TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,185
- 18,201
Rashid Kawawa ni mmoja ya mifano ya loyal people to their leaders; alibeba mengi (mazuri na mabaya). Nakumbuka kuna miaka tulimkandya kwa kukosa elimu, maamuzi na hata mambo ya kishirikina... lakini hata siku moja hakukurupuka kujibizana na yeyote kama alivyo mzee wetu kibogoyo au makamba nk. Alisimama kwenye yake anayoyaamini
Alilea family, ni mmoja wa mifano hai ya siasa ni kilimo na sera ya vijiji!!! ameinua kila alipoweka mji na amefaidi ujana wake pia
RAshid alikuwa shujaa, family man, hero, villain na kila unachoweza define kutokana na perception yako/yake
Mungu ampumzishe kwa amani
Swali: Je aliyepost jana alikuwa sahihi?? Na hii si kama ile ya JK??