ADI, nakubaliana na rocky 100%. the most romantic outing i ever had ilikuwa kwenye my fav cafe, ambapo nilipata kahawa ya maziwa mug kubwa 1 tu! it was in 2005 and i still smile when i think of it (nadhani hata macho yana-glow sasa). tena nadhani mtu anakua touched na vitu vinavyoonesha upendo zaidi kuliko ku-spend.ugumu wa maisha ni kigezo tu,mtu anaelalamika kuhusu hela kukosekana hakosi ya kuhonga nje (both men and women do this!!). angalia wahindi, anatoka na mkewe jioni,they take a healthy walk, wanakula mihogo au chipsi vumbi and walk back home! kutoka ni utamaduni tu na inasaidia kuboresha mahusiano.
note: nimedandia thread kwenye bonnet,hata sielewi mliongelea nini b4.nami pia naamini kama ndoa imetulia,hata hela zitamiminika.
<br />
<br />