My thoughts, what are yours?

My thoughts, what are yours?

AshaDii ndo maana mimi nasema ni kazi ya kila mmoja kuifanya ndoa iwe mpya kila siku. Yaani ukiwa mbali na nyumbani utamani kila siku kurudi na kukutana familia yako. Yaani utamani kila siku kumuona mkeo au mumeo
Sio mnakaa ndani mnanuniana na kila mmoja asitamani kukaa au kurudi nyumbani kwa kuwa hakuna jipya
Yaani nyumba inakuwa sio hai na ndoa imekufa japo wanandoa wanaishi

Umenikumbusha Useful Thread ya Mbu... "kujipendelea Muhimu (LINK)... Naamini wanandoa woote wanapooana ndio moja ya mipango yao... kuona wataweza maintain their love na kujituma mara kwa mara kufanya anything possible... hata annual holidays if possible... But as time goes on responsibilities zinaongezeka... Kids happen... ya muhimu yanakua ni meeengi mno mpaka both mwaweza sahau kua kua kurudisha vibe nayo ni muhimu pia... Mpaka mwaweza jikuta katika hali ambayo MTM (LINK) aliizungumzia Juzi kati... kwa kweli nguvu ya ziada inatakiwa... na kama ulivosema woote wawe committed...

AshaDii ila hata kama kuna kuongezeka kwa majukumu msilale kuifanya ndoa yenu iwe mpya kila mara
Napenda kama ulikuwa na tabia ya outing iendelee hata baada ya kuoana na kuwa na familia

Thanks for your thoughts and analysis. The major difference between home and house is basically grounded in the nature of their occurrence. Home is an internally built trait which is not limited by space,while house must be something physical outside you that keeps your body. The basic foundation of a home is love, home is where your heart rests. If I were myself a pastor; I would conclude by saying that a hom e is founded the simple, immutable, indivisible being ( God ),while a house is just a product of your own creation.

Thanks for your analysis mkuu

Umenikumbusha Useful Thread ya Mbu... "kujipendelea Muhimu (LINK)... Naamini wanandoa woote wanapooana ndio moja ya mipango yao... kuona wataweza maintain their love na kujituma mara kwa mara kufanya anything possible... hata annual holidays if possible... But as time goes on responsibilities zinaongezeka... Kids happen... ya muhimu yanakua ni meeengi mno mpaka both mwaweza sahau kua kua kurudisha vibe nayo ni muhimu pia... Mpaka mwaweza jikuta katika hali ambayo MTM (LINK) aliizungumzia Juzi kati... kwa kweli nguvu ya ziada inatakiwa... na kama ulivosema woote wawe committed...

Ni kweli inabidi tuangalie nyuma kuwa unatimiza vipi kwa mwenzako kuliko kuanza kulaumu na kufanya mambo yasiyo na mbele wala kulaumu zaidi ya kufanya yale ambayo unaamini yatamfanya mwenzi wako nae akushukuru.

AshaDii ila hata kama kuna kuongezeka kwa majukumu msilale kuifanya ndoa yenu iwe mpya kila mara

Napenda kama ulikuwa na tabia ya outing iendelee hata baada ya kuoana na kuwa na familia

Tumezoea outing tunapokuwa kwenye mahusiano ya GF na BF watu wakiingia kwenye ndoa wanakuwa wanaona hakuna umuhimu wengine wanaanza kuchokana sababu mnaonana kuwa ni watu wa kawaida na hakuna haja ya kuboresha ndoa yenu hapa ndio mifarakano mingine inapoanza

Yaani hapo unatamani umtwange maana hajajua thamani ya uwepo wake nyumbani na nini anapaswa kufanya kwa wakati huo. y

Rocky... hizi ndoa hizi... wee acha tu... watu wanaishi ndani kama majirani.... Unakuta sometimes unaona ni bora agande hapo hapo kwenye PC maana hamna jipya na mkiwa idle hamjui hata to say to each other.... Sad.[/QUOTE]

Hili na lenyewe ni jambo la msingi la kuliangalia

Most marriages are not successful ones kwa sababu, wengi tunaingia kwenye ndoa bila kujiuliza kabla kwanini uoe/uolewe! Ni mkumbo, fashion, fulfilling dreams, kuonyesha kitaa (marafiki hususani wanawake - they value pete za ndoa kuliko NDOA yenyewe). Researches reveal that walio ktk ndoa ni viwembe kuliko wasio ktk ndoa...... Tht answers my qn kwamba wengi tunaingia ktk ndoa bila kujiuliza je nina sababu ya kuoa / kuolewa sasa hv, kwanini nimuoe / olewa huyu na si yule etc......

umenena to the maximum mzazi,tena wengine wanaoana just because of pregnancy.
amabo hamjaoa/olewa kuweni makini sana,ambao tayari hapo mnahitaji nguvu ya ziada ya kusali nakuomba ndoa kama hizi ziwork,na nyingine ni kweli zinawork.

Tumezoea outing tunapokuwa kwenye mahusiano ya GF na BF watu wakiingia kwenye ndoa wanakuwa wanaona hakuna umuhimu wengine wanaanza kuchokana sababu mnaonana kuwa ni watu wa kawaida na hakuna haja ya kuboresha ndoa yenu hapa ndio mifarakano mingine inapoanza

Na hapo ndo mnapoharibu
Outing zinapaswa ziendelee kama kawaida kila mara na hata kama ni maua kwa mke wako yaendelee
Yaani inatakiwa mfanye jambo ambalo linaifanya ndoa yenu iendelee kuwa mpya kila siku na umuone mkeo au mumeo kama bado ndo mnaanza mahusiano na sio mchokane

Huwa ni ngumu ku maintain yale mliyokuwa mnafanya enzi hizo sababu majukumu yanaongezeka, watoto, ndugu wanaotuzunguka
yaani lazima kuna mambo yatafutika tu na kuonekana kama si ya muhimu

Lakini Shantel tusichukulie hii kama sababu kwamba familia na ndugu ndio wanatufanya tukose muda wa ku-revive our intimacy hapo kidogo sikubaliani na wewe

Ni kweli kabisa na wengi hili linawakwaza sana including me, tunajaribu sana sana kupata muda wa kuwa pamoja ila wakati mwingine tunashindwa kufanya yaleeee ya zamani

Ni kweli lakini pindi tunapopata nafasi basi tusiache kuitumia kwa ajili ya kukaa na kukumbushana na kupeana yale ambayo kila mmoja angependa kusikia kutoka kwa mwenzake

Shantel na Tf sitaki kupingana na mawazo yenu
Kuna kuongezeka kwa majukumu na ndugu unajikuta hata ile privacy ya ndani inaondoka
Ila ninaloamini na ninalopenda kusisitiza ni kwamba pamoja na majukumu yote aliyo nayo wife may be usiache kumtoa out. Wenzetu wanachoka sana na wanakuwa na muda mfupi sana wa kupumzika so usijisahau wala usije ukasema kuwa majukumu yameongezeka na familia ndo mwisho wa wewe na mkeo kutotoka out.

Nakubaliana na wewe Rocky mkuu inabidi wanandoa watenge walau muda kwa ajili ya wao wawili

TF hilo ni tatizo la wanandoa wengi. Hawana muda wa kukaa wenyewe kama wao. Wakishapata watoto inakuwa muda wote wanawaza watoto tuu. Wakiongezeka tena na ndugu inakuwa ni balaa kunakuwa nyumbani hakuna tena ule usiri wala muda wa wanandoa kuutumia kuongelea mambo yao kama wao.
Sasa outing ndo zinasaidia kurudisha ule uhalisia na uzuri wa ndoa. Kuurudisha upya wa ndoa.

Aisee wikiendii hii wife ulimpeleka wapi? Lol!

AshaDii ila hata kama kuna kuongezeka kwa majukumu msilale kuifanya ndoa yenu iwe mpya kila mara
Napenda kama ulikuwa na tabia ya outing iendelee hata baada ya kuoana na kuwa na familia

Rocky hilo uloongea ni kweli, but hivi unafikiri wahusika wanapenda... Tukumbuke kua maisha yamekua magumu mno - nayo pia inachangia... Of coz kuna families ambazo huenda holidays kila mwaka na in most cases unakuta kua wako well-off (na sisemi kua mkiwa na uwezo wa chini hamuwezi fanya hivo... NO! Ila nina maana yale majukumu yanayohusisha fedha kama ada, malazi, matibabu yaweza kua yahitajika; In this case unafikiri kweli wahusika wachukue hicho kidogo walichonacho kwenda ku relax?? Unafikiri watakua Comfy? Kama hawataishia kupima kila wafanyalo - as in this drink is 2000... why waste all this money... and the like...)

However it should be noted kuna watu wanaishi maisha haya but still ndoa zao zipo on the Rocks... no mattter kua hua wana outings za mara kwa mara.... Complications za ndoa ni nyingi mno - Hivo narudi kwenye post zetu za hapo nyuma kua yahitaji uvumilivu na busara ya kila mmoja katika ndoa...

Ashadii nakubaliana na wewe
Ila sijasema outing za gharama hata kama ni zile sehem unaenda kupata nyama choma na soda. Sio zile outing za kuumiza mfuko ila za gharama mnazozimudu na ambazo hazitaathiri uchumi wa familia.
Ni kweli complication za ndoa ni nyingi ila uvumilivu ni wa muhimu sana sana kufanya ndoa yenu idumu
Na la muhimu ni kuongea na kujalidiliana. Wanandoa kujipa nafasi ya kuchambua na kushauriana na kujadiliana masuala yanayowahusu wanandoa

Back
Top Bottom