My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

- oK VIPIkuhusu credibility ya wanaomsemea Lowassa kaka maana mengine hayo ni waste of time la msingi ni hoja ayngu kwamba wanaomsememea pamoja na wewe wote hamna credibility!!

Le Mutuz

Hoja yako kaongee na maccm wenzako, mutoane macho wenyewe kwa wenyewe, I'm too good to be mccm
 
- oK VIPIkuhusu credibility ya wanaomsemea Lowassa kaka maana mengine hayo ni waste of time la msingi ni hoja ayngu kwamba wanaomsememea pamoja na wewe wote hamna credibility!!

Le Mutuz

Mkuu field marshal huko ccm huna chako, wenzako wanakuchora tu, wanajua wewe hubebeki maana ushamtukana sana Mkuu wa nchi na serikali yake, kuna watu wanakutumia tu.
 
Its kinda gettin' hotta in herre! Chilla folks, chilla!

 
Last edited by a moderator:
Huko CCM kweli kuna viroja...
wakati vilaza wanabweka wakidhani wanampiga vita,
wenye akili kidogo wanajua kuwa ndani ya CCM hakuna kama Lowassa!


lowassa-bodaboda.jpg


IMG_7298.jpg


lowasavijanaccm.jpg


wtcoj.jpg


8.jpg




lowassa-noma.jpg


Ni Chadema tu ndiyo stumbling block kwa Lowassa kuingia Ikulu!
​
 
The Malecelas will never support the Lowassas. Tunajua hiyo beef imeanzia kwa mzee Malecela mwenyewe.
 
Nadhani Nyerere alifanya la maana sana kumuengua mzee wako kwenye kinyang'anyilo cha urais, japo mzee wako hakuwa mropokaji hivi lakini uharo alioutoa ni kithibitisho kuwa naye ni heterozygote mentally unfit coz uwehu unarithiwa biologically sasa kwako kuna homozygous recessive genes ndio maana umejitokeza.
You made my day mkuu.Kudos!
 
Huyu kuelekea 2015 ndio mtamjua vizuri na ile ID yake nyingine ndio silaha yake kama alivyoitumia kumkoma mkuu wa nchi.
 
Mdudu le mutuz
kwa maono yako nani anayefaa kuwa rais wa Tanzania?
Lowasa ni chaguo la wananchi wa Tanzania
 
- Lowassa atapewa Urais na Msindai? Guninita? Mgeja? kweli kaka unaaamini hawa watampa Urais mgombea wako?

Le Mutuz
Ndg Baharia, hawa akina Mgeja, Guninita na Msinda huenda wanawakilisha makundi makubwa ya wanasiasa nyuma yao, you will never know. Huenda hao wanatumika kupima upepo wa kisiasa tu. Tuvute subira.
 
- Baada tu ya Mh. Lowassa kutangaza ndoto yake kwenye Sherehe za Mwaka Mpya huko jimboni kwake, kukaaanza malumbano yakiongozwa na watu wake wa karibu sana wa kwanza alikuwa Msindai, Mgeja, Guninita, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar na Mwenyekiti wa CCJ chama kilichokufa kabla hakijaanza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha. Hawa ndio kweli Mh. Lowassa anayetaka Urais wa Jamhuri hii ndio aliowaona credible Leaders wa kumzungumzia kwa huu umma na kama sikosei kwa maneno mengine anatuambia kwamba akishika Urais wa Jamhuri hii hawa ndio tuwategemee kama Viongozi wakuu wa Taifa.

- Msindai aligombea Ubunge akashindwa, Mgeja chini ya uongozi wake Mkoa wa Shinyanga CCM imepoteza viti vingi vya ubunge kuliko mikoa yote huku Bara, Guninita amegombea Uenyekiti wa Mkoa wa Dar akashindwa na chini ya uongozi wake Majimbo mawili muhimu sana yameenda Upinzani, lakini kweli Lowassa anaamini kwamba hawa wanaweza kumsaidia kuifikia ndoto yake hiyo ya muda mrefu sana kama alivyosema mwenyewe.

- Well, simchukii wala simuungi mkono na mbio zake, lakini kwa hayo machache niliyokwisha yaona na kuyasikia maana yake ni moja kwamba sitapata shida ya kuamua kwenye Mkutano Mkuu wa CCM Taifa wa kuamua mgombea ambao mimi ni mjumbe kama nimpe kura yangu au hapana, iwapo jina lake litkuwepo!!

- MAKALA YANGU NZIMA YA HII HABARI ITAKUWA KWENYE GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI.

Le Mutuz

Sasa kuna tofauti gani kati ya waliomuunga mkono na waliompinga.
Waliompinga
1. Paul Makonda - aligombea uenyekiti UVCCM akashindwa
2. John Malecela - Aligombea kupeperusha bendera ya CCM Mtera akashindwa...
 
Ndg Baharia, hawa akina Mgeja, Guninita na Msinda huenda wanawakilisha makundi makubwa ya wanasiasa nyuma yao, you will never know. Huenda hao wanatumika kupima upepo wa kisiasa tu. Tuvute subira.

- Kama ni kweli Msindai asingeshindwa Ubunge na Mgeja asingepoteza majimbo ya CCM Shinyanga kwa kuwapitisha wagombea wasiochagulika, yet unasema wanawakilisha makundi makubwa nyuma yao, really?

Le Mutuz
 
Sasa kuna tofauti gani kati ya waliomuunga mkono na waliompinga.
Waliompinga
1. Paul Makonda - aligombea uenyekiti UVCCM akashindwa
2. John Malecela - Aligombea kupeperusha bendera ya CCM Mtera akashindwa...

- tofauti yao ni kwamba wanaompinga hawagombei Urais kama yeye!!, ila wanaomsemea so far hawana credibility,

Le Mutuz
 
The Malecelas will never support the Lowassas. Tunajua hiyo beef imeanzia kwa mzee Malecela mwenyewe.

- Hayo ya Mzee na wengine mimi hayanihusu I am me nasema hivi kama kweli Lowassa anataka Urais aige mbinu za Rais wa sasa za kutumia Viongozi credible na jamii sio hao walioshindwa, Lowasaa anajua kwamba I am me mimi na yeye tumeshakaa chini mara nyingi sana kaka ninachomwambia hapa nilimwambia ile siku ya mazishi ya mtoto wa Mangula tuliongea naona hakunisikia namkubusha kuwa kama kweli anataka Urais atafute credible people sio hawa alionao sasa!!

Le Mutuz
 
Mkuu field marshal huko ccm huna chako, wenzako wanakuchora tu, wanajua wewe hubebeki maana ushamtukana sana Mkuu wa nchi na serikali yake, kuna watu wanakutumia tu.

- Kaka nimekuambia mara nyingi kwamba Usalama wa Taifa wanamjua FMEs mpaka Mkuu wa huko anamjua so tuliza boli kaka mimi jina langu hapa JF ni William J. Malecela Mkareeezzzzz!!

Le Mutuz
 
Huko CCM kweli kuna viroja...
wakati vilaza wanabweka wakidhani wanampiga vita,
wenye akili kidogo wanajua kuwa ndani ya CCM hakuna kama Lowassa!


lowassa-bodaboda.jpg


IMG_7298.jpg


lowasavijanaccm.jpg


wtcoj.jpg


8.jpg




lowassa-noma.jpg


Ni Chadema tu ndiyo stumbling block kwa Lowassa kuingia Ikulu!
​

- Saafi sana siku hizi umeacha kutetea Chadema sasa unamtetea Lowassa, Mwalimu wa Chuo Kikuu majuu, saafi sana!! by the way kaka rudi nyumbani sisi tulisharudi tunasukuma gurudumu la maendeleo home si unajua home is home kaka!!

Le Mutuz
[h=2]
icon1.png
Lissu amshukia Lowassa[/h]
Na Grace Macha

KADA wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) wanaokabiliwa na tuhuma za ufisadi, Edward Lowassa anadaiwa kutumia kigezo cha udini kutaka kuungwa mkono kwenye harakati za kukimbilia Ikulu jambo linalohatarisha amani ya nchi.

Aidha Rais Jakaya Kikwete ametakiwa kuweka hadharani majina ya watuhumiwa wa biashara ya madawa ya kulevya ambayo aliwahi kulitangazia Taifa kuwa anayo vinginevyo itakuwa ni vigumu kuondoa mashaka kuwa si mshirika wao.

Hayo yalisemwa juzi na Mwanasheria Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Tundu Lissu na wakati akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Sombetini, Ally Bananga kwenye viwanja vya Ngusero.

Lissu alisema kuwa baada ya Lowassa kuona hana sifa za uongozi kutokana na kuwa si muadilifu wala safi kulingana na tuhuma za ufisadi zinazomwandama ameamua kukimbilia makanisani akiwashawishi viongozi wa dini wamuuunge mkono kwa kigezo cha kuwa ni Mkristo mwenzao.

"Kuna makada wengine wa CCM nao wanazunguka huko misikitini wakisema hii ni zamu yetu sisi Waislam hivyo anashawishi wamchague kwa kigezo cha Uislam tu .Hawa watu wanasahau dini si kigezo wala sifa ya uongozi tuwakataeni, sijui wanalipeleka wapi hili Taifa zaidi wanatutafutia machafuko hawatufai wote hawa," alisema Lissu.

Akizungumzia muswada wa madiliko ya katiba, Lissu alisema kuwa katiba inasema kuwa nchi ni moja lakini kwa sasa kuna Maamiri Jeshi wawili ambao mmoja ni Mwenyekiti wa CCM, Kikwete na mwingine ni Makamu wake, Dk Mohamed Shein jambo alilosema kuwa ni hatari sana hasa ikitokea wakitofautiana na kupishana kauli ilihali wote wanamajeshi.


JUHUDI ZA KUMPATA LOWASSA KUZUNGUMZIA MADAI HAYA ZILIGONGA MWAMBA BAADA YA SIMU YAKE YA KIGANJANI KUPOKEWA NA MTU MWINGINE AKIDAI MBUNGE HUYO WA MONDULI YUKO KIKAONI AMBAPO ALITAKA APIGIWE BAADA YA SAA MOJA.

ALIPOPIGIWA TENA SIMU HIYO ILIITA BILA KUPOKELEWA​


washa, GlorytoGod and ogakison like this.
 
Back
Top Bottom