Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,174
Tunawaambia humu tiba ya Hospitali kwacancer hakuna, tiba ni ya kiasili tu yaan mimea.Hii ya hospitali ni biashara .Pole mkuu. Ila kuna watu wana cancer wamekataa chemotherapy na wameamua kutumia tiba mbadala wako vizuri zaidi. Huu ugonjwa tiba yake tuu ni ugonjwa mwingine mkubwa
Afrika mashariki yote kweli hakuna mafenesi au mboga za majani?
Waswahili tumekua wabishi sana. watu wanatoa ushauri humu tusome vitabu,tutumie internet kutafuta vitu.