My mother is dying of Cancer

My mother is dying of Cancer

Status
Not open for further replies.
Paula Paul, Kuna Zoologist mmoja ambaye alianzia udaktari wa kawaida baadae akajiendeleza zaidi upande wa Zoology hadi kufikia level ya PhD. Ana kliniki yake Kibaha. Jamaa yupo vzr saana kwenye mambo ya tiba mbadala hasa ya magonjwa makubwa makubwa kama kansa. Alishamtibu mtu flani ambaye alikuwa na kansa ya Koo. Huyo mgonjwa alifikia hatua mbaya kweli ya kutokula kutokana na maumivu ya Koo. Alienda kwa huyo zoologist na kupata dawa. Huyo mgonjwa alipata tiba na afya yake imerejea , na kwa Sasa anakula Chakula chochote hadi ugali. Kwa kweli Sina uhakika Kama kansa imetoweka kwa 100% , Ila ninachokiona jamaa amepata improvement kubwa na anafanya mishemishe zake Kama kawaida.

Paula, kama utavutiwa na huyo zoologist nistue ili nikutafutie namba zake kutoka kwa yule jamaa. Pengine anaweza pata nafuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini mpaka avutiwe, we mpe number hayo mengine ayafanya mwenyewe akipenda, hata asipopenda na kuitumia hutokuwa umeingia hasara yoyote.
 
Wazungu hawatamtafuta kwa uvumbuzi ,bali watampoteza kwa kuwaharibia biashara yao.
Mtafute Dr Sebi na machapisho yake.
Cancer inatibika na kuzuilika kwa vyakula tu
View attachment 1294623View attachment 1294624View attachment 1294625
RIP Dr .Sebi Wamarekani Wamesha muuwa Siku nyingi tangu mwaka 2016. Nipo mimi Mwanafunzi wake ninaweza kumtibia na akapona maradhi yake ya Cancer. Na hizo picha zote ulizo weka haziwezi kutibu maradhi ya Cancer kwani asili yake hivyo vyakula ni Acidi aka Tindikali na Cancer inapenda vyakula vya Acidi aka Tindikali huwezi kumtibia mtu maradhi ya Cancer kwa kutumia hivyo vyakula vya asidi utazidi kumzidishia maradhi yake. Kuna vyakula vya Alkaline aka alkali na mimea ya kupambana na maradhi ya Cancer ndio vinavyoweza kumtibu maradhi yake ya Cancer huyo mgonjwa sio vyakula vya acidi.
 
Barikiwa sana kwa hili Neno Mkuu Ushimen, huu mstari huwa ni faraja yangu kila nikijiskia siwezi ama kukata tamaa, huwa unanijia ya kuwa alisema atakuwa pamoja nami na hatoniacha, kisha ninaskia kupata nguvu mpya ya kuendelea ndani yangu.!!
Kwa maana nayaweza yote katika yeye anitiaye nguvu....
 
Pole sana ndugu Paula Paul

Kansa ni mbaya sana hasa ikishafika stage 4. Kabla ya stage 4 au mwanzoni mwa stage 4 inaweza kutibika, ila ikishafika kiwango fulani husababisha mwili kupata maumivu na kuvimba sehemu mbalimbali za mwili kiholela holela tu, na hapo ndipo tiba inaposhindikana kabisa.

Ndugu zangu wawili na rafiki yangu mmoja walipitia njia hiyo na kwa kweli kweli ilituumiza sana watu wa karibu tulipokuwa tunajua kuwa tunaongea na mfu.

Kuna waganga matapeli hupenda kuwachuna wagonjwa wa namna hiyo kwa kuwaahidi tiba na kudai fedha nyingi sana ila tiba hizo huwa siyo effective kabisa. Kwa mfano wengi wao hutoa dawa zenye concetration kubwa sana ya vitamin C ambazo husaidia tusses za mwili zinazokuwa zinaathririwa zijijenge tena na hiyo husaidia kwa kipindi kama miezi mitano au sita tu lakini mwishowe mwili wote hushindwa.

Namuombea mama yako amani, na wewe ukiweza ongea naye kwa karibu sana akuambie lolote lililoko moyooni mwake kabla hajaingia kwenye usingizi wake wa milele
.
 
Let me share this,
My mother died a decade ago, when she was only 49 and I was in form two. She was first diagnosed with breast cancer when I was 6, but, for the most part, she made a full recovery. But after 10 years she started feeling sick and was soon diagnosed with stage 4 liver cancer. For a year and a half, she endured painful treatment of chemotherapy, i still remember during one of those treatment sessions at Ocean Road she told me it would take five years to her for full recovery again. But two months later her healthy condition get worse, her stomach started to swelling, difficult breathing and rupture of the scar of her previous case (breast cancer) that caused deadly painful and only 3mls of Morphin was used as pain killer for her deadly painful.

RIP Mama
Chief Wingia, it really hurt, I am sorry for your loss. May your mother rest in peace.
 
Maji ya mananasi ya moto
tafadhali usambaze !! tafadhali usambaze !!
Profesa Chen Huiren wa Hospitali kuu ya Jeshi la Beijing alisisitiza kwamba ikiwa kila mtu atakayepokea taarifa hii anaweza kubeba nakala kumi kwa wengine ', hakika maisha angalau moja yataokolewa ...
Nimefanya jukumu langu lingine, ni matumaini kuwa unaweza kuifanya pia ..
Asante!
Maji ya mananasi ya moto yanaweza kukuokoa maisha
Mananasi ya moto ~ inaweza kuua seli za saratani.
Kata vipande 2 hadi 3 vya nyembamba ya mananasi kwenye kikombe, ongeza maji ya moto, itakuwa "maji ya alkali", kunywa kila siku, ni nzuri kwa mtu yeyote.
Mananasi ya moto huondoa vitu vyenye saratani, ambayo ni maendeleo ya hivi karibuni katika matibabu ya saratani katika dawa.
Matunda ya mananasi ya moto yana athari ya kuua cysts na tumors. Imedhibitishwa kurekebisha aina zote za saratani.
Maji ya mananasi moto huweza kuua viini vyote na sumu kutoka kwa mwili kwa sababu ya tahadhari / mzio
Aina ya dawa iliyo na dondoo ya mananasi huharibu * seli za vurugu *, haiathiri seli zenye afya.
Kwa kuongezea, asidi za amino na polyphenols za mananasi kwenye juisi ya mananasi zinaweza kudhibiti shinikizo la damu, kwa ufanisi kuzuia kuziba kwa mishipa ya ndani ya damu, kurekebisha mzunguko wa damu na kupunguza damu.
Baada ya kusoma, waambie wengine, familia, marafiki, Jali afya yako mwenyewe ..USIMKATIE TAMAA MUNGU NDIE MTOAJI , JARIBU HII TIBA HUENDA INAWEZA KUTOA MATOKEO, INSHAAALHA.
 
Paula Paul pole na hongera!
Nasema hongera, usistuke kauli hii sio ukatili au dhihaka.
Unastahili hongera sababu sasa umevuka mtihani mmoja mkubwa sana, umesha malizana nao huo mtihani na umepita salama haukuondoka na wewe.
Kufiwa mzazi, mtoto, mume, mke, kaka, dada ni tukio lenye maumivu makubwa sana.
Wapo ambao nao wanapoteza maisha sababu ya kukumbana na hali ya majonzi yaliyo pitiliza.

The good thing is you won't lose your mother again. You only experience that pain once in your life time because there is only one biological mother. That alone is enough to give you all the strength to carry on with your life and value the most precious little time you spent together with your mother in this world.

God bless you.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom