My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

ndio mana wamama wanatakiwa wajitahidi kujipatia vijibanda kwa ajili ya mambo ka haya, haipendezi kikitokea cha kutokea urudi nyumbani.
umeona eeh!?!

na mi nakwambia kabisa usijidanganye urudi kwa wazazi!

mimi waif angu hm kwao ni hapa hapa dar......!yani nakwambia akienda kuwachek wazazi anakaa nusu saa tu WANAMTIMUA.....''rudi kwa mumeo huko,unatutafutia kesi bure sisi.hatutaki kukaa na wake za watu''

sasa mimi naona kama ni kitu ambacho kinamtrain bi-mama KUYAKABILI MATATIZO YAKE MWENYEWE!ukiingia kwenye ndoa JUST FACE CHALLANGES BASI!usiwe mtu wa kulia lia
 
Nyamayao jibu la swali lako hili hapa

Nimejaribu sana kukaa nae chini kuongea Since he doesnt discuss issues wit me as they arise, it gets to a pt whr he explodes, & that normally results in him beating me, squeezing my neck, bruises evywhr. hhhmmmmmmmm, i pray God gives me the strenght to hang on here all the way ..

...FL1,kwanza huyo dada aache kusema eti little rows,...hakuna kitu kama hicho.
Huyo mume inaonekana dhahiri anachukizwa na tabia za mkewe kumu 'underestimate' au sijui kuna wengine wangeita 'belittle'
No wonder anajitahidi kujitutumua, huenda alianza kuchelewa kurudiu,...akaongeza kulal nje,...na sasa analala siku tano (mnh!?)
Ongea nae huyo shoga yako, anachangia kumlazimisha jamaa alale nje...

...haha ha, kwema tu---- unasema jamaa analala nje, kwani huwa kunalalika hata huko nje basi? ha ha ha,...

...DC, huyo mdada anatafuta sympathetical votes hapa, ...hebu kipengele cha maisha hatarini tukiweke kando kwanza,
bado hajatishiwa maisha, ni maneno ya FL1 tu bana, LOL

mkuu,
katika jamii za kiafrika....MWANAMKE ALIYEOLEWA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE HAWEZI KUIKIMBIA NYUMBA YAKE NA KWENDA KWA WAZAZI WAKE NA AKAPOKELEWA TU!mi sijawahi ona hiyo........!yani the moment anafika anaulizwa kilichohappen na anarudishwa the very moment na kama ni usuluhishi utafanywa huko huko!HII HAITAMWANGALIA DADAANGU,MAMAANGU,MWANANGU,AU NANI!wanawake walioolewa watanisaidia hapa

Wakuu Mbu na Baba G,

Mmesoma hiyo post ya FL1? Bado mna msimamo wenu wa kusubiri kumsikiliza mwanamume?

Baba G, dadako/mtoto wako akiwa hivyo bado utamfukuza arudi kwa mume?

Kama ndiyo basi nileteeni hao watoto niwalee kama yatima!
 
kaka jamaa kamwaga ugali..acha tu bibi amwage mboga

hehehhe heh...ndio maana ndoa za kileo zimegeuka ndoana..!
ati? naye ajilipue?...jamaa si ndio atakuwa kajipatia sababu kabisaaa?
haya!
 
umeona eeh!?!

na mi nakwambia kabisa usijidanganye urudi kwa wazazi!

mimi waif angu hm kwao ni hapa hapa dar......!yani nakwambia akienda kuwachek wazazi anakaa nusu saa tu WANAMTIMUA.....''rudi kwa mumeo huko,unatutafutia kesi bure sisi.hatutaki kukaa na wake za watu''

Hebu acha uzushi na wewe? Hahhhhhh...Kwa vile umeshikilia upande wa mume hata vitu vya msingi huoni?

Na hao wazazi wanamfukuza binti yao kwa sababu gani? Mhhh....labda mimi ndo siewelewi. Kwani binti akiozwa ni sawa na kuuzwa?
 
Duh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please
 
hehehhe heh...ndio maana ndoa za kileo zimegeuka ndoana..!
ati? naye ajilipue?...jamaa si ndio atakuwa kajipatia sababu kabisaaa?
haya!
hahahaaa... mkuu, hali ikzidi kuwa mbaya kuna dawa mbili tu... kushikamana au kutengamana

that was just one of the two options
 
Duh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please
MJ1... we need you here, you are the guru of love, your artistical approach to tough stuff is highly regarded and i wouldn't trade that with even a single minute ban
 
Originally Posted by FirstLady1
Nyamayao jibu la swali lako hili hapa

Nimejaribu sana kukaa nae chini kuongea Since he doesnt discuss issues wit me as they arise,
it gets to a pt whr he explodes, & that normally results in him beating me, squeezing my neck, bruises evywhr. hhhmmmmmmmm, i pray God gives me the strenght to hang on here all the way ..

well,
sasa kama ANAMPIGA hilo ni swala jingine kabisaaaaaaaaaaaa!

MSIMAMO WANGU UPO INTACT!kwa maana ya kwamba kuna ''kitu''
 
Wakuu Mbu na Baba G,

Mmesoma hiyo post ya FL1? Bado mna msimamo wenu wa kusubiri kumsikiliza mwanamume?

Baba G, dadako/mtoto wako akiwa hivyo bado utamfukuza arudi kwa mume?

Kama ndiyo basi nileteeni hao watoto niwalee kama yatima!

...Pheeww, nimekusoma bro,
nimekusoma na hiyo quote ya FL1 kuwa jamaa aki explode na ku squeeze shingo ya mkewe, eeehhh!?
Jamaa ataua.
Hiyo ndoa yao imeingiliwa na 'fitna' kubwa sana,...kwa salama yao wote wawili inabidi watenganishwe tu.
Mumewe hawezi ku control temper yake, na mke anajidanganya labda mume atabadilika.
Kwani mume anahusu ile mikoa ya kule wenye asili za kijeshi jeshi na rigwaride mpaka kwenye maisha ya unyumba nini? Asili, mila na desturi ngumu kuachika... anahitaji counselling ya nguvu huyu braza.
 
Duh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please

Wala usipate pressure...dunia iko hivyo. Wengine wako mochuari, wengine labour na wengine wanafunga ndoa au ku-party muda huo huo.
 
Niliona dada mmoja kila siku alikuwa anapewa mkong'oto na mmewe siku moja akatwangwa mpaka akazimia ..alipokuja kuzinduka na kupata nguvu akarudi kwa wazazi ile kufika anawapa sababu kwa nini yuko pale wakamwambia arudi kwa mmewe wataenda kuongea kama familia ..
ile amerudi kwa mmewe akakaa siku mbili mme akampa kipigo tena..
mama wa watu akaona isiwe tabu na alikuwa ni visenti vyake akatokomea kusikoeleweka na watoto wake wawili mme akahaha bila mafanikio miaka nenda miaka rudi ..kumbe mwana mama baada ya kuondoka alienda kwa shost wake mkoa wa mbali akamweleza yote.shost akampa mtaji mdogo miaka ile mdada akaanza kutinga kwa juhudi na maarifa mpaka akatoka akawa anafata pamba nje ya nchi mwisho wa siku kaolewa huko na watoto anasomesha jamaa nae alishaoa :smile-big:
 
Duh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please
hehehehe!
MWANAJAMII banned!
reason:ni hizo ''emotional threads za festilediwani''
duration:3 days
 
umeona eeh!?!

na mi nakwambia kabisa usijidanganye urudi kwa wazazi!

mimi waif angu hm kwao ni hapa hapa dar......!yani nakwambia akienda kuwachek wazazi anakaa nusu saa tu WANAMTIMUA.....''rudi kwa mumeo huko,unatutafutia kesi bure sisi.hatutaki kukaa na wake za watu''

sasa mimi naona kama ni kitu ambacho kinamtrain bi-mama KUYAKABILI MATATIZO YAKE MWENYEWE!ukiingia kwenye ndoa JUST FACE CHALLANGES BASI!usiwe mtu wa kulia lia

Baba Gift umewapiga mkwara wakwe zako nini? mpaka wanamfukuza binti yao? kwani ukiwa mke wa mtu ndo huendi kwenu kusalimia?
 
Originally Posted by FirstLady1
Nyamayao jibu la swali lako hili hapa

Nimejaribu sana kukaa nae chini kuongea Since he doesnt discuss issues wit me as they arise,
it gets to a pt whr he explodes, & that normally results in him beating me, squeezing my neck, bruises evywhr. hhhmmmmmmmm, i pray God gives me the strenght to hang on here all the way ..

well,
sasa kama ANAMPIGA hilo ni swala jingine kabisaaaaaaaaaaaa!

MSIMAMO WANGU UPO INTACT!kwa maana ya kwamba kuna ''kitu''

Msimamo wako uko pale pale kwama mwanamume endelee kumdunda mkewe kama ngoma au??

...Pheeww, nimekusoma bro,
nimekusoma na hiyo quote ya FL1 kuwa jamaa aki explode na ku squeeze shingo ya mkewe, eeehhh!?
Jamaa ataua.
Hiyo ndoa yao imeingiliwa na 'fitna' kubwa sana,...kwa salama yao wote wawili inabidi watenganishwe tu.
Mumewe hawezi ku control temper yake, na mke anajidanganya labda mume atabadilika.
Kwani mume anahusu ile mikoa ya kule wenye asili za kijeshi jeshi na rigwaride mpaka kwenye maisha ya unyumba nini? Asili, mila na desturi ngumu kuachika... anahitaji counselling ya nguvu huyu braza.

Afadhali wewe sasa umeona tunaliongelea!!
 
Duh.........hivi mada za siku hizi kwangu ziko too emotional jamani ...........Mod ninaomba BAN ya angalau siku 3 please

...MwanajamiiOne Dont!!!,
"ukiona kwako kunaungua,....!"
huenda huyu mke anahitaji lile somo lako la khanga za india na 'Kama Sutra' za Nyamayao...
FL1 afikishe ujumbe tafadhali, print pages za ile mada ya 'Body Language' ...
 
Wala usipate pressure...dunia iko hivyo. Wengine wako mochuari, wengine labour na wengine wanafunga ndoa au ku-party muda huo huo.

...aaaa kabisaaaaa!!! na wengine wanamgombania huyo huyo 'bwana masumbwi!'
 
yaani jamani ndoa haijavunjwa hata bikira vizuri waanze kupeleka matatizo kwa wazazi? amkomalie kwanza mwenyewe wazazi ni baada ya kuona hakuna mabadiliko.

Atamkomalia vipi sasa wakati jamaa hataki hata majadiliano?
 
...MwanajamiiOne Dont!!!,
"ukiona kwako kunaungua,....!"
huenda huyu mke anahitaji lile somo lako la khanga za india na 'Kama Sutra' za Nyamayao...
FL1 afikishe ujumbe tafadhali, print pages za ile mada ya 'Body Language' ...

Inaweza kusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom