Nitamwombea tu kwa maana kila mamlaka imewekwa na Mungu.
Kuiongoza nchi si kazi ndogo. NI MZIGO.
Nyie huwa mnasoma Biblia kama Kitabu cha hadithi,pole sana mkuu...
"Itiini kila mamlaka,maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu"
Tafsri Sahihi: "Zitiini sheria zote nilizowapeni mimi Mungu wenu".
Neno mamlaka " Authorities " halimaanishi serikali .
Na siyo kila serikali Duniani imewekwa na Mungu,kumbuka Mungu si mwanadamu,kwa hiyo si muuaji...Mungu hawezi kusimika Dikteta,anayeteka watu na kupoteza wanaompinga...
1.Mobutu aliwekwa na Mungu?
2.Saddam aliwekwa na Mungu?
3.Bokassa aliwekwa na Mungu?
4.Samuel Doe aliwekwa na Mungu?
5.Idd Amin aliwekwa na Mungu?
6.Hitler aliwekwa na Mungu?
Ndugu Mungu si muuaji Hata aweke muuaji.
Kwa hiyo JPM hakuwekwa na Mungu, hiyo ni kazi ya Lucifer.