My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

My Political Analysis:- The Ndoto Ya Lowassa & Its Syndrome!!

- Kaka nimekuambia mara nyingi kwamba Usalama wa Taifa wanamjua FMEs mpaka Mkuu wa huko anamjua so tuliza boli kaka mimi jina langu hapa JF ni William J. Malecela Mkareeezzzzz!!

Le Mutuz

Ndio usalama wa taifa wanakujua kuwa wewe ndio FMEs na wanakuchora tu, watu tuna post zako za FMEs ambazo zina signature ya Le Mutuz, au unakataa pia kuwa wewe ni Le Mutuz?, mbona utakataa Mengi mwaka huu.
 
- Kaka fungua thread ya Field Marshall ES hapa ninaongelea wasemaji wa Lowassa heshimu mada hii, anzisha ya FMES nenda weka usahidi wako wote huko hapa hayahusu mkuu sana!!

Le Mutuz
 
- Hayo ya Mzee na wengine mimi hayanihusu I am me nasema hivi kama kweli Lowassa anataka Urais aige mbinu za Rais wa sasa za kutumia Viongozi credible na jamii sio hao walioshindwa, Lowasaa anajua kwamba I am me mimi na yeye tumeshakaa chini mara nyingi sana kaka ninachomwambia hapa nilimwambia ile siku ya mazishi ya mtoto wa Mangula tuliongea naona hakunisikia namkubusha kuwa kama kweli anataka Urais atafute credible people sio hawa alionao sasa!!

Le Mutuz

ccm hakuna watu credible zaidi ya hao.
Je wewe ulivyokosa ubunge wa EA inamaaanisha umepoteza credibility ya kuwa msemaji wa jambo flani??
 
- Saafi sana siku hizi umeacha kutetea Chadema sasa unamtetea Lowassa, Mwalimu wa Chuo Kikuu majuu, saafi sana!! by the way kaka rudi nyumbani sisi tulisharudi tunasukuma gurudumu la maendeleo home si unajua home is home kaka!!

Le Mutuz

Hivi kulala kwenye masofa ya mama Anne Kilango ndio kusukuma gurudumu la maendeleo?!
 
- tofauti yao ni kwamba wanaompinga hawagombei Urais kama yeye!!, ila wanaomsemea so far hawana credibility,

Le Mutuz

Willy acha kujifanya huna akili! Tunatofautisha waliompinga na waliomuunga mkono. Makinda na Malecela walitoa kauli, zikajibiwa na hao uliowataja. Sasa Makonda na Malecela ni wagombea walioshindwa sawa na Msindai, Guninita nk... wanatofautianaje credibility hawa?
 
Hivi ni lini Lowasa ametangaza kugombea urais 2015? au ndio kifo cha CCM kimewadia? tatizo ninaloliona hapa ni sawa na wezi waliofanikiwa kuiba mali sasa kila mmoja hamuamini mwenzake kwa kuwa wote wanazijuwa mbinu walizotumia kufanikisha wizi wao. Hata hivyo naamini kuwa LOWASA hastahili kuwa Rais (rejea Azimio la Arusha). Kwa ujumla huu sasa ni wakati wa vyama vya upinzani kwa kuwa CCM imeshindwa kupambana na ufisadi kwa vitendo.
 
Huko CCM kweli kuna viroja...
wakati vilaza wanabweka wakidhani wanampiga vita,
wenye akili kidogo wanajua kuwa ndani ya CCM hakuna kama Lowassa!

lowassa-bodaboda.jpg

IMG_7298.jpg

lowasavijanaccm.jpg

wtcoj.jpg

8.jpg

lowassa-noma.jpg

Ni Chadema tu ndiyo stumbling block kwa Lowassa kuingia Ikulu!
​
Stumbling block Chadema wakati wapiga debe wa Lowassa ni kina Ndesamburo.

Lowassa ndiyo kiboko ya Chadema.

Bahati nzuri Lowassa kajaza mamluki ndani ya Chadema ni pigo kubwa kwa Dr.Slaa.

Nakuakikishia robo tatu ya Bavicha ni kambi ya Lowassa ili Mbowe na Dr.Slaa wanalitambua.
 
Mkuu kwani wewe mmoja unapiga kura mia! Mpaka uone kura yako n muhimu sana?

...anatishia nyau ili apate mgao wake, si unajua sitaki nataka,kwa kifupi katangaza dau la kura yake,chezeya wachumia tumbo weye....!!??
 
ccm hakuna watu credible zaidi ya hao.
Je wewe ulivyokosa ubunge wa EA inamaaanisha umepoteza credibility ya kuwa msemaji wa jambo flani??

- So una maana Chadema kwa sababu hawajawahi kushinda uchaguzi mkuu toka waanzishwe miaka 25 iliyopita hawana credibility ya kuongelea wananchi au what sijakuelewa kaka?

Le Mutuz
 
Hivi ni lini Lowasa ametangaza kugombea urais 2015? au ndio kifo cha CCM kimewadia? tatizo ninaloliona hapa ni sawa na wezi waliofanikiwa kuiba mali sasa kila mmoja hamuamini mwenzake kwa kuwa wote wanazijuwa mbinu walizotumia kufanikisha wizi wao. Hata hivyo naamini kuwa LOWASA hastahili kuwa Rais (rejea Azimio la Arusha). Kwa ujumla huu sasa ni wakati wa vyama vya upinzani kwa kuwa CCM imeshindwa kupambana na ufisadi kwa vitendo.

- Kaka rudia tena mada nimezungumzia ndoto yake aliyoisema Monduli kwenye sherehe za mwaka mpya, ambako walinibembeleza sana niende nikakataa alisema ana ndoto au hakusema?

Le Mutuz
 
- Saafi sana siku hizi umeacha kutetea Chadema sasa unamtetea Lowassa, Mwalimu wa Chuo Kikuu majuu, saafi sana!! by the way kaka rudi nyumbani sisi tulisharudi tunasukuma gurudumu la maendeleo home si unajua home is home kaka!!

Le Mutuz

Hivi kulala kwenye masofa ya mama Anne Kilango ndio kusukuma gurudumu la maendeleo?!

- Kwani Sheria ya jamhuri inasemaje kaka kuhusu wasukuma gurudumu la maendeleo ni lazima wawe wanalala kwenye vitanda majumbani mwao au hawaruhusiwi kulala kwenye masofa ya mama zao?

- Afu lets get back kwenye mada vipi unasema nini kuhusu wasemaji wa Lowassaa wasio na credibility as of my topic?

Le Mutuz
 
Willy acha kujifanya huna akili! Tunatofautisha waliompinga na waliomuunga mkono. Makinda na Malecela walitoa kauli, zikajibiwa na hao uliowataja. Sasa Makonda na Malecela ni wagombea walioshindwa sawa na Msindai, Guninita nk... wanatofautianaje credibility hawa?

- Mnatofautisha na nani kaka waliomsemea Lowasaa ndio ninaowaongelea hapa na walichomfanyia, matokeo yake Rais umemsikia majuzi alichosema Mbeya au hukumsikia akiwaunga mkono wote waliomshambulia Lowassa so far? Sasa what is your argument kaka mimi ninamkumbusha Lowassa kwamba the reason kuna backlash in the public ni kwa sababu kwanza ameongelewa na watu wasio na credibility,

- Kaka mbona unajaribu sana kunitoa kwenye hoja yangu, wanaomshambulia Lowassa hawagombei Urais mwenye tatizo hapa ni Lowassa maana mpaka Rais wa Jamhuri amewaunga mkono wanamshambulia, ungetumia akili kidogo tu ungeeelewa point yangu kuliko nguvu nyingi sana unazopoteza lakini una miss the point, ha! ha!

Le Mutuz
 
...anatishia nyau ili apate mgao wake, si unajua sitaki nataka,kwa kifupi katangaza dau la kura yake,chezeya wachumia tumbo weye....!!??

- Hapana kaka mimi sitishii nyau halafu ninaishia kupokea hela kwa Mkono na Rostam, hapana sio mimi unamjua aliyefanya hivyo au?

Le Mutuz
 
Mnajisumbua tu hakuna cha lowasa wala slaa rais ajae ni kijana na mh j kikwete ana baliki sana vijana kwa january makamba ni chaguo jipya ndani ya chama
 
- so kwenu watu wakicheka ni mabwabwa right? ha! ha! ha! So na wewe ukicheka ina maana ni bwabwa au?

Le Mutuz

ukiona mtoto wa kiume kila dk anacheka cheka hvyooo,itaa wazee wa mtaani kwako wamkalishe wamkague manake sehem ile yenye tundu ndogo itakuwa inatumika mara mbili,kwa matumiz ya kawaida na yale matumiz mengine haramu,sasa tayar nina waswas naww,
 
Back
Top Bottom