Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

Mzee Kikwete, tulikukosea nini Watanzania?

We unajua huyu mzee alishawai kuombewa ijitimai ili afe na watu mlishangilia?..acheni unafiki nyoka nyie
Nyoka ni nani? Ni yule anayeamuru watu watekwe na kupotezwa au ni wale wanaomwomba Mungu amtoweshe huyo nyoka?
Fafanua.
 
HAKUNA RAIS ALIEKUWA ANAPONDWA NA KUPATA KASHIFA MBAYA KAMA KIKWETE.ILA NASHANGAA KWA SASA NDIO ANAONEKANA BORA KAMA MALAIKA
KWA AKILI ZETU WANADAMU HUWA HATULITAMBUI JEMA HADI TULIKOSE
HUENDA,NARUDIA TENA HUENDA HATA MAGUFURI BAADAE TUTAKUJA KUANDIKA HUMU TUKIMKUMBUKA NA KUMMISS
Not in a million years!Bora JK kwakweli,sio kwa haya yanayotokea!
 
HAKUNA RAIS ALIEKUWA ANAPONDWA NA KUPATA KASHIFA MBAYA KAMA KIKWETE.ILA NASHANGAA KWA SASA NDIO ANAONEKANA BORA KAMA MALAIKA
KWA AKILI ZETU WANADAMU HUWA HATULITAMBUI JEMA HADI TULIKOSE
HUENDA,NARUDIA TENA HUENDA HATA MAGUFURI BAADAE TUTAKUJA KUANDIKA HUMU TUKIMKUMBUKA NA KUMMISS
Ni kweli mkuu...nakumbuka kuna kipindi hadi jamaa akienda kwenye misiba watu humu wanaandaa nyuzi za kumponda,lakini vp leo hii hali ikoje?
 
JK ni mmoja kati ya Marais wa hovyo kuwahi kutokea pamoja na wa sasa labda nae tusubili amalize kipindi chake anaweza badilika

Kuna marais 2 tu kutoka CCM waliokuwa wana unafuu katika utawala wao nao ni NYERERE na Mwinyi.
Waliofuata baada ya hapo ni majanga matupu........!!!
Mtu anapomsifu Kiwete sijui ananzia wapi.sijui,,,,,,,Mstahafu Kiwete ndo aliyetuletea huyu mteule wa A5 wakishirikiana na njomba Nkapa........since from that time life have not been the same...!!
 
Unajua mimi ninashangaa na kukosa majibu.

Ukimuangalia vizuri Rais wetu si Fisadi na si mla Rushwa na anayoyasema mara nyingi yanatoka ndani kabisa ya moyo wake na wakati mwingine huwa nahisi huwa anasikitika ndani kwa ndani hata kutoa machozi.

Pamoja na hayo mbona mambo hayaendi, mbona hatuna furaha, mbona tuna masononeko kila kukicha kuna nini?

AU Kuna mgomo ndani ya watumishi wa serikali, Mbona anayosema MH Rais hamuyatimizi mbona mtafanya kazi kwa ulegevu? mbona hata yeye hana furaha, hana amani?

Tumuombee na kuliombea Taifa letu.
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ok
Mitandaoni huko.wadanganyika wanamuombea kifo leader wao
Alipofiwa na dada yake walidai afe yeye
Na sikuizi akifa mtu wanamuuliza mungu kwanini asimchukue leader wa wadanganyika
At the end atakufa kabla ya miaka 10,sauti ya wengi ni sauti ya Mungu,atakufa lazima kabla ya muda wake,Mungu atasitisha uhai wake ili aokoe mamilioni ya wasio na hatia
 
Ila mzee mengi mjanja sana yule mzee
Alipoona mkuu ameagiza maji ya kili yasitumike serikalini
Akaanza kuunda urafiki na Mkuu
Hivi sasa ataishi vizuri sana yule mzee
Kina Mo walijitenga na Mkuu ndio tatizo
Hata bakhresa anaunda urafiki
Duh hili jamaa ni shetani kabisa,kumbe utabiri wa TB Joshua ni lazima utimie...
"Menemene Tekeli na Peresi"
 
Ni kweli mkuu, na hata kutekwa kwa MO ni suala la familia yao binafsi,na siku Baba yako akitekwa itakuwa suala la familia yako.
Nani amekupa uhalali Wa kuwasemea watanzania halafu unazungumzia Mo kutekwa kwani Ulimboka alitekwa wakati Wa utawala gani? Kibanda je au umeanza kufatilia siasa juzijuzi we sema mrija umekatwa sio kulialia
 
Unajua mimi ninashangaa na kukosa majibu.

Ukimuangalia vizuri Rais wetu si Fisadi na si mla Rushwa na anayoyasema mara nyingi yanatoka ndani kabisa ya moyo wake na wakati mwingine huwa nahisi huwa anasikitika ndani kwa ndani hata kutoa machozi.

Pamoja na hayo mbona mambo hayaendi, mbona hatuna furaha, mbona tuna masononeko kila kukicha kuna nini?

AU Kuna mgomo ndani ya watumishi wa serikali, Mbona anayosema MH Rais hamuyatimizi mbona mtafanya kazi kwa ulegevu? mbona hata yeye hana furaha, hana amani?

Tumuombee na kuliombea Taifa letu.
Atakuwaje na furaha wakati mikono yake imetapakaa Damu za watu?
Mwombee wewe na mkeo,siye Tunamwombea MO.
 
HAKUNA RAIS ALIEKUWA ANAPONDWA NA KUPATA KASHIFA MBAYA KAMA KIKWETE.ILA NASHANGAA KWA SASA NDIO ANAONEKANA BORA KAMA MALAIKA
KWA AKILI ZETU WANADAMU HUWA HATULITAMBUI JEMA HADI TULIKOSE
HUENDA,NARUDIA TENA HUENDA HATA MAGUFURI BAADAE TUTAKUJA KUANDIKA HUMU TUKIMKUMBUKA NA KUMMISS
Binadamu hasa wa kibongo hawajawahi tengamana na unafki, kila kizuri kwwao huonekana baada ya mtu kutoweka! K
uanzia misibani kusifia marehemu mpaka sasa wamefikia kwa maraisi, kazi kweli kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom