..Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake madale na mwili umehamishiwa hospitali ya lugalo!!Alilazwa jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili katika wodi wa wagonjwa mautihuti (ICU)
JK ameondoka muda si mrefu nadhani ndiyo anaenda kulitangazia taifa kuhusu huu msiba mzito wa Marehemu Mzee wetu Kawawa.
Mazishi nadhani bado mipango maana ndugu na jamaa bado wapo hapo hospitalini. wakiongozwa na mama JK
RIP Kawawa
Poleni sana Watanzania wenzangu. Kama taifa napendekeza tuwe na KAWAWA DAY kuanzia mwaka ujao wa 2010. Tarehe 31/12 ya kila mwaka ni siku muafaka zaidi.
Nini kifanyike kitaifa kila siku hiyo, ni suala la kujadiliana na kupanga kama taifa. Naamini Serikali yetu italiafiki na kulifanyia kazi wazo hili ili kuhakikisha historia yake haipotei katika taifa letu na Afrika kwa ujumla.
MUNGU awe nawe katika maisha yako mapya
Mzee wetu na shujaa wa kipekee katika taifa letu.

Safi sana....ila naomba kuuliza swali inakuwaje mtu anakufa then ndani ya dakika 35 tayari wimbo uko redio tayari na unachezwa?
AM NOT.
tutakua tunaadhimisha siku kama hizi ngapi kwa viongozi wa serikali???, which means itakua public holiday?, waTZ tuache uvivu, mtu kama kaondoka akumbukwe ndani ya nafsi, TUCHAPE KAZI JAMANI.
r u serious? walijiandaa na kifo chake mapema nini? tungekuwa sharp hivi na kwenye mambo mengine ,mbona tungefika mbali.Safi sana....ila naomba kuuliza swali inakuwaje mtu anakufa then ndani ya dakika 35 tayari wimbo uko redio tayari na unachezwa?