My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

Le Mutuz huwa nakuunga mkono sana mkuu,
Ila kwa leo hapana, Katika list ya watu walioongea
juu ya Lowassa wapo Paul Makonda na Pia Mzee wako
mbona hao hujataja madhaifu yao???

Na sisi pia ni viongozi mkuu katika huo mkutano unao utaja.
You need to fair inorder to play fair game!!!
 
Nakushauri just keep on the good job you do kwenye blog yako, make them more and more, ili ukiamua 2015 kujaribu tena, angalau utakuwa nazo za kutosha kuchagulika, EL achana nae kabisa!.

kweli akomae na ile blog yake

amepiga hatua ile Noah nyeusi kaichora kwa nyuma 'Le Mutuz Super Blog, Google. Blog ya Wananchi'

c.c @
Mandla Jr
 
mkuu Pascal chukua TANO - kama ana masikio na asikie na akawasimulie na wenzake!!
Kweli wakubwa akae kimya huyo mzee
 
!
!
kweli kabisa. Huu ni uchambuzi wako, je una nyaraka yoyote ya kunihakikishia kuwa unaumiliki kihalali?
 
Lowasa ni mtanzania mwenye haki zote kama raia yeyote mwingine wa tanzania,.

Ninasema kama lowasa ni wakuhukumiwa na ahukumiwe kwa HAKI, sio vinginevyo!

hatuwezi kuwa wadhalimu wote! Hapana

Comrades
 
Tumeshaambiwa chazo cha chuki kati ya babako na lowasa so hatuna ulazima wa kukushangaa sana haya unayosema.

Ila pia tunajua hata kama babako akipita kuwa rais bado ukoo wenu wa panya utaendelea kututafna tu.

Hivi vita mwachie babko hapo unapoteza muda wako, kijana wangu we endelea kuota ndoto nyev.u tu na kula vya babko acha sie watt wa masikin tuone wenyewe raisi atakaye tufaa na kutusaidia.

Tunajua kiburi chote unapata wapi lakini hatuna sabb ya kusema hapa. Ila ww na babko mtatoka kapa kama jinsi ilivotokea kwenye ubunge.
 
Hapo kwenye RED nampongeza huyo jamaa maana alikubali demokrasia ichukue mkondo wake, unaposema alipoteza viti vya ubunge kwa wapinzani maana yake unatamani kwamba angefanya wizi wa kura kuhakikisha CCM inapata "ushindi wa kishindo"

Kama hizo mbinu chafu ndo zinamfanya mtu kuwa kiongozi mzuri ni bora hasiwe kiongozi, We ni kijana lakini unaonekana na wewe ushalishwa sumu ile ile, kama baba,kama mtoto!

- Kaka viongozi walioshindwa Mkoa na Jimbo wanaweza kukusaidia kushinda Taifa?

Le Mutuz
 
umetumwa na baba?sasa mbona unampondea adui wa baba yako?
 
wewe na mdingi mnatumika tu,sophia simba kasema wote nyie mna makundi... lowassa ndio kiboko yenu ... mlipokuwa mnashadadia nyumba ya jirani wakati inafuka moshi mlikuwa mnasikia raha sana haya sasa ni zamu yenu ... huo mwaka 2015 Mungu akitupa uzima tutashuhudia mengi,wengine watahama nchi n.k .... kutapa tapa kwa mfa maji
 
"Analysis" ndo inafanyikaga hivi??, by the way unatishiiiiiiiiia na hako ka kura kako as if ni ka VETO. CCM mkitaka msishindwe vibaya (maana lazima mtashindwa) mwekeni EL.
 
[h=2]Re: My Political Analysis: le Mutuz Ukiwa mgogo wa familia ya kifugaji na kutokana na mkoa wenu wa dodoma hukumbwa na ukame ambapo kutokana na ukame huo huwa inawabidi kunywesha ng`ombe baada ya siku mbili (kun`gwa mgwawo) siku ya pili ngo`mbe hukimbilia sana maji , jibu ni rahisi huwa zina kiu sana.

Sasa le Mutuz your political analysis Lowassa anaukimbilia urais kama ngo`mbe ambazo hazikunywa maji jana hivi anataka afanye nao nini?

Mwanga wa milele ukuangazie ee bwana.[/h]
 
- Duh! Pasco kabla sijakujibu naomba unihakikishie kwamba aliyeandika ni wewe cause bado siamini kwamba unaweza kwenda this low kaka kwa mtu tunayeheshimiana kama wewe, anyways huwa nina utu all the times so sitakujibu ila nimeshitushwa kwa mtu kama tunayekutana all the times unaweza kwenda this low kisa nini siasa tu kaka? Kama ni wewe basi nilikuwa sikufahamu vizuri now I do!!

- Pasco si unajua kwamba ninaweza kukujibu tena vizuri sana na kwa lugha unayoonakena kuielewa sana and then tukikutana tena kesho what? Duh yaani sikujua kwamba upo Lowassa this close maana hata Freddy mwenyewe mtoto wake rafiki yangu sijawahi kumuona akienda this low, duh!

Le Mutuz
 
Last edited by a moderator:
Mbona sioni analysis yoyote uliyofanya kwenye hiyo post yako?

Nilitaka kuandika kama wewe mkuu, nimekuja mbio huku nikujua kuna 'madini' ambayo sijawahi kuyasoma kabla.

Nimejikuta napigwa na butwaa zaidi nilipoyaona maandishi haya hapa chini, sijui ni gazeti la namna gani lenye kuhitaji uchambuzi wa namna hii?

- MAKALA YANGU NZIMA YA HII HABARI ITAKUWA KWENYE GAZETI LA JAMBO LEO JUMAPILI.
 
"Analysis" ndo inafanyikaga hivi??, by the way unatishiiiiiiiiia na hako ka kura kako as if ni ka VETO. CCM mkitaka msishindwe vibaya (maana lazima mtashindwa) mwekeni EL.

- Lowassa atapewa Urais na Msindai? Guninita? Mgeja? kweli kaka unaaamini hawa watampa Urais mgombea wako?

Le Mutuz
 
Pasco usijaribu kutisha watu kana kwamba EL amekwishachaguliwa. EL anahitaji kila kura itakaomuwezesha kushinda uchaguzi wa ndani ya CCM na hata baada ya hapo.

Kwenye siasa hatuwatafuti tu wale wanaotupenda tunawashawishi wanaotuchukia ili wabadili msimamo wao waanze kutupenda kama Le Mutuz. Mtu kama wewe Pasco ambaye tayari upo kundini sio issue kwa sababu tuna uhakika wa kura yako. Wale wasiotupenda kwa sababu zozote zile ndiyo wanaotuumiza kichwa jinsi gani tutawashawishi wabadilike watupende. Katika vita silaha yoyote yaweza kukuokoa.Hata kura ya Le Mutus inahitajika. Kikubwa ni kujinadi jinsi gani EL anafaa kuliko wagombea wengine kwa sifa za uongozi sio kwa kutoa rushwa, sio kwa kuwafitini wengine. What are the potentials inside EL that we want to exploit and no how much money he can offer to mobilise the people so that they can vote him.
 
Last edited by a moderator:
Kabla hujaandika 'TITLE' ya thread, please think twice. Hii ndo "political-analysis"??
 
wewe na mdingi mnatumika tu,sophia simba kasema wote nyie mna makundi... lowassa ndio kiboko yenu ... mlipokuwa mnashadadia nyumba ya jirani wakati inafuka moshi mlikuwa mnasikia raha sana haya sasa ni zamu yenu ... huo mwaka 2015 Mungu akitupa uzima tutashuhudia mengi,wengine watahama nchi n.k .... kutapa tapa kwa mfa maji

- Kaka nimesema hivi wanaomuongelea hawana credibility kwenye Taifa, kama kweli anahitaji kutimiza ndoto yake ya Urais anatakiwa kutafuta Viongozi credible wanaokubalika na Taifa kama Rais wa sasa alivyofanya wakati anatafuta urais, wewe unasemaje on that?

Le Mutuz
 
Kabla hujaandika 'TITLE' ya thread, please think twice. Hii ndo "political-analysis"??

- Yaap nimewachambua wanaomuongelea kwamba sio credible na Taifa kwa sababu wote wameshindwa Mikoani, kwani kaka kwako Political Analysis ni nini kaka?

Le Mutuz
 
Pascousijaribu kutisha watu kana kwamba EL amekwishachaguliwa. EL anahitaji kila kura itakaomuwezesha kushinda uchaguzi wa ndani ya CCM na hata baada ya hapo.
Kwenye siasa hatuwatafuti tu wale wanaotupenda tunawashawishi wanaotuchukia ili wabadili msimamo wao waanze kutupenda kama Le Mutuz. Mtu kama wewe Pasco ambaye tayari upo kundini sio issue kwa sababu tuna uhakika wa kura yako. Wale wasiotupenda kwa sababu zozote zile ndiyo wanaotuumiza kichwa jinsi gani tutawashawishi wabadilike watupende. Katika vita silaha yoyote yaweza kukuokoa.Hata kura ya Le Mutus inahitajika. Kikubwa ni kujinadi jinsi gani EL anafaa kuliko wagombea wengine kwa sifa za uongozi sio kwa kutoa rushwa, sio kwa kuwafitini wengine. What are the potentials inside EL that we want to exploit and no how much money he can offer to mobilise the people so that they can vote him.

- Kumbe humu ndani kuna watu ambao hawajachanganywa na mapesa machafu, salute kaka!! Halafu unajua hii ndio jeuri yao inayowaponza sikuwahi kumsikia mpambe wa Rais wa sasa wakati wa kutafuta kwake Urais akiongea lugha kama hii, kaka nashukuru kwa kumpa darasa zito sana, I hope ameeelewa!!

Le Mutuz
 
Back
Top Bottom