My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

My Husband Is Acting Funny ..msaada pls

Hapa naona tunakaribia kumwita Prof Safari na utaalamu wake wa natural justice.

Mimi sipingi hilo kwa sasa kuna dada hadi tunapoongea anaweza kuwa macho yamemtoka kwa kukabwa kama kibaka. Sasa tusitoe ushauri hadi huyo kaka amalize kuwa kichapo au? Na kaka mwenyewe hataki kuongea..Ni dizainii za Idd Amin (may be).

Kwa nini huyo dada asiondoke kwanza halafu ndo labda huyo kijana atakubali kufunua huo mdomo wake ambao kwa sasa unafunguka tu kwa siku 5 anazokuwa likizo?

...la la la! asithubutu kuondoka/kumkomoa, ...kosa litamrudia.
Ndio maana nasema ushauri uzingatie pande zote husika.
Kwani huyu dada hana mzee wa busara kumshtakia ambaye ni wa karibu na mume?
Haiwezekani, Unless walioana tu kivyao vyao bila baraka za wazazi.
 
IMEBAKIA KUSIKIA YULE DADA MMEWE ALISHAMCHARANGA INGAWA HATUOMBEI WANAOSEMA TUVUNJE UKIMYA KWA MAONGEZI HAWAKUKOSEA ILA JAMAA KAMA HALITAKIA KUTOA USHIRIKIANO INAKUWAJE BABA GIFT?
ndo maana nasema katika ''family-level'' lazima utakuwa na TIPS fulani kuhusu hiyo ndoa....yaani haiwezekani kwamba jamaa hajawahi hata kumwambia mtu yoyote kuhusu mikikimikiki anayoifesi kwenye ndoa ake.......!

UDHAIFU MKUBWA WA HUYO BWANA:ni hiyo hali ya kukaa kimya....ni kama KUZILA hivi.hiyo hali wanaume huwa tunaexpect kuikabili kwa wake zetu.i mean huwezi ukawa mwanaume halafu UNASUSA/UNAKAA KIMYA TENA UNAMNUNIA MKEO!.....vyovyote inavyoweza kuwa amekosa yeye au huyo bi dada MWANAUME RIJALI anapaswa kutafuta namna ya kuliongelea jambo ndani ya ndoa UNAJUA KUSUSA/KUNUNA ni matokeo ya mtu KUTOJIAMINI

KUNA RECORDS ZIMETHIBITIKA KWAMBA WANAUME WENGI WANAOSUSA SUSA HASA WAKIGOMBANA NA WAKEZO HUWA WANAISHIA KUCHUKULIWA WAKE ZAO NA MA-LOVERBOY
 
Jamaa hataki kuongea Mbu huyu dada afanye nini?
Kama mie ningerudi kwetu mpaka hapo atakapojisikia kuongea utakaaje na mtu ndani hakusemeshi je akikuvizia akakuchinja ?
fl1

ALichosema Mbu ni sahihi.. inawezekana kabisa jamaa haongei kutoka na approach au akija hapa anweza kuleta habari wote tukazimia kwa mshtuko... but either way, kukaa nje ya nyumba hata kwa usku mmoja bila taarifa ni kitu ambacho si kizuri
 
Jamaa hataki kuongea Mbu huyu dada afanye nini?
Kama mie ningerudi kwetu mpaka hapo atakapojisikia kuongea utakaaje na mtu ndani hakusemeshi je akikuvizia akakuchinja ?

FL1, kuna vitu unaweza kukaa ukajadili na kujiuliza mara mia mia lakini siyo pale ambapo maisha yako yanakuwa hatarini. Ndo maana namshangaa huyo dada anasubiri nini hadi sasa?
 
...la la la! asithubutu kuondoka/kumkomoa, ...kosa litamrudia.
Ndio maana nasema ushauri uzingatie pande zote husika.
Kwani huyu dada hana mzee wa busara kumshtakia ambaye ni wa karibu na mume?
Haiwezekani, Unless walioana tu kivyao vyao bila baraka za wazazi.

kaka jamaa kamwaga ugali..acha tu bibi amwage mboga
 
Hapa naona tunakaribia kumwita Prof Safari na utaalamu wake wa natural justice.

Mimi sipingi hilo kwa sasa kuna dada hadi tunapoongea anaweza kuwa macho yamemtoka kwa kukabwa kama kibaka. Sasa tusitoe ushauri hadi huyo kaka amalize kuwa kichapo au? Na kaka mwenyewe hataki kuongea..Ni dizainii za Idd Amin (may be).

Kwa nini huyo dada asiondoke kwanza halafu ndo labda huyo kijana atakubali kufunua huo mdomo wake ambao kwa sasa unafunguka tu kwa siku 5 anazokuwa likizo?
Sasa hiyo ni AUTOMATIC DISMISSAL!yani akiondoka ndo amejiproov guilt sasa!hata hivyo ninachokiamini mimi HUYO AKIONDOKA HAWEZI KWENDA KWA WAZAZI WAKE,LAZIMA WATAMKIMBIZA HARAKA SANA ARUDI KWA MUMEWE!

probably ataenda kwa ''huyo hawara'' anaesababisha jamaa aikimbie tarbenakle
 
Ndoa zetu zinachosha mpaka zinaogopesha miezi sita mtu unageuka mnyama ndani ya nyumba ? hata kama kuna jambo mke kamfanyia mme kwa nini asisime nini maana ya mwanaume ndani ya nyumba?
Kaanza visa tu ili mwanamama aende apate kuendelea na mambo yake :bowl:
 
...la la la! asithubutu kuondoka/kumkomoa, ...kosa litamrudia.
Ndio maana nasema ushauri uzingatie pande zote husika.
Kwani huyu dada hana mzee wa busara kumshtakia ambaye ni wa karibu na mume?
Haiwezekani, Unless walioana tu kivyao vyao bila baraka za wazazi.

Kwa hiyo huyo dada aendelee kukaa na muemewe na kukimbiwa >5day (bila kujua yuko wapi) + kipigo cha mbwa mwizi? Kama angekuwa binti yako bado ungekuwa na msimamo huo?
 
Sasa hiyo ni AUTOMATIC DISMISSAL!yani akiondoka ndo amejiproov guilt sasa!hata hivyo ninachokiamini mimi HUYO AKIONDOKA HAWEZI KWENDA KWA WAZAZI WAKE,LAZIMA WATAMKIMBIZA HARAKA SANA ARUDI KWA MUMEWE!

probably ataenda kwa ''huyo hawara'' anaesababisha jamaa aikimbie tarbenakle

Hivi wakati unaandika haya picha ya dada zako, mama wadog na mwisho mtoto wako wa kumzaa inakujia kichwani? Au kwa vile tunamwongelea kama dada tu yuko huko anaonja joto la jiwe?
 
FL1, kuna vitu unaweza kukaa ukajadili na kujiuliza mara mia mia lakini siyo pale ambapo maisha yako yanakuwa hatarini. Ndo maana namshangaa huyo dada anasubiri nini hadi sasa?
Thanks DC...

unajua hapa tunaangalia ile dhana ya mahusiano, lakini hatujaangalia athari ya mahusiano mabaya kama haya ya huyo bidada... kuna vitu vitatu vikubwa kuangalia

  1. accident to any may hold a partner liable kwenye jamii na hata mbele ya Mungu
  2. The man staying outside the house for 5 days is almost confirming that the guys is infidelitizing highly... siamini kama unalala na mwanamke for 5 days uendelee kuvaa kinga kwa miezi kadhaa... hapa kuna kaugonjwa kananyemelea
  3. nafasi ya mwanamke kwenye ndoa... with all these abuse, why wont she have freedom and right to seek happiness elsewhere?
Nawakilisha tena
 
Jamaa hataki kuongea Mbu huyu dada afanye nini?
Kama mie ningerudi kwetu mpaka hapo atakapojisikia kuongea utakaaje na mtu ndani hakusemeshi je akikuvizia akakuchinja ?

...FL1,kwanza huyo dada aache kusema eti little rows,...hakuna kitu kama hicho.
Huyo mume inaonekana dhahiri anachukizwa na tabia za mkewe kumu 'underestimate' au sijui kuna wengine wangeita 'belittle'
No wonder anajitahidi kujitutumua, huenda alianza kuchelewa kurudiu,...akaongeza kulal nje,...na sasa analala siku tano (mnh!?)
Ongea nae huyo shoga yako, anachangia kumlazimisha jamaa alale nje...

ha ha ha ha habari yako banaaaaaa

...haha ha, kwema tu---- unasema jamaa analala nje, kwani huwa kunalalika hata huko nje basi? ha ha ha,...

FL1, kuna vitu unaweza kukaa ukajadili na kujiuliza mara mia mia lakini siyo pale ambapo maisha yako yanakuwa hatarini. Ndo maana namshangaa huyo dada anasubiri nini hadi sasa?

...DC, huyo mdada anatafuta sympathetical votes hapa, ...hebu kipengele cha maisha hatarini tukiweke kando kwanza,
bado hajatishiwa maisha, ni maneno ya FL1 tu bana, LOL
 
Hivi wakati unaandika haya picha ya dada zako, mama wadog na mwisho mtoto wako wa kumzaa inakujia kichwani? Au kwa vile tunamwongelea kama dada tu yuko huko anaonja joto la jiwe?
mkuu,
katika jamii za kiafrika....MWANAMKE ALIYEOLEWA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE HAWEZI KUIKIMBIA NYUMBA YAKE NA KWENDA KWA WAZAZI WAKE NA AKAPOKELEWA TU!mi sijawahi ona hiyo........!yani the moment anafika anaulizwa kilichohappen na anarudishwa the very moment na kama ni usuluhishi utafanywa huko huko!HII HAITAMWANGALIA DADAANGU,MAMAANGU,MWANANGU,AU NANI!wanawake walioolewa watanisaidia hapa
 
Hebu ngoja labda FL1 akaongee naye tena labda atakuja na jingine jipya ngoja tusubirie
 
Thanks DC...

unajua hapa tunaangalia ile dhana ya mahusiano, lakini hatujaangalia athari ya mahusiano mabaya kama haya ya huyo bidada... kuna vitu vitatu vikubwa kuangalia

  1. accident to any may hold a partner liable kwenye jamii na hata mbele ya Mungu
  2. The man staying outside the house for 5 days is almost confirming that the guys is infidelitizing highly... siamini kama unalala na mwanamke for 5 days uendelee kuvaa kinga kwa miezi kadhaa... hapa kuna kaugonjwa kananyemelea
  3. nafasi ya mwanamke kwenye ndoa... with all these abuse, why wont she have freedom and right to seek happiness elsewhere?
Nawakilisha tena

Yote ni kweli. Ila binafsi naguswa na suala la kuhakikisha kila mtu yuko salama halafu ndo tuweze kurudi kwenye normalcy na kujadili kama ndoa iendelee au la. Ndo maana nashauri emergency steps ni kwa huyo dada kuondoka mara moja. Next step zitafuata kama huyo kijana atataka kurudi kwenye meza kujadili ndoa au dada aende mahakamani kudai talaka. Kwa sasa ni suala la usalama kwanza.
 
Kwa hiyo huyo dada aendelee kukaa na muemewe na kukimbiwa >5day (bila kujua yuko wapi) + kipigo cha mbwa mwizi? Kama angekuwa binti yako bado ungekuwa na msimamo huo?

mambo mengine hayawezekani kabisa kufuatwa. sipati picha nakaa hapo kumsubiria mtu wa hivyo. hata kama kwetu nilifukuzwa, ntapata tu kwa kwenda
 
The man staying outside the house for 5 days is almost confirming that the guys is infidelitizing highly... siamini kama unalala na mwanamke for 5 days uendelee kuvaa kinga kwa miezi kadhaa... hapa kuna kaugonjwa kananyemelea

Hapa mkuu Acid jamaa akimega mara 5 siku hiyo hiyo zikiisha anatundika daruga
 
Kwa hiyo huyo dada aendelee kukaa na muemewe na kukimbiwa >5day (bila kujua yuko wapi) + kipigo cha mbwa mwizi? Kama angekuwa binti yako bado ungekuwa na msimamo huo?

...EEHH? i missed that! FL1, huyu shoga yako anakula na kibondo vile vile huko kwa mumewe?
LOL, binti yangu majuzi tu kahitimu 6 dan Tae Kwon Do Black belt, (kwa self defence tu!)
Anyway, manyanyaso kwa pande zote mbili hayakubaliki!...

mkuu,
katika jamii za kiafrika....MWANAMKE ALIYEOLEWA KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE HAWEZI KUIKIMBIA NYUMBA YAKE NA KWENDA KWA WAZAZI WAKE NA AKAPOKELEWA TU!mi sijawahi ona hiyo........!yani the moment anafika anaulizwa kilichohappen na anarudishwa the very moment na kama ni usuluhishi utafanywa huko huko!HII HAITAMWANGALIA DADAANGU,MAMAANGU,MWANANGU,AU NANI!wanawake walioolewa watanisaidia hapa

ndio mana wamama wanatakiwa wajitahidi kujipatia vijibanda kwa ajili ya mambo ka haya, haipendezi kikitokea cha kutokea urudi nyumbani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom