Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

Huyu hata kama kuna hicho lkn inafanyakazi somewhere, huyu Jk watu wameficha hela (kodi) uswisi bado mnamfagilia..yaani tumepigwa awamu ya nne vyakutosha hajawahi tokea ktk historia ya nchi..tu jaribu kua tunafikiria criticality.. Plzz
FYI Pesa zimeanza kufichwa uswiz kabla hata Msoga hajaingia Ferry! Msomi wa Harvard katia hela za radar uswiz enzi za Lodilofa, ulitaka Msoga afanye nini?
 
Siku jiwe akifia madarakani watu watashangilia kama taifa stars kupata ticket ya kucheza kombe la dunia
 
Huyu hata kama kuna hicho lkn inafanyakazi somewhere, huyu Jk watu wameficha hela (kodi) uswisi bado mnamfagilia..yaani tumepigwa awamu ya nne vyakutosha hajawahi tokea ktk historia ya nchi..tu jaribu kua tunafikiria criticality.. Plzz
We msukuma una ushahidi wa hili unaloandika au shibe ya makewe inakusumbua, JK will remain the best ever president
 
HAKUNA RAIS ALIEKUWA ANAPONDWA NA KUPATA KASHIFA MBAYA KAMA KIKWETE.ILA NASHANGAA KWA SASA NDIO ANAONEKANA BORA KAMA MALAIKA
KWA AKILI ZETU WANADAMU HUWA HATULITAMBUI JEMA HADI TULIKOSE
HUENDA,NARUDIA TENA HUENDA HATA MAGUFURI BAADAE TUTAKUJA KUANDIKA HUMU TUKIMKUMBUKA NA KUMMISS
Kama ni vivyo basi sisi kama taifa tunazidi kupotea maana tunarudi hatua nyuma sio kwenda mbele.Ilipaswa maisha yawe yanakuwa bora kadiri muda unavyosogea lakin hali inazidi kuwa mbaya,chuki inatamalaki,deni la taifa linapanda,huduma za jamii ni mbovu,kili kitu hovyo.Duh!
 
Najua ya kwamba ulikuwa ukitupenda sana,japokuwa una mapungufu yako kama Binadamu wote tulivyo lakini ulijitahidi sana kutufanya wenye furaha.

Lakini Dakika za mwisho ukawa si wewe tena tuliyekuwa tunakujua,mwingi wa hekima,mpole,mwenye subira,mnyenyekevu na usiyependa makuu wala kujikweza.

Ni kitu gani tulikukosea hadi ukachukia?

Najua Mzee wangu huwa unapita humu kimya kimya,nami natarajia jibu lako kimya kimya.
Kuuum.....amabako,leo kawa mtamu eeh!,bado ,mlizoea vya kunyonga subirini tuwafundishe kuchinja[emoji41]
 
Magu kamwe hatopendwa
Msiharibu historia
Jk ndio alikosolewa sana lakini hakuchukiwa
Mleta mada anaongelea mapenzi ya watanzania juu ya kikwete. Aliombewa afya hata alipoumwa
Ni nani uliona au unaota mitandaoni anamuombea JK kifo ? Hakuna ila huyu nanii huko mitandaoni watu wanamuombea mpaka kifo
Muwe mnapitia Facebook , twitter na instagram muone jinsi mkuu hapendwi

Narudia
MUACHE KUPOTOSHA HISTORIA
MZEE JK ALIKOSOLEWA NA WACHACHE HASA WANASIASA WA UPINZANI NA HAKUWAI KUCHUKIWA NA WATANZANIA WALA KUOMBEWA KIFO HIVO USIMFANANISHE NA MTU MWINGINE
We unajua huyu mzee alishawai kuombewa ijitimai ili afe na watu mlishangilia?..acheni unafiki nyoka nyie
 
Najua ya kwamba ulikuwa ukitupenda sana,japokuwa una mapungufu yako kama Binadamu wote tulivyo lakini ulijitahidi sana kutufanya wenye furaha.

Lakini Dakika za mwisho ukawa si wewe tena tuliyekuwa tunakujua,mwingi wa hekima,mpole,mwenye subira,mnyenyekevu na usiyependa makuu wala kujikweza.

Ni kitu gani tulikukosea hadi ukachukia?

Najua Mzee wangu huwa unapita humu kimya kimya,nami natarajia jibu lako kimya kimya.
Dah! Hakika hata JPM mtamkumbuka ...nikikumbuka zile laana na punic pale ufisadi ulivyokuwa umetamalaki huku wapinzani wakitembezewa virungu na makesi kila kukicha! Kweli nyie wenyewe ndio mtaji wa CCM...nafikiria kama ungeandika kitu hiki kabla ya 2015 ....
 
Jk huyu huyu tuliyemuita vasco da gama,baba mwanaasha, mr dhaifu na mengineyo...? Huyu huyu tuliyempopoa mawe kule tegeta na kumzomea alipokuja udsm kwenye kongamano??
Huyu ambaye tulisema kwenye uongozi wake nchi ilikuwa auto pilot..yaani inajiendesha yenyewe na kusema nchi ina ombwe la uongozi?? Huyu tuliyesema bora dikteta kuliko huyu dhaifu?
 
HAKUNA RAIS ALIEKUWA ANAPONDWA NA KUPATA KASHIFA MBAYA KAMA KIKWETE.ILA NASHANGAA KWA SASA NDIO ANAONEKANA BORA KAMA MALAIKA
KWA AKILI ZETU WANADAMU HUWA HATULITAMBUI JEMA HADI TULIKOSE
HUENDA,NARUDIA TENA HUENDA HATA MAGUFURI BAADAE TUTAKUJA KUANDIKA HUMU TUKIMKUMBUKA NA KUMMISS
JK alitabiri, 'MTANIKUMBUKA', sasa yametimia!
 
Hahahaha kamanda mnanyooka kama pasi hakika mtaendelea kuwa kumbuka wana CCM
 
Mawazo ya kibinafsi na haswa ya kijinga na kinafiki hiki usirudie kutujumuisha watanzania wenye akili timamu na uono timilifu kwa kutuvua nguo hivi. Kama ulimkosea wewe na familia yako ama ulioa kwake na haukulipa mahari kwake nenda katubu huo upuuzi wako huko msoga.

Alah!
 
HAKUNA RAIS ALIEKUWA ANAPONDWA NA KUPATA KASHIFA MBAYA KAMA KIKWETE.ILA NASHANGAA KWA SASA NDIO ANAONEKANA BORA KAMA MALAIKA
KWA AKILI ZETU WANADAMU HUWA HATULITAMBUI JEMA HADI TULIKOSE
HUENDA,NARUDIA TENA HUENDA HATA MAGUFURI BAADAE TUTAKUJA KUANDIKA HUMU TUKIMKUMBUKA NA KUMMISS
Atakaye mkumbuka jiwe apimwe akili...!!
 
HAKUNA RAIS ALIEKUWA ANAPONDWA NA KUPATA KASHIFA MBAYA KAMA KIKWETE.ILA NASHANGAA KWA SASA NDIO ANAONEKANA BORA KAMA MALAIKA
KWA AKILI ZETU WANADAMU HUWA HATULITAMBUI JEMA HADI TULIKOSE
HUENDA,NARUDIA TENA HUENDA HATA MAGUFURI BAADAE TUTAKUJA KUANDIKA HUMU TUKIMKUMBUKA NA KUMMISS
ku-miss nani? hata siku moja haitatokea
 
Mkuu upo sawa mno, JK hakuwahi kuchukiwa kabisa,isipokuwa alikosolewa sana, na hakuwahi kuchukia kukosolewa kwake.
Huyu wa Sasa haitakaa apendwe hata kidogo,kwanza hana utu,ni mtu katili mno asiyeshaurika na mpenda Damu.
Si MO peke yake,kesho msishangae kusikia Mengi au Bakheresa katekwa.
Huyu jamaa kadhamiria kuitumbukiza nchi chooni,hata wale wanaompenda watamchukia tu.
Magu kamwe hatopendwa
Msiharibu historia
Jk ndio alikosolewa sana lakini hakuchukiwa
Mleta mada anaongelea mapenzi ya watanzania juu ya kikwete. Aliombewa afya hata alipoumwa
Ni nani uliona au unaota mitandaoni anamuombea JK kifo ? Hakuna ila huyu nanii huko mitandaoni watu wanamuombea mpaka kifo
Muwe mnapitia Facebook , twitter na instagram muone jinsi mkuu hapendwi

Narudia
MUACHE KUPOTOSHA HISTORIA
MZEE JK ALIKOSOLEWA NA WACHACHE HASA WANASIASA WA UPINZANI NA HAKUWAI KUCHUKIWA NA WATANZANIA WALA KUOMBEWA KIFO HIVO USIMFANANISHE NA MTU MWINGINE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom