Leo Singida.
View attachment 1596887
Yani nikiona bongo fleva wanavyonyang'anyana peremende za CCM halafu kule Nigeria wasanii wana mahela lakini bado wanatumia ushawishi wao kuchochea mabadiliko kwenye jamii na mifumo ya nchi nasikia hasira mpka natamani kupiga ngumi ukuta…
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuongoza nchi kwa huruma
Ya kupigwa risasi uraisi huwa haujaribiwi
Asante sana kwa kutufafanulia lengo kuu la kumpiga binadamu mwenzenu marisasi yote yale kama mnyamaHuwezi kuongoza nchi kwa huruma
Ya kupigwa risasi uraisi huwa haujaribiwi
Diamond anajikutanga ana talent + pesa lakini hana ubavu wa kukosoa maovu ya serikali utafikiri serikali ndio wanaonunua kazi zakeView attachment 1597326
Bongo imejaa wanafiki,fikiria watu kama Polepole,Kabudi,Bashiru wangeweza kugeuka waimba mapambio
Watanzania tu waoga mzeeDiamond anajikutanga ana talent + pesa lakini hana ubavu wa kukosoa maovu ya serikali utafikiri serikali ndio wanaonunua kazi zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hujawaelewa watu,Huwezi kuongoza nchi kwa huruma
Ya kupigwa risasi uraisi huwa haujaribiwi
Babu yenu alisokomezwa kuwa rais, ndoto zake ilikuwa aje awe IGP. Ampishe lissu watz kwa pamoja tunamtaka awe rais wetu na kura zetu zote ni kwa lissuHuwezi kuongoza nchi kwa huruma
Ya kupigwa risasi uraisi huwa haujaribiwi
Kura yangu kwa Lissu ni kwasababu anastahili kuwa Rais wa JMT
Rais Lissu hatatubagua kwa rangi zetu.Kwanza you have to declare interest, je Wewe ni mwanamke mweusi au mweupe???--- isiwe ni wewe ni mweusi na unataka kupiga kura ya chuki kwa yule Boss mpenda mkorogo (vyeupe).🤣🤣
View attachment 1597326
Bongo imejaa wanafiki,fikiria watu kama Polepole,Kabudi,Bashiru wangeweza kugeuka waimba mapambio
siasa mbaya sana,anyway tufanye kweli hiyo tarehe 28/10Leo Singida.
View attachment 1596887