Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,545
- 8,630
Butiku mzee mkweli na mzalendo. Amepinga mkataba wa DP mmeanza. Mnadhani ana shida na hicho kivoda?
Poleni. Bandari zetu hatugawi kwa wajomba mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahuni ni wengi wammshika ziwa ….awe makini nao hawana adabu