my new signature......

Is marriage only for Mamas?. But in English we say married to.................which is opposite to Swahili whereby we say ameolewa au ameoa!!!
 
and I quote "MARRIAGE IS TO BE ENJOYED AND NOT TO BE TOLERATED!!!!!!!!
and I ask " ONLY FOR THE BETTER" how for "the worse?" ASHA D.


Wilbald everything kuna its better side and worse side... Unapojiingiza katika kitu chochote hata ukanunua kitu chochote ina maana umekubali mabaya na mazuri yake.... Marriage has to be tolerated even for the worse - but there are lines once crossed hata toleration hapa haina maana for you may die physically as well as psychologically....
 
Huyu Bishanga kakosa kazi leo.
Sijui mke wake ameenda likizo kwao rufiji???



Mimi naona kuna issue itakua imetokea kwake anataka ajue atoletate au assepe.... ngoja tuone where we are going....
 
MARRIAGE IS TO BE ENJOYED AND NOT TO BE TOLERATED!!!!!!!!
Bishanga anything that is to be enjoyed is worth being tolerated....
Kwa hiyo mmeo akiwa mlevi,akirudi anakudunda,hela ya kula hatoi,matusi kibao,lakini so long as unajua kwamba yeye kwenye 6x6 ni mahiri sana na una enjoy mpaka nywele zinasimama kwa hiyo uta tolerate upuuzi wake eti kwa kuwa una 'enjoy' majamboooz? maana hapa tunaongelea 'anything'
 
Leo saa moja jioni ni mwisho wa Dunia
So akina mama wataonyesha UPENDO wa KI-MALAIKA.
Hawatakuchukia kabisa



Hio ni kwa akina mama walo amini..... Tusio amini fedha zetu bado ziko bank, production inaendelea.... na attitude pale pale... thubutu tu umekwisha - but upande wa Bishanga... mmmmh kama nilivyosema ngoja nione where it is heading to....
 
Kwa hiyo mmeo akiwa mlevi,akirudi anakudunda,hela ya kula hatoi,matusi kibao,lakini so long as unajua kwamba yeye kwenye 6x6 ni mahiri sana na una enjoy mpaka nywele zinasimama kwa hiyo uta tolerate upuuzi wake eti kwa kuwa una 'enjoy' majamboooz? maana hapa tunaongelea 'anything'


lol... lol... lol... I love it Bishanga.... Huo mtazamo sijui umewaza nini.. punguza hasira kaka...lol

Enways ngoja ni copy na ku-paste nilivyomjibu Wilbald;

... everything kuna its better side and worse side... Unapojiingiza katika kitu chochote hata ukanunua kitu chochote ina maana umekubali mabaya na mazuri yake.... Marriage has to be tolerated even for the worse - but there are lines once crossed hata toleration hapa haina maana for you may die physically as well as psychologically....

 
Back
Top Bottom