukia kisa yamewakuta ila ni baadhi sio wote

Wapo pia wanaomchukia kwa sababu hasa mbili
Uchumi na watu kutekwa /siasa chafu

Mkuu lazima ukubali ukweli kuwa JPM alipendwa sana 2015 mpaka mwanzoni mwa 2016
Ila tokea avuruge uchumi hakuna anayemtaka

Mimi binafsi mama yangu alikuwa na duka toka enzi za mkapa mpaka Jk
Ila amelifunga 2016
Wateja hakuna vitu vimeharibikia dukani mfano poda,maziwa,lotion nk

Hivi umewahi kuona soda zinakaa mpaka zinaharibika ? Sasa sisi yalitukuta
 
Usidhani kila mtu ni mfanyakazi wa serikali, wengine tupo vizuri tu kiuchumi na hatujawahi kuajiriwa popote.
Na sikosi pesa kila siku,Sasa tunaongelea Taifa halina dira chini ya huyu mtu.
Hiyo dira ni ipi unayoitaka?Sema mlitaka muendelezo wa utawala wa jk mwisho mseme ni walewale.
 
Lete fact mkuu
Mimi nimelata fact kuwa hapendwi na ushahidi ni social media kama facebook na instagram
Twitter ndio usiseme wanamchana live

Sasa wewe umekuja na siasa za bavicha.
Hivi huko twita au fb ni tweeter za bavicha tu au wapi?Maana Mimi mwenyewe niko huko na sioni hiki unachosema. Huwa nafuatilia sana hizi za EATV na vyombo vingine vikubwa sioni hiki unachosema. Shida kama nilivyoeleza, unakuta bavicha wanapage yao ya kutukana matusi uongoz baada ya hapo wanakuja mtaani kusema watanzania wote wanasema hivi.Hizo page gani ambazo watanzania wote hawamtaki jpm?Inawezekana vipi?
 
Mkuu hutumii sàna social media
Fanya hivi fungua tweet za mkulu uone anavojibiwa
Pia zungukia page za JF huko facebook
Pia nenda instagram page mbalimbali za habari na za burudani
 
Mkuu hutumii sàna social media
Fanya hivi fungua tweet za mkulu uone anavojibiwa
Pia zungukia page za JF huko facebook
Pia nenda instagram page mbalimbali za habari na za burudani
Anajibiwa na akina nani?Kama lowasa alipata kura 6 million,unafikir wanaojaa huko wanatoka wapi?Kingine ni kidogo jf huwa na hoja za mcng ambapo unaweza mhoji anayetukana akajieleza. Kama ingekua takwim zako ni sahihi basi upinzan ungekua na nguvu sana. Kuwa na watu wengi wanaotukana kwenye mitandao hakuwez kuwa ni hoja. Wanaotukana saiz ni haohao walitukana kipind cha jk
 
UKWELI MAKUFULI NI BEST KULIKO WALIOTANGULIA MSEME MTAKAVYOSEMA LAKINI POMBE NI RAIS MZURI SANA KALETA HASHIMA KATIKA NCHI WATU WANAHESHIMIANA NA MAMBO MENGI NIKIELEZA HAPA ITACHUKUWA SIKU
 
Anajibiwa na akina nani?Kama lowasa alipata kura 6 million,unafikir wanaojaa huko wanatoka wapi?Kingine ni kidogo jf huwa na hoja za mcng ambapo unaweza mhoji anayetukana akajieleza. Kama ingekua takwim zako ni sahihi basi upinzan ungekua na nguvu sana. Kuwa na watu wengi wanaotukana kwenye mitandao hakuwez kuwa ni hoja. Wanaotukana saiz ni haohao walitukana kipind cha jk
Kwa sasa wanaokosoa utawala huu c wapinzani pekee hata waliopo ofcni wanakosoa sanaa.mm ni shahidi wa hilo.
 
Nilikua naona comment zao,mara nguvu ya soda, remote msoga tv magogoni na kejeli kibao. Walivyoona jamaa mwendo ni uleule wakageuka ooh dikteta hahahahahahah. Mi nasema jpm endelea kuvuta mafuta.
Wapigaji wamebanwa mbavu. Ndani ya miaka hii mitatu enzi za nyuma wangeshaibuka mamilionea wapya wanaofanya fujo mitaani, kwa sababu ya mirija mingi ya wizi wa pesa za umma.
 
acheni ulemavu wa akili, Rais aliyepo ni Wakupewa kutoka kwa MUNGU, tuliitaji Rais wa kuleta adabu iliyopotea tukampata kwa maombi.
Avatar yako ina reflect moyo wako,na akili zako kwa ujumla,Hivi unadhani Mungu ni mchezo mchezo eti?
Unadhani Mungu ni Binadamu?
Yaani mtu aliteuliwa na Lucifer eti wewe unasema Mungu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom