my new signature......

Ngoja ntautafuta niusikilize....
Enhe sasa partner ile dinner mpaka nilete mchele au inakuaje?!

Inatakiwa uje kama ulivyo (ila nguo vaa...lol) hakikisha umetupia kitu cha mvuto; by the way post yako ya wale warembo nilipenda sana ile ya kijivu, ukivaa ile unaonekana hujapania ni kawaida yako... Ni weekend ijayo tu hapa..
 
Asprin naomba nijibu mwenyewe CPU atatohoa... Maana yake wewe ndo mwanaume wa kweli (mana ni muelewa....)

Ahaa...hebu nisaidie kuweka kwa kiinglish hii sentensi.... Ahsante sana Asha D limited and company for zis yuziful maujiko for ze babu and tu teli yuu ze truth babu'z mbichwa is vuuuu fo zis ujiko kampani limited.
 
Wanaonipenda kweli wameni PM na kunipasha... wee uki PM unaishia kuongea shida zako tu...

Offcoz yapaswa nikueleze shida zangu kwamba NAHITAJI UPENDO WAKO kama mwanzo
mi sijui mipasho
 
CPU anaeharibu niwewe.... yaani wewe uelewa huna kabisa hata uambiwe nini... Asprin shem wangu mzuri mara moja tu kaelewa na katii, now thats the man....lol

Kukosa kwangu uelewa chanzo ni wewe
Nitaelewa vipi wakati hunijali, hunipendi, hunilishi, . . .?
 
Hii crap inaitwa Sipiyuu hebu ikuje inisomee kwa sauti hizo bold hapo.........halafu initafsirie kinyerere pia.............

Mi nimesahau mawani yangu.

Hii crap Babu inamzingua Bibi balaa
Muulize, kasema leo mwisho wa dunia atakuja pale ZERO PUB
 
Ahaa...hebu nisaidie kuweka kwa kiinglish hii sentensi.... Ahsante sana Asha D limited and company for zis yuziful maujiko for ze babu and tu teli yuu ze truth babu'z mbichwa is vuuuu fo zis ujiko kampani limited.

Asprin kiinglish sifahamu choote but kikubwa hapo sababu huo ujumbe ulikua wangu na nimeelewa nafikiri inatosha pamoja na hiyo THANK YOU niliyobofya....lol
 
Asprin kiinglish sifahamu choote but kikubwa hapo sababu huo ujumbe ulikua wangu na nimeelewa nafikiri inatosha pamoja na hiyo THANK YOU niliyobofya....lol

Umesomeka kama hapa:

Emancipate yourselves from mental slavery,
None but ourselves can free our minds - Bob Marley
 
Offcoz yapaswa nikueleze shida zangu kwamba NAHITAJI UPENDO WAKO kama mwanzo
mi sijui mipasho

Kukosa kwangu uelewa chanzo ni wewe
Nitaelewa vipi wakati hunijali, hunipendi, hunilishi, . . .?

Hii crap Babu inamzingua Bibi balaa
Muulize, kasema leo mwisho wa dunia atakuja pale ZERO PUB

Partner wapi wewe :help::help::help: Grandie wako Asprin kaahidi kukusaidia.... pleeease
 
Inatakiwa uje kama ulivyo (ila nguo vaa...lol) hakikisha umetupia kitu cha mvuto; by the way post yako ya wale warembo nilipenda sana ile ya kijivu, ukivaa ile unaonekana hujapania ni kawaida yako... Ni weekend ijayo tu hapa..

Hhaahaha...ntazingatia hapo kwenye mabano nisije nikageuka kituko cha siku!!Yeahhh kale kazuri kweli...haionyesha kama unajitahidi sana kupendeza ila mwisho wa siku unatoka haswa!
 
Ukikwama, you know where to find your grandie, don't you?

Yes babu....
naomba uanze rasmi kumkemea huyo Sipiyu asimsogelee partner wangu maana kachoka kunichezea mimi sasa anataka mjukuu mwingine!!
 
Partner wapi wewe :help::help::help: Grandie wako Asprin kaahidi kukusaidia.... pleeease

Tatizo lizzy mwenyewe naona tayari kama kashadondoka...hii crap Sipiyuu ina maneno yake ikiyatamkaga hawa wajukuu wanajipeleka wenyewe.....Dawa ni babu kumbwenga makwenzi kabla hajayatamka.

Babu anawaageni jamani, anaenda kulipa kodi kaunta.
Muwe na wikiendi njema
Msiendeshe mkiwa mmelewa,
Chezeni kwa usalama,
Salini sana
Msitumie baiolojia zenu vibaya (ukimwi hauna tiba bado)
Msiwacheat wapenzi wenu.....

Wote semeni AHSANTE BABU, KWAHERI BABU (mkiwa mmesimama tafazali, azawaiz mnajitafutia laana)

Babu anarudi kum-bed!
 
Partner wapi wewe :help::help::help: Grandie wako Asprin kaahidi kukusaidia.... pleeease

SIPIYU embu acha uswahili bwana....hujui kwamba kwa partner wangu NO means NO??!Unamboa ujue...yani hata ushemeji hataki tena!!
 
Kinamama someni signature yangu mpya hapo chini,je mnakubaliana nayo?

...Wakubaliane nayo au wasikubaliane nayo wewe chapa mwendo kaka!
Mimi nakuunga mkono 100% kwenye hili...
MARRIAGE IS TO BE ENJOYED AND NOT TO BE TOLERATED!!!!!!!!

...maisha yenyewe mafupi haya, yanini kujinyima raha bure?!
 
Hhaahaha...ntazingatia hapo kwenye mabano nisije nikageuka kituko cha siku!!Yeahhh kale kazuri kweli...haionyesha kama unajitahidi sana kupendeza ila mwisho wa siku unatoka haswa!

me like.... nitakusubiri kwa hamu dear...
 
MARRIAGE IS TO BE ENJOYED AND NOT TO BE TOLERATED!!!!!!!!
Bishanga anything that is to be enjoyed is worth being tolerated....

LOL! ...hapo utakuwa unaingiza conditions wakati -love is unconditional-... Yataka moyo!
 
Back
Top Bottom