My thoughts, what are yours?

My thoughts, what are yours?

Hili sredi limenishinda kuchangia kwa sababu kinglish is not pandaring. Hebu niitien Kaizer aje anisaidie kuchangia,... Source? ODM

hivi hommie kumbe masharti hapa ni kuchangia kwa ki english? daaamn
 
Ungejua Afrodenz muda huu amekaa na lawywer wake sijui ungesemaje. Ngoja nimtetee TF japo kimeo
 
mmmhhh
mweee lawyer wangu humuwezi .....jaribu..
Anapenda sana kupindisha sheria yule ndio maana simuwezi lol

nnayo ya makongoro....
Dah!!! Aisee ngoja nijaribu kupika nyumbani leo wewe si umegoma

Hiyo supu haina tena ladha ishawekwa maji kibao na wanakudanganya na pilipili na ndimu ionekane mpya
Hahahaha!! Fitina hizo Rocky umeanza

Mi si natafuta kazi bana bora hata huyu kimeo TF kanipa kazi naweza pata hata mia kwake
Kazi tapata ila ipo ya kufanya masaa 15
 
Kwa ubahili wako sitaki tena hiyo kazi bora nikalime nyanya kijijini kwangu huku Hungumalwa tuu lol
 
Tf si ulikuta supu yenyewe ina mende ndani si umeamini kuwa nilikuwa nasema ukweli wanaongeza maji na ndimu na pilipili ionekane mpya
 
Hahaha!!! Wee kwa fitina sikuwezi hivi yule mshikaji alitokomea kule alikoenda hakurudi?? Sisi vijana banaa lol!!!
 
Back
Top Bottom