Yetu Macho
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 224
- 33
Haiwezekani
Haiwezekani kila kiongozi akifa tuwe na sikukuu yake. Tutakua na siku ngapi za mapumziko ktk taifa hili la uchumi mdororo?
Maoni yangu kusiwe na mapumziko mengine yeyote hata akifa nani even waliokwisha shika urais achana na mawaziri wakuu.
Tuna viongozi wangapi waasisi wa taifa hili waliobakia unawajua?
Hawa wote tutawapa heshima na tutawakumbuka siku ya mashujaa
r u serious? walijiandaa na kifo chake mapema nini? tungekuwa sharp hivi na kwenye mambo mengine ,mbona tungefika mbali.
Rais Jakaya Kikwete, katika sauti ya huzuni kubwa, ametangaza siku saba za maombolezo kwa bendere kupepea nusu mlingoti.
r u serious? walijiandaa na kifo chake mapema nini? tungekuwa sharp hivi na kwenye mambo mengine ,mbona tungefika mbali.
ona huyu!!, ANATAKA MAPUMZIKO WIKI NZIMA, LOH.Mkuu hebu naomba ufafanuzi kidogo inamaana tutakuwa mapumzikoni 7 days au ni just nusu mlingoti?
ona huyu!!, ANATAKA MAPUMZIKO WIKI NZIMA, LOH.
ishu ni kwamba maombolezo, BENDERA ZITAPEPEA NUSU MILINGOTI, dah.
mnhh, lakini kuna kaukweli.mkuu kama ndo viongozi wetu ndo wanavyofikiria hivyo sasa mimi nifanyeje???
By the way hata nikifanya kazi all 365.75 days, na sioni ni nini serikali yangu inanifanyia kwa kulipa kodi kubwa ninayolipa, si ni-bora niende vakesheni kunapokuwa na misiba mikubwa kama hii.
Ni wazo langu tu though!
Mkuu hebu naomba ufafanuzi kidogo inamaana tutakuwa mapumzikoni 7 days au ni just nusu mlingoti?