My thoughts, what are yours?

My thoughts, what are yours?

Oooooopppssssss ngoja nipake mafuta kidogo
BHT huyu TF anafaa kabisa kuwa mkwe wako si unaona busara zinavyomwagika hapa

halafu huyu huyu TF ni mkwe wa mama wa kwanza...sasa sijui ana nia gani na mabinti zetu huyu!!

Thank you a Lot AshaDii
Well said and ready to fulfil it in my own marriage

Tatizo liko hapo kujua kuwa taasisi ya ndoa ina umuhimu gani na je anayeingia humo anajua umuhimu wake na anajua wajibu wake
Unaposhindwa kujua umuhimu wako kwenye taasisi hii ni lazima utakuwa unapwaya na utakua hujui wajibu wala dhima nzima ya kuingia humo
Jiangalie wewe je ni mkamilifu
Je wewe una mapungufu gani na je uko tayari kuambiwa kuwa haya ni mapungufu yako na uko tayari kuishi kulingana na mapungufu yako na kujitahidi kukabiliana nayo hata kuyaoindoa ikibidi
Je unajua mwenza wako ana mapungufu haya na haya na uko tayari kuyaelewa na kukabiliana nayo
Hapo ukishaelewa sema sasa kwa Shida na Raha till death do us apart na usisome kama maandishi bali maanisha

Rocky hayo maswali umeuliza ni ya msingi saaana... na ni maswali ambayo kama kila mmoja anaeolewa/oa angekua anajiuliza basi walau kungekua na nidhamu katika maamuzi yanayohusiana na maswala ya ndoa.. hivo kuwepo busara fulani pia...

Hii mamii nimeipenda....
Ukijitambua tu kuwa hata wewe una mapungufu yako basi unaweza kumvumilia mwenzio na yake (ofcoz yapo yasovumilika)
Wadada wengi ni mabingwa wa kutoa 'risala' (sijui ni asili yetu) ila binafsi huwa inanipa nafuu sana (sipendi kuweka kutu kwenye moyo). Na hilo linasaidia kuimarisha upendo wangu kwa mwenzangu kwa kweli.
(mada ni nini tena TF?)
Well, binafsi naona msingi mkuu hapa ni upendo, uvumilivu na heshima baina ya wawili. Hii naamini intani guarantee furaha ya kweli.
Kuna watu wana fedha na mali na hawana furaha kwenye ndoa na mahusiano yao. Sasa pesa ni ya nini hapo?

I wish wale woote walooa na kuolewa wawe wanapitia thread kama hii... very constructive ushauri if one kweli yuko interested na anazaingatia... BHT i second maneno yako for ni kweli kabisa....

Najaribu kuikumbuka lakini bado sijaipata

PA Nitaitafuta...

aiisee kweli wana JF leo MNAHASIRA na ndoa zinazopuzwa... Mara hii mko page ngapi vilee??

lol...
afu mama wa kwanza (FL1) ni bestiledi wangu...utajiju!!
unataka kutuchangyia madesa eeh?
are those also your thoughts???
Hahaha!!! Unataka kuiniumbua lol!! Isije ikawa mambo ya I LOVED YOU NOW I HATE YOU na dedication juu lol!!!

• Thanks
Reactions: bht
nakusifia hapo na uwe tayari kuthibitisha hilo utakapoingia kwenye taasisi hii
Afu sijui unasubiri nini maana naona uzee unakaribia utaitwa babu sasa hivi na watoto wako mwenyewe
Usijali mkuu kwenye taasisi hiyo nami nitajiunga

Usijali mkuu kwenye taasisi hiyo nami nitajiunga

karibu sana ila uje na wazo moja tuu kuwa ndoa sio mwisho wa kila kitu ila ndio mwanzo wa mambo mengi mapya katika maisha yako
Ndo unaanza kujifunza kama mtoto anayejifunza kutembea
Usije ukafikiri yale uliyokuwa unayafanya ukiwa single utaendelea nayo ila yapo unayoweza kufanya na yapo ambayo itabidi uyape kisogo japo kw amakubaliano na wife unaweza kuendeela nayo

. It is sad some people tend to take their careers more seriously than their marriage

What are u trying to insinuate here
Kwa maana naamini kuwa marriage ni marriage na carrier ni carrier
Ukiwa ofcn mambo ya huko yanaishia huko huko na ukishafika nyumbani another institution inatake place
Au mi nimeelewa kivinngine

. It is sad some people tend to take their careers more seriously than their marriage

What are u trying to insinuate here
Kwa maana naamini kuwa marriage ni marriage na carrier ni carrier
Ukiwa ofcn mambo ya huko yanaishia huko huko na ukishafika nyumbani another institution inatake place
Au mi nimeelewa kivinngine

Kuna watu wanashindwa tofautisha hilo... Kila siku yuko busy...
akirudi jiioni.. weekend na holidays pia... Hio tabia inaboa saaana.

One of the marriage Breakers for inavunja kabisa intimacy...

Ashadii ni wengi na hilo ni tatizo maana unakuta akirudi nyumbani anaingia kwenye laptop kufanya kazi wakati huo muda alipaswa awe na wife wake wakijadiliana
Hii ipo sana

In a successful marriage home is your favorite place to be. Not that "home" here is not the same thing as house', house is where you live; home is what you live in. A house is built by sand, cement and water while a home is built by Love, peace and joy. So, how do we go from having 'manages' to have 'marriages'? Its just not the capacity to get people to stay together that is the important thing, but also the capacity of get people to love being together. And so if we can build strong marriages, we will build strong families. It is sad some people tend to take their careers more seriously than their marriage, but the truth be told; there can hardly be any true career success if your marriage has failed. Marital changes have be know to ruin the best career opportunities

I think that in the course of marriage, there is nothing that cannot change. But to bet that something will change may be asking for much. Always ask yourself , what if it doesn't change? If the situation remains the same, what are you going to do? People after marriage they usually say, 'He/She saw me the way I was and he/she married me that way, now he/she is demanding that I change'.

This is the most critical time to stand in integrity and ask, 'Can I really live with this?'. Marriages do not fail because of the things you can live with, marriages fail because of the things you can't live with. Most times, people knew they couldn't live with certain things but they said maybe they could.

Thanks for your thoughts and analysis. The major difference between home and house is basically grounded in the nature of their occurrence. Home is an internally built trait which is not limited by space,while house must be something physical outside you that keeps your body. The basic foundation of a home is love, home is where your heart rests. If I were myself a pastor; I would conclude by saying that a hom e is founded the simple, immutable, indivisible being ( God ),while a house is just a product of your own creation.

Ashadii ni wengi na hilo ni tatizo maana unakuta akirudi nyumbani anaingia kwenye laptop kufanya kazi wakati huo muda alipaswa awe na wife wake wakijadiliana
Hii ipo sana

Bora sasa awe anafanya kazi... akiingia kanuna na kujifanya yupo busy na L-top kumbe yupo JF...

QUOTE=AshaDii;2443988]Bora sasa awe anafanya kazi... akiingia kanuna na kujifanya yupo busy na L-top kumbe yupo JF...[/QUOTE]

Yaani hapo unatamani umtwange maana hajajua thamani ya uwepo wake nyumbani na nini anapaswa kufanya kwa wakati huo. y

QUOTE=AshaDii;2443988]Bora sasa awe anafanya kazi... akiingia kanuna na kujifanya yupo busy na L-top kumbe yupo JF...

Yaani hapo unatamani umtwange maana hajajua thamani ya uwepo wake nyumbani na nini anapaswa kufanya kwa wakati huo. y[/QUOTE]

Rocky... hizi ndoa hizi... wee acha tu... watu wanaishi ndani kama majirani.... Unakuta sometimes unaona ni bora agande hapo hapo kwenye PC maana hamna jipya na mkiwa idle hamjui hata to say to each other.... Sad.

Back
Top Bottom