Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

unapoongelea kitu chenye mtazamo wako binafsi usikifanye cha watanzania wote, kila mtanzania ana msimao wake binafsi wewe ungeolea machungu yako peke yako
Ni kweli mkuu, na hata kutekwa kwa MO ni suala la familia yao binafsi,na siku Baba yako akitekwa itakuwa suala la familia yako.
 
Mkuu hakuna wa kukudaka humu JF,labda uweke details zako kama namba ya simu.
Ingekuwa tunadakwa humu tungepotea wengi mno.
Ok
Mitandaoni huko.wadanganyika wanamuombea kifo leader wao
Alipofiwa na dada yake walidai afe yeye
Na sikuizi akifa mtu wanamuuliza mungu kwanini asimchukue leader wa wadanganyika
 
Mkuu upo sawa mno, JK hakuwahi kuchukiwa kabisa,isipokuwa alikosolewa sana, na hakuwahi kuchukia kukosolewa kwake.
Huyu wa Sasa haitakaa apendwe hata kidogo,kwanza hana utu,ni mtu katili mno asiyeshaurika na mpenda Damu.
Si MO peke yake,kesho msishangae kusikia Mengi au Bakheresa katekwa.
Huyu jamaa kadhamiria kuitumbukiza nchi chooni,hata wale wanaompenda watamchukia tu.
Ila mzee mengi mjanja sana yule mzee
Alipoona mkuu ameagiza maji ya kili yasitumike serikalini
Akaanza kuunda urafiki na Mkuu
Hivi sasa ataishi vizuri sana yule mzee
Kina Mo walijitenga na Mkuu ndio tatizo
Hata bakhresa anaunda urafiki
 
Huyu wa sasa anashindwa tofautisha kati ya 'ukali' Na roho mbaya/chuki..hakika ana laana za wengi and am sure hua halali maana anaowatesa ni wengi ..mungu yupo! Atatenda ndoto ya Lema!
Mkuu Lema alimnukuu TB Joshua kipindi alichokuja Tanzania.
Kuna uwezekano jamaa asifike 2025 kama hatatubu dhambi za kupoteza watu,yatamkuta ya Sani Abacha.
 
Magu kamwe hatopendwa
Msiharibu historia
Jk ndio alikosolewa sana lakini hakuchukiwa
Mleta mada anaongelea mapenzi ya watanzania juu ya kikwete. Aliombewa afya hata alipoumwa
Ni nani uliona au unaota mitandaoni anamuombea JK kifo ? Hakuna ila huyu nanii huko mitandaoni watu wanamuombea mpaka kifo
Muwe mnapitia Facebook , twitter na instagram muone jinsi mkuu hapendwi

Narudia
MUACHE KUPOTOSHA HISTORIA
MZEE JK ALIKOSOLEWA NA WACHACHE HASA WANASIASA WA UPINZANI NA HAKUWAI KUCHUKIWA NA WATANZANIA WALA KUOMBEWA KIFO HIVO USIMFANANISHE NA MTU MWINGINE
Rais magu anapendwa Sana na watz kuliko unavyofikilia wewe.labda ninyi aliowazibia mianya ya upigaji na siasa za ujanja ujanja.
 
We msukuma una ushahidi wa hili unaloandika au shibe ya makewe inakusumbua, JK will remain the best ever president
Yes! JK alikuwa na hekima sana,tuliyenaye Sasa hivi ni mpumbavu sana na hatari mno!
 
Najua ya kwamba ulikuwa ukitupenda sana,japokuwa una mapungufu yako kama Binadamu wote tulivyo lakini ulijitahidi sana kutufanya wenye furaha.

Lakini Dakika za mwisho ukawa si wewe tena tuliyekuwa tunakujua,mwingi wa hekima,mpole,mwenye subira,mnyenyekevu na usiyependa makuu wala kujikweza.

Ni kitu gani tulikukosea hadi ukachukia?

Najua Mzee wangu huwa unapita humu kimya kimya,nami natarajia jibu lako kimya kimya.
Kamlija kamekatwa!!! Pole mkuu
 
Unajua mimi ninashangaa na kukosa majibu.

Ukimuangalia vizuri Rais wetu si Fisadi na si mla Rushwa na anayoyasema mara nyingi yanatoka ndani kabisa ya moyo wake na wakati mwingine huwa nahisi huwa anasikitika ndani kwa ndani hata kutoa machozi.

Pamoja na hayo mbona mambo hayaendi, mbona hatuna furaha, mbona tuna masononeko kila kukicha kuna nini?

AU Kuna mgomo ndani ya watumishi wa serikali, Mbona anayosema MH Rais hamuyatimizi mbona mtafanya kazi kwa ulegevu? mbona hata yeye hana furaha, hana amani?

Tumuombee na kuliombea Taifa letu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom