Mzee Butiku aigeuza Mwalimu Nyerere Foundation kutoka kuwa taasisi kubwa ya kimataifa mpaka level ya kikao Cha ukoo wa Nyerere. Ikabidhiwe UDSM

Mimi nasisitiza waliokula pesa za mwarabu watoe walivyo navyo (the eye) kufidia
 
Kisa kupinga mkataba wa bandari? Mkishapingwa ithuwa mnahaha sana kuwachafua wanaowapinga. Na pengine huwa mnakwenda mbali zaidi kwa kuwatishia vifo..!! Badala ya kujibu hoja kwa hija, mnatumia nguvu kwenye hoja
Ukiona MNF imepinga jambo ujue ni deep state imepinga jambo hilo!

Ukishupaza shingo your gone for Good!
 
Back
Top Bottom