My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Najua ya kwamba ulikuwa ukitupenda sana,japokuwa una mapungufu yako kama Binadamu wote tulivyo lakini ulijitahidi sana kutufanya wenye furaha.
Lakini Dakika za mwisho ukawa si wewe tena tuliyekuwa tunakujua,mwingi wa hekima,mpole,mwenye subira,mnyenyekevu na usiyependa makuu wala kujikweza.
Ni kitu gani tulikukosea hadi ukachukia?
Najua Mzee wangu huwa unapita humu kimya kimya,nami natarajia jibu lako kimya kimya.